Chadema ni lini mtawachukulia hatua ma-radicals ndani ya chama chenu kama ANC walivyofanya?

Tatizo haliko kwenye kuchangamsha fikra au kubadili fikra; tatizo liko kwenye kukosea kudhania kuwa ujana ndio "element" ya mabadiliko hayo ya fikra. Hoja nzima imejengwa kwenye msingi mbaya yaani "ujana". Hatuhitaji viongozi wanaoenda kushindana kunyanyua vyuma au kupiga push ups. Kuna watu wanadhania kuwa kwa vile watu ni vijana kimwili basi uwezo wao wa kufikiria ni bora kuliko wazee au watu wazima. Hivyo, kwa vile ni vijana basi wanaamini kuwa mawazo yao ni bora simply because yanatolewa na vijana.

Wanaamini - kwa makosa makubwa - wazee au watu wazima ambao hawana nguvu mwilini za misuli basi wamepoteza pia nguvu ya kiakili au kuwaza. Ndio maana sisi wengine hatushabikii hili suala la "viongozi vijana" kwa sababu it means absolutely nothing! Ujana unawapa tu nguvu ya mwili kulinganisha na wazee.
 
ni kwel mkuu, weng wako kwnye ushabiki zaid kuliko uelewa na utatuz. pia kuna nafas zingne za uongoz umri naamin unaweza kuwa ni kigezo,
 
Mkuu habari ya Malema unaijua vizuri kweli. Nilipata bahati ya kusoma habari za siasa za Malema na ANC. Unajua njama za kufukuzwa Malema zimepangwa na akina nani? Unamjua Ciril Ramaphoosa? Unaujua ukwasi wake na unajua aliupataje? Unajua Malema ni tishio kwa akina nani?

Wiki iliyopita nilibahatika kuona Malema akihojiwa eTV nilimsikiliza kwa makini sana na nikaielewa agenda yake. Malema ana agenda dhidi ya viongozi hodhi kama JZ. Malema anasema anaweza kufukuzwa ANC lakini mawazo yake hayataondolewa ANC.
Jishughulishe kidogo kujisomea majarida.

aisee....
 
Julius Malema amefukuzwa tena ndani ya chama chake kwa kumuita Jacob Zuma Dikteta.Nilmeshaandika sana hapa kuhusu vijana ndani ya chadema wanaonyesha misimamo yao binafsi huku wakikosoa vikali viongozi wao wa juu.

Igeni ujasiri wa ANC kumchukulia hatua Julius Malema anayetishia kukigawa chama na Taifa kwa siasa zake.Nileta sred kuhusu akina Ben saanane,akina Zitto,bashe na kundi lao lakini ikafungwa na matusi juu.

Angalia status ya Ben Saanane leo facebook !

"Another Suspension for Julius Malema. the ANC Disciplinary comittee's ruling reflects a leadership of dwarfs around a dictator.Another sad Day for African Youths who are determine to Liberate the continent from imperialism and their Puppets. A typical example of supression youths vigour,they dont want to listen to youths oponions.Yes,Zuma ni dikteta na msaliti mkubwa wa Bara la Africa"

mkuu nuclear 1 mabandiko yako mengi .. siku za hizi karibuni umemuandama BEN .... badala ya kuleta allegations na ku paste baadhi ya mabandiko yake... unaweza ukatoa sababu 7 kwanini humkubali ben.! na ni kijana gani unadhani ndani ya CDM awe mfano wa kuigwa ..?!
 
endeleeni kumjenga dikteta.hata hitler aliungwa mkono na maskofu na baba mtakatifu.ANC wameona hizo dalili kwa malema.chadema nanyi mnataka kutuandalia li radical la huko baadae.hata mavazi tu yanatosha kukupa alert ni kitu gani huyu mtu anafikiria.mtu unaendekeza mavazi ya kijeshi halafu unaongelea demokrasia.nilimuambia aseme ni nani aliyemsomesha ile kozi ya forensic science and investigation kwenye ile thread hakujibu.nilimuuliza ile masters ya internationa relations ni nani aliyemlipia.nina uhakika siyo serikali wala familia yake.nilimuuliza ni kwa nini hilo shirika wanaloanzisha fedha kutoka Rwanda zimezuiwa na Bot na kesi iko mahakamani wakiipinga benki kuzuia hizo fedha hakujibu

Unaweza ukawa na Point wewe. Ben can you respond to this please?
 
