CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

Pompo inaonekana huyu jamaa kakukera kama mimi,atatafuta kila sababu lakini chadema kinasonga mbele kina mkakati wa kututoa hapa tulipo lakini Mtatiro na ccm-B yake watabakia kulalama wakati wenzake wa chadema wanasonga mbele. Mwisho wa siku mwananchi ndiye mwamuzi si porojo za watu aina ya Mtatiro.
 
huju jamaa akili yake ni yakitoto sana mimi naomba kumuuliza swali moja katika uchaguzi wa mwaka jana amepata kula ngapi
mimi namushauli aende Pemba akangombee ubunge sisi hapa Ubungo tumemuchoka
mjinga kabisa
 
pompo ni kweli unamfahamu.kumbe hana uwezo wa kujenga hoja!.kumbe ndo maana analeta uchawi kwenye siasa!.duh!...
 
Mtatiro atafundishwa polepole ataelewa tu!!!!!! Nikijana hodari wa kisiasa, mwenye hoja malidhawa, lakini yuko ndipo siyo. Mwambie achomokee CDM hapo atakuwa mpinzani wa ukweli sio umang'amung'amu!!!!!!

there is no doubt at all Mtatilo is a pupet. Na hata akitaka kwenda CDM I wouldint advice CDM kumpa position yeyote. he is a dangerous ccm virus, na hata alipoenda cuf si kwamba alikuwa hajui kuwa CDM ndio chama cha upinzani cha ukweli ila it was a strategy wakidhani ana mvuto kwa vijana na hivyo kusaidia kupunguza mvuto wa CDM kwa vijana. Hivi sasa anaropokaropoka tu ili kuwaplease waliomtuma baada ya kuona strategy imeshindwa.
 
Mtu yeyote anaye weza kununuliwa kirahisi kama mtatiro hatakiwi kupewa nafasi kwenye chama kama CDM, Mission yake pale CUF alikwisha imaliza na ku feli vibaya. countdown to three yrs, he will go down, They will dump him...
 
Julius Mtatiro alikuwa mgombea ubunge kwa tkt ya CUF jimbo la ubungo ambapo aligalagazwa vibaya mno na Mnyika wa CDM. lfakara na vituko vyake kama "kilanja wa chakula- DH" , anang'ang'ania tugome tupate chakula cha msaada (wakati huo kulikuwa na njaa nchini) Eti kila siku kwenye tv. Chakula kinatolewa vijijini eti njaa ipo hata mjini, alikuwa anatafuta atoke vp!.!

Pompo thanx kwa CV ya Julius Mtatiro. Ya ubungo kila mtu anajua.
Vituko akiwa Kiranja wa Chakula Ifakara, Kutaka wanachuo waletewe chakula cha msaada.. Kukimbilia chama kinachofunga ndoa ya "mkeka" na sisiem, hii yote inathibitisha aina gani ya mtu ni Mtatiro. Mroho, Mbinafsi, M-tamaa, Fisadi anayetafuta position ya kufisidi.
Alipewa mission na mafisadi agawane kura na Mnyika Ubungo, akawa bounced, sijui kama malipo alipewa. Ana kila sababu ya kuwaita Chadema wachawi.
Julius Mtatiro, unaliabuse jina hili.Ni jina lenye historia ndefu na kuheshimika.
 
nimegundua humu kuna mijitu mingine ina akili za makalioni kama mtatiro mwenyewe.jadili mada wewe acha uvuvuzela usiokuwa na mantiki.yani cuf utawagundua tu mapema kwa udini walio nao.

CHADEMA na CUF wote wadini,huwezi kwepa hilo..
Karibu ACT-Wazalendo,tuirudishe nchi katika Misingi
 
Hana jipya huyo, kwa hiyo kupewa hela na SABODO ni kuungana na CCM? Huyu bwana mdogo akubali tu kwamba alishaingia choo cha kike, wenzake wanajadiliana maswala ya CUF mskitini ambapo yeye hawezi kufika, halafu anakuja kukurupuka na kuongea upuuzi tu.

CUF wameungana na CCM Zanzibar kuunda what is called serikali ya kitaifa, je wana-qualify vipi kuwa wapinzani? Dogo akiweza hata achomoke tu na aende CHADEMA anaweza pokelewa tu, muulize alijaribu ubunge Ubungo alipata kura ngapi??

Hii ilikuwa March 2011
 
Wote chadema na cuf ndo wachawi wa upinzani,hamna jipya

huu utaratibu wa kuwepo Post za mwaka 2011 humu mie sijaupenda hata kidogo Mods tazameni hili,au ndio jukwaa sasa limekuwa la upande na kama The fonder mnaelekezwa nini?cha kufanya mnatuchanganya hakika.
 
huu utaratibu wa kuwepo Post za mwaka 2011 humu mie sijaupenda hata kidogo Mods tazameni hili,au ndio jukwaa sasa limekuwa la upande na kama The fonder mnaelekezwa nini?cha kufanya mnatuchanganya hakika.

Mkuu uzuri wa JF ni kwamba kumbukumbu zinatunzwa kwa kiwango cha juu sana tumeamua kuwakumbusha tu yaliyopita ili uzijue rangi halisi za wanasiasa wetu na pia kuwapa tahadhari wote wanaotukana baadhi ya vyama kwamba wawe na AKIBA YA MANENO maana hawajui ya kesho
 
Mkuu uzuri wa JF ni kwamba kumbukumbu zinatunzwa kwa kiwango cha juu sana tumeamua kuwakumbusha tu yaliyopita ili uzijue rangi halisi za wanasiasa wetu na pia kuwapa tahadhari wote wanaotukana baadhi ya vyama kwamba wawe na AKIBA YA MANENO maana hawajui ya kesho

Teh teh teh teh teh teh teh! Hamkumbushi yaliyopita nyie. Mnafanya tu propaganda ili muone kama ushirikiano wa UKAWA utatingishika. Lakini hiyo haitawasaidia sana. Nadhani mnajisumbua tu. Tafuteni gia nyingine! Propaganda hizo zimepitwa na wakati. Halafu zamani mbona kulikuwa na Chuo Kigamboni cha kufundisha propaganda, au siku hizi hawafundishi nini? This is nosense!
 
Back
Top Bottom