MAYOO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 201
- 52
wewe hapa unafanyaje?wakati wenzenu wanafanya siasa na maendeleo, tanzania mpo kwenye mipasho na kuongelea watu! Poleni sana!
wewe hapa unafanyaje?wakati wenzenu wanafanya siasa na maendeleo, tanzania mpo kwenye mipasho na kuongelea watu! Poleni sana!
Nilishaacha kumsikiliza,natabiri kabla ya 2015 ataenda Ccm,ana njaa sana yule
Nadhani tuna haja ya kuamini kuwa Chadema ndiyo chama Tawala kwa sababu ndiyo chama ambacho kinapingwa. Wapinzani wa Chadema ni CCM, CUF, NCCR - Mageuzi, TLP, UPD... Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.
Kama Chadema siyo chama Tawala iweje CCM waungane na vyama vingine kukipinga? Mara nyingi tumeona vyama vingine vinavyodhaniwa kuwa vya upinzani vikikashifu Chadema badala ya chama kilichopo madarakani. Kwa hili tukubaliane tu kwamba CCM na vyama hivyo vingine vitangaze kuwa Chadema ni chama Tawala ili yaishe.
Sheikh yahya majin yamekuzidia nn? mbona maneno yako kama unatolea makalion kwako.
Hana jipya huyo, kwa hiyo kupewa hela na SABODO ni kuungana na CCM? Huyu bwana mdogo akubali tu kwamba alishaingia choo cha kike, wenzake wanajadiliana maswala ya CUF mskitini ambapo yeye hawezi kufika, halafu anakuja kukurupuka na kuongea upuuzi tu.
CUF wameungana na CCM Zanzibar kuunda what is called serikali ya kitaifa, je wana-qualify vipi kuwa wapinzani? Dogo akiweza hata achomoke tu na aende CHADEMA anaweza pokelewa tu, muulize alijaribu ubunge Ubungo alipata kura ngapi??