CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

ebu turudini kwenye mada aliyesoma hilo gazeti kwa mapana zaidi kaelezea nini kuhusu ni disco la namna gani linalochezwa? maana unaweza kuona heading bila kuona contents ukaanza kutoa maoni bila kujua kilichopo ndani najua wauza magazeti wengi wako kibiashara zaidi. so yaliyomo ndani please mtujuze anamaanisha nini
 
Amekataa kutokana na Umri wake mkubwa na Maradhi yanayomsumbua kama CCM amesema anataka kufa pamoja na CCM 2015 au hata kabla ya hapo iwapo watazidiwa

Usikufuru, kuna mzee mmoja alisema hafi mpaka aione CCM imekufa, haijapita wiki, tukasikia kafa. Umesahau? aliyasema hayo maneno UDSM.

Sasa wewe kijana, usimkufuru Mungu, hujui nani atatangulia.

Huyo bibiyo anakutazama tu unavyo hangaika, anajuwa ni mcheza disko tu, Huna zaidi.
 
Kweli kabisa, Lipumba kasema ukweli, halafu wakichukau nchi hao, maslahi ya vijana yata hatarishwa zaidi ya sasa hivi, maana Ruge Mutahaba ndio atakua kama Waziri Mkuu wa Burudani, maana hapo ndio nyumbani kabisa, atakua na say zaidi ya sasa.Joseph Kusana na Mbowe ni bussiness partners na pia , umeona Linah kaedna kukaa kwa Leticia Nyerere alipo kwenda USA , ambaye ni CHADEMA . Wasanii kaeni makini na CHADEMA, la sivyo ni THT all the way.
 
Lipumba anataka kurudi CCM kwani Chadema hakubaliki kwa kuwa hana msimamo thabiti bali kuchumia tumboni; hivi sasa pay master wake Seif Sharrif anataka kuvunja muungano through UAMSHO as such Cuf itakuwa ndio mwisho huku Tanganyika na yeye atakuwa unemployed!!
 
Atueleze huyo Lipumba ratiba yao CUF (UAMSHO) kulipua makanisa baada ya Zanzibar wanaelekea wapi? Maana Chadema waliweka wazi ratiba yao ya M4C. Aibu iliyoje wenzenu wako bize kutoa elimu ya ukombozi uamsho mko bize kulipua makanisa na kupora mali za watu.
 
Usikufuru, kuna mzee mmoja alisema hafi mpaka aione CCM imekufa, haijapita wiki, tukasikia kafa. Umesahau? aliyasema hayo maneno UDSM.

Sasa wewe kijana, usimkufuru Mungu, hujui nani atatangulia.

Huyo bibiyo anakutazama tu unavyo hangaika, anajuwa ni mcheza disko tu, Huna zaidi.

Hata akifa hatakuwa wa kwanza kufa baada ya kukosoa magamba, asante kwa kutukumbusha mambo yenu ya kukolimba watu.
 
Usikufuru, kuna mzee mmoja alisema hafi mpaka aione CCM imekufa, haijapita wiki, tukasikia kafa. Umesahau? aliyasema hayo maneno UDSM.

Sasa wewe kijana, usimkufuru Mungu, hujui nani atatangulia.

Huyo bibiyo anakutazama tu unavyo hangaika, anajuwa ni mcheza disko tu, Huna zaidi.

kwi! kwi! kwi! ha ha sufi!!!!!! Inauma siyo bibi kang'ang'ania bibi mwenzake CCM lazima waondoke pamoja
 
kwi! kwi! kwi! ha ha sufi!!!!!! Inauma siyo bibi kang'ang'ania bibi mwenzake CCM lazima waondoke pamoja

Nilikuwa nakupa nasaha za kiutu uzima. CCM hamna wa kuiondoa kwa sasa, hatuwezi kuwapa nchi iongozwe na wacheza disko, hilo sahau.
 
kauli hii ni kama ya profesa wa mazingaombwe tu.

A FOOL REMAINS A FOOL EVEN IF HE GOES TO SCHOOL
 
Mimi niko curios kidogo. Ningependa tusome ndani ya gazetti kuliko kichwa cha habari pekee....Au mwasemaje? Tupate alichokisema
 
Lipumba hapo alikua anajaribu kulinda ndoa yao na Magamba,inaelekea ana fungu maalum analolipwa na Magamba kila mara lazima atetee.
 
UKISTAAJABU YA FIRAUN UTAYONA YA MUSA........... sasa naanza kupata picha halisi ya CUF, pia naanza kumuelewa Mzee Mkapa aliposema Lipumba ni profesa UCHWARA..............
 
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha mambumbumbu kama hawa akina Pumba! Hana faida kabisa huyu kwa taifa letu linalohitaji ukombozi! Anatetea ufisadi na uozo wa nchi hii?!!! M4c twende kazi,
 
Back
Top Bottom