Huyu Ben Sanane ni nani? Huko chadema anacheo gani? Ni mwajiriwa wa Chadema ama wa Taasisi gani? yeye siasa na movement zake anafanyia JF tu? Mbona hajaonekana Arumeru, Kirumba, Lizobon na Kiwira kwenye kampeni? Huyu Ben hasa ni nani?

Ukitafakari kwa makini Nuclear 1= Ben. huyu nuclear1 ni ben mwenyewe anaanzisha uzi na kuibuika kwa ID ya Ben na kuanza kufanya siasa na kueneza propaganda zake za kuwakashifu wazazi wetu kisa tu ni wazee anasahau kuwa uzee haukwepeki hata yeye utamkuta labda ajiue kuukwepa

ata mimi nimeanza kupata wasiwasi kuwa huyu ni mtu mmoja,anajaribu kufikisha anachotaka kwa staili hii....

Ni kama William Malecela na FMEs.
 
Ma2mbo na Emmy,

Nimekuwa JF kwa miaka 5 sijawahi kuwa na ID tofauti na hii. Nipo tayari mitizamo yangu iniweke matatani kuliko kuwa na ID tofauti.

Hawa wanaonichafua akina Nuclear1 na Erwin Sizinga tangu uchaguzi wa Bavicha wapo hapa hata facebook kwa ID zao.Kumtaja Sizinga na ku-link na ID yake facebook sijavunja sheria za JF.Unaweza kuwafuata huko uwajue zaidi.....Nashanga mtu kuja kujifanya ananijua just because he knows a little about me anakubali kutumika kijinga jinga kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.Mabandiko ya Sizinga katika jitihada za kunichafua na wenzake yapo humu.Ipo siku nitawataja wanaowatumia hawa na sitaogopa kumvunjia mtu heshima
 
Mkuu wangu nakusikia sana, hiyo Youth Patriotic Movement imekuwa kama Parapanda kwa vijana kama ilvyotokea wakati wa kupigania Uhuru, lakini hadi sasa ni kitu gani hasa mnachokiona tofauti na mnataka kukibadilisha vipi yaani mageuzi siku zote yanatoka mfumo badili kuleta ule unaowawezesha wengi kupata maisha bora zaidi..yaani tunatoka ule usiokubaliwa kwenda ule unaokubaliwa na wengi zaidi. Ni mageuzi yapi ambayo vijana mnataka kuyaleta na mnaona mnaweza kuyaleta kwa njia zipi..

Wakati wa Uhuru tulitaka kmwondoa Mkoloni na ikasomeka tunataka kuwafukuza wazungu japokuwa kulikuwa na ukweli kwamba huwezi kuondoa mfumo wa kukoloniwa pasipo kumwondoa mzungu mtawala.
1. Je, hii ndio moja ya msukumo unaozungumzia au ni mageuzi ya kuondokana na nini haswa?
2. Je, unaamini mfumo hasi sii wa chama CCM bali ni viongozi watu hasa wazee wanaotaka kuendelea kutawala kwa njia zile zile zilizopitwa na wakati ndani ya vyama na serikali.
3. Ni Taifa gani mnalotaka kulijenga ktk mageuzi haya..
- Nadhani inatosha kunipa picha..maana sioni ndani bado.

We stand for good governance and best conducts in our national life. We are calling both our government and our people to order; we must stop the human waste going on across our land.

Our politics and government must change to reflect transparent governance. Our government must be accountable to the people of Tanzania at all times and must work for our general good. Our government must rise to plan and protect the economic well-being of all Tanzania at all times.

