CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

Habari hii imetolewa na gazeti la MZALENDO.Je bado hamfahamu dira ya Magazeti ya CCM (Uhuru na Mzalendo)ni nini?. angalieni msitokwe sana na mapovu mdomoni na kusahau mjadala wa Budget mbovu kuliko zote tilizowai kutokea TZ.
 

Sio wacheza disco tu, pia ni wanafiki wakubwa,

Kama MBOWE ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa mkutano wa demokrasia uliopendekeza kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa na kampeni ya kuwataka wazanzibar waunge mkono iliratibiwa na komu ambaye ni mwana chadema. then kusema mengine kwenye hadhira ni UJINGA wa kupindukia Chadema.

Asante prof
 
attachment.php


Duh! Professor mzima hana nguvu ya hoja sasa anaanza kukandya CDM, badala ya kuangalia CDM wamewezaje kuzikonga nyoyo za Watanzania na kuweza kupata umaarufu mkubwa katika kona mbali mbali za nchi yetu ili labda nao CUF wajaribu kufanya hivyo anatoa mabwabwajo!!!!
 
Prof. atakuwa anajikomba ili aupate ubunge km mbatia, wote walewale.
 

Kwa bahati mbaya Lipumba hata hilo disko la CDM hajui kulicheza!! badala ya kuhangaika kuijenga upya CUF anaweweseka na CDM. zama zake zimekwisha huyo mwenyekiti wa CCM B
 
Back
Top Bottom