Our story must change to that of a focused group of people working to uplift the life of its people. Our lives must change to reflect discipline. Corruption must be tackled in our private and public lives. Our public institutions must be accountable to us; they must wake up to their responsibilities of serving us.

We will achieve this, by coalescing our individual efforts to educate our members and other Tanzanians on better ways to organize our public institutions, by standing for the interest of the silent majority in our land, by supporting the cause of justice and freedom in our country through positive interventions in selected socio-political areas and events.

Through mass sensitization of the goals of the movement, through credible conduct of our activities, we hope to win the hearts of well-meaning Tanzanians. We will carry through a campaign for a total overhaul of our institutions of governance to ensure a better life for our people.

Our task is that of a second national movement after that of Nyerere, Karume, Kawawa and Kambona. Our desire is
to give a full meaning to our nation's Independence as won by our heroes past; and ensure a good life for all Tanzanians.

We stand to defend and protect the well-being of every Tanzanian.

Japo nakubaliana nawe kwa 65%,Napinga kwa 35%kuwa Zuma alishiriki kumsaliti Gaddafi
South Africa ilipiga kura ya kupitisha Azimio la baraza la usalama la ku-impose No fly zone huku wakijua malengo ya NATO(muungano wa mabeberu) ni nini. Baadae anakuja kutoa very silly excuse ati hakutegemea ingekuwa hivyo
Ben my bro

Kuna kitu kimekutokea hakiefanani na wewe, and sorry if i am wrong, Regia was a very good friend, she knew how to buffer your flights of idea!!!

You are really high these days...... i pray that you find some one to act like CPZ to your ambitious life

You are young, smart na able, but uko extravagant kwenye plans na very clumsy kwenye execution

Thanks,

You are right... hapo pengo halizibiki,nadhani unanielewa.Nasikitika sana.R.I.P Kamanda...Nitajitahidi kubadilika.

Tatizo haliko kwenye kuchangamsha fikra au kubadili fikra; tatizo liko kwenye kukosea kudhania kuwa ujana ndio "element" ya mabadiliko hayo ya fikra. Hoja nzima imejengwa kwenye msingi mbaya yaani "ujana". Hatuhitaji viongozi wanaoenda kushindana kunyanyua vyuma au kupiga push ups. Kuna watu wanadhania kuwa kwa vile watu ni vijana kimwili basi uwezo wao wa kufikiria ni bora kuliko wazee au watu wazima. Hivyo, kwa vile ni vijana basi wanaamini kuwa mawazo yao ni bora simply because yanatolewa na vijana.

Wanaamini - kwa makosa makubwa - wazee au watu wazima ambao hawana nguvu mwilini za misuli basi wamepoteza pia nguvu ya kiakili au kuwaza. Ndio maana sisi wengine hatushabikii hili suala la "viongozi vijana" kwa sababu it means absolutely nothing! Ujana unawapa tu nguvu ya mwili kulinganisha na wazee.

Mwanakijiji.

Je,umejenga hoja yako kwa kuzingatia mantiki ipi? please,hebu nifafanulie hapo juu
 
Radical wa CDM ni kina nani, wale madiwani wa Arusha walifanya nini. Tatizo lako najua unamlenga Zito. Hukuna kanuni aliyoivunja. Kutofautiana mawazo bila kuvunja kanuni si tatizo. Tatizo ni Chama kukosa kanuni , mf. kuvua gamba
 
Ma2mbo na Emmy,

Nimekuwa JF kwa miaka 5 sijawahi kuwa na ID tofauti na hii. Nipo tayari mitizamo yangu iniweke matatani kuliko kuwa na ID tofauti.

Hawa wanaonichafua akina Nuclear1 na Erwin Sizinga tangu uchaguzi wa Bavicha wapo hapa hata facebook kwa ID zao.Kumtaja Sizinga na ku-link na ID yake facebook sijavunja sheria za JF.Unaweza kuwafuata huko uwajue zaidi.....Nashanga mtu kuja kujifanya ananijua just because he knows a little about me anakubali kutumika kijinga jinga kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.Mabandiko ya Sizinga katika jitihada za kunichafua na wenzake yapo humu.Ipo siku nitawataja wanaowatumia hawa na sitaogopa kumvunjia mtu heshima
B

Ben unataka kufanya makosa ya Mwakyembe,kama unaona kuna watu wako behind it way don't you keep it open,manake unajua thread iliyoisha na kufungwa ilinichukua muda kutafakari na kutafuta kujielimisha na mimi binafsi kuibuka na ufahamu wangu binafsi je una hakika wote watakuelewa kwenye mwelekeo mmoja jibu ni hakika hapana.Hivyo pasipo wewe kuweka waza issue nzima tutaaminishwa na itakucost Mwalimu Nyerere anasema mubisa kilelwe manyuko galamubisula yani mficha uchi hazai
 
@Ben

Youths Patriotic Change ni nini?
nipe japo dondoo.

Ma2mbo,

Well,these are the highlights !

  • By throwing the weight of our movement in support of all the oppressed masses of our country. We shall explore all legal avenues to protect the rights and privileges of every Tanzanian wherever and whenever they are tramped upon.
  • Through supports to political office aspirants of proven good standing who share our belief and commitment to our nation's interest and the general good of all our people.
  • Through carefully planned dialogue with those in powers when necessary.
  • And as a tool of last resort, through peaceful protest, organized sit-at-home strike actions and civil disobedience, in alliance with the labour unions and all trade associations, effectively reclaim the rights and privileges due to our people.
  • Whereas we have realized that some of us must rise beyond the cynicisms, indifferences and prejudices of today, to give our people leadership;
  • We must awaken our people and lead them through the right path; we swore to make every necessary
    sacrifice in this regard with the hope of being the celebrated and uncelebrated heroes of the new Tanzania that beckons.
  • Whereas we know that true heroes demand more than opportunism and sycophancy;
  • We have resolved to be the Sacrificial Lamb for our nation and our race, we have chosen to bear the brunt of the sacrifices needed to reawaken the sleeping giant called Tanzania, and give our people good life.
  • WhereasØ we have decided to be the torch-bearers of a new era of truth, equity, justice, freedom, good governance and patriotism to our fatherland;
  • WhereasØ we want to finish up the liberation struggle as started by Mwalimu J.K Nyerere, Sheikh Abeid Karume and Rashid Kawawa and many other known and unknown names who achieved our nation's Independence 50 years ago;
  • Whereas we want to answer the call by our God to cultivate our world – to make our world (our country) a better place; and hence contribute our proud quota to the development processes embarked upon by all the good people of our world.
  • Whereas we want to change the courseØ of the Tanzanian story and that of Africa – the fate of the Blackman; and to establish beyond every ground that Blackman is equal in all respect with all the good people from other races in the world.
We enjoin all our youths of good conscious to join us to enforce the good life and responsible Nation/government that our people deserve; by becoming equal founders and joiners of the Youths Patriotic Movement (YPM).

Mkandara,

Mie nilimshangaa Ben mara ya kwanza baada ya kusoma kuwa Shujaa wake ni Malema na Mugabe. Hapo mie ndipo nilichoka sana. Na ndiyo siasa anazotaka eti aziingize hata hapa Tanzania.

Hii haina tofauti na CCM kuwa Chama Cha Mapinduzi ila yepi?

Watu kama Ben ni watu ambao hawafai kabisa kuwa Majemadari vitani. Ni mtu ambaye anafikiri kujipeleka kichwakichwa kushambulia basi ndiyo njia sahihi. Nilishamueleza Waberoya huko nyuma kuwa Kagame na kundi zima la Watusi (Museven) ambalo lilianza kupigana vita ya Uganda na Tanzania, hawaendi vitani kabla ya kuwa na uhakika watashinda.

Nyerere angelimvamia kichwa kichwa Idi Amini, tungelitandikwa na morali ya wanajeshi ikafa. Ila walijipanga kwanza, wakaangalia mataifa makubwa wameelekeza wapi nguvu zao na macho yao. Nguvu ya adui ikoje na morali ya wanajeshi ikoje. Wakawapa mwezi mzima wafurahie ardhi ya Tanzania. Walipokuja kuwa na uhakika kuwa sasa wapo Fulumasinonda (Full machine in order) wakaingia kazini na kuimaliza. Na ndivyo walivyofanya Watusi huko Rwanda na Burundi.

Ben anataka kujenga ghorofa wakati hatujamuona hata kibanda cha kuku akijenga (kwa kumbukumbu zangu). Ajabu ni kuwa hawa vijana wote Radical, ukakamavu wao siku zote ni kutaka KUVULIA KWENYE TENGA. Kama kweli wanataka kufanya mabadiliko ya kweli, na wana nguvu kiasi hicho, si waanzishe chama chao na watu wawapigie kura?
Kwa nini Malema kama kweli ni Mbabe hivyo, asianzishe chama chake mwenyewe?

Ariel Shalon alikuwa mtu wa Likudi Party ila alipoona mambo hayaendi anavyotaka yeye, akaanzisha chake cha Kadima. hivi kwa nini na nyie msianzishe vyenu kama mnaona mnazibwa? Kwa nini Malema asianzishe chake kama huko mikoani wanamuona Mungu? Ila jibu ni rahisi sana, wavulia kwenye tenga utawajua. Congo nasikia wanasema "Mamba mjanja kumayi." Ndiyo maana hata Lowassa, ubabe wake wote upo ndani ya CCM, ukimtoa CCM basi anakuwa kama Mamba nchi kavu.

Kuwaondoa hawa viongozi wa Chadema kwa sasa wakati tupo vitani, itakuwa kichekesho na makosa makubwa sana. Ninatamani tupate viongozi kama Musa ambao watatuvusha Tanzania kufika kwenye Demokrasia ya kweli na kupata katiba mpya. Zaidi ya hivyo, kuhakikisha vyombo vya usalama vyote na Mahakama, vinakuwa huru na Bunge linakuwa na Wananchi kweli na siyo wahuni fulani kama huyu Kudadadeki au akina Shibuda na ndoto zao za posho. Yupo tayari kumlamba miguu Rais ili muradi na yeye wamkumbuke. Mtu analipwa kwa kujikomba kwake na siyo kwa kazi nzito anayoifanya.

Kama vijana wenyewe ndiyo hawa wanaoota tu uongozi ili na wao watumikiwe na chama na si wao wakitumikie basi kweli hatuna vijana. Na kama ukija pewa uongozi wowote ndani ya Chadema ukiwa na msimamo wako huo, basi Chadema wajuwe wamemkaribisha Malema ndani ya nyumba. Uzuri ni kuwa Chadema wana uthubutu wa kufukuza wanachama.

Tanzania si nchi inayopigania kumuondoa Mkoloni bali kubadilisha System na kuweka Demokrasia ya kweli. Huo ukali wenu sijui mnataka kumuondoa nani. Kwa hali tulipofikia sasa, kuna kila dalili Tanzania itabadilika bila ya kumwaga damu kama Wakenya, South Africa, Mali, Ghana nk. Funguka kijana na ubadili haraka mwenendo wako.

Duh,hivi unaweza kujadili haya uliyoandika hapa kulinganisha na mtizamo wangu niliouandika hapa? Mbona tunataka kupotosha kiasi hiki mkuu?umefikiaje kwenye hitimisho hili?
 
Bw Ben,
Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana, lakini unapoimba sana ujana, nashindwa kukutofautisha na wale wanaoimba kuwa CDM ni chama cha wachaga. Tunachotaka ni ukombozi. Ukiletwa na vijana, sawa. Ubaguzi wa aina yoyote kwenye jamii ni sumu.

Hapa pa ujana ndio pananichefua sana kwa huyu Jank,ameshupalia hilo namuona hapo ndipo anachemka hata wale tunaomuona anavitu vya maana tunaishi kumuona anvyovulunda.Manake political atmosphere ya kuingia madarakani kwa JZ Malema aliplay role kubwa sana kwa maasi ya ANC kwa TM,mbona ni kanuni nyepesi kuwa what goes around comes around!! aijalishi anatetea rasilimali za SA,bali ni kujustify nature inayomsurubu kwa usaliti waliomfanyia mwenzao.
 
Wapo vijana wengi ambao ni viongozi wazuri tu, lakini vijana wengine wananjaa tu, tusiongee ujana tu bila kuangalia uwezo wa mtu na tabia yake, kijana ambaye anapenda kujiona yeye ni zaidi ya wengine na hapendi ushauri, huyo ni sumu. Hatuchagui mtu kwa umri bali kwa uadilifu wake na commitment yake.

Pamoja na kuwa vijana ndiyo nguvu ya taifa, wanahitaji uzoefu kwa kiasi fulani katika kufanya maamuzi mazito yanayomgusa mwananchi, ujana ni maji ya moto, ujana unatabia ya hulka.

Mfano mzuri ni katika jeshi, majenerali wengi ni watu wazima, ambao wameshapitia machungu mbalimbali na wanauzoefu wa maamuzi yaliyoleta faida na hasara.Hawa wanahekima ya kujua nini cha kufanya katika mazingira fulani.
 
mi nawashangaa watu wanamuona malema ni shujaa...na haswa haswa hawa pimbi wa cdm. mnajua malema ana mshahara wa $2000 kwa mwezi lakini anamiliki majumba ya kifahari na magari ya kifahari bil ya kua na biashara yeyote..huyu siyo mtu wa kumtumia kwenye propaganda za peoples power wala nini huyu malema anachoongea na anachofanya hayauwiani kabisa ni opportunist anachukulia advantage ya umaskini, economic and social frustrations za vijana huko SA kujifanya ni kamanda wa wanyonge wakati kila jioni anakunywa champagne na hao hao mabwanyenye anaowachukia...

Nakubaliana na wewe, lakini sio sahihi kuchukulia Agenda za Ben ni Agenda za CDM.
 
Ma2mbo,

Well,these are the highlights !

  • By throwing the weight of our movement in support of all the oppressed masses of our country. We shall explore all legal avenues to protect the rights and privileges of every Tanzanian wherever and whenever they are tramped upon.
  • Through supports to political office aspirants of proven good standing who share our belief and commitment to our nation's interest and the general good of all our people.
  • Through carefully planned dialogue with those in powers when necessary.
  • And as a tool of last resort, through peaceful protest, organized sit-at-home strike actions and civil disobedience, in alliance with the labour unions and all trade associations, effectively reclaim the rights and privileges due to our people.
  • Whereas we have realized that some of us must rise beyond the cynicisms, indifferences and prejudices of today, to give our people leadership;
  • We must awaken our people and lead them through the right path; we swore to make every necessary
    sacrifice in this regard with the hope of being the celebrated and uncelebrated heroes of the new Tanzania that beckons.
  • Whereas we know that true heroes demand more than opportunism and sycophancy;
  • We have resolved to be the Sacrificial Lamb for our nation and our race, we have chosen to bear the brunt of the sacrifices needed to reawaken the sleeping giant called Tanzania, and give our people good life.
  • WhereasØ we have decided to be the torch-bearers of a new era of truth, equity, justice, freedom, good governance and patriotism to our fatherland;
  • WhereasØ we want to finish up the liberation struggle as started by Mwalimu J.K Nyerere, Sheikh Abeid Karume and Rashid Kawawa and many other known and unknown names who achieved our nation's Independence 50 years ago;
  • Whereas we want to answer the call by our God to cultivate our world – to make our world (our country) a better place; and hence contribute our proud quota to the development processes embarked upon by all the good people of our world.
  • Whereas we want to change the courseØ of the Tanzanian story and that of Africa – the fate of the Blackman; and to establish beyond every ground that Blackman is equal in all respect with all the good people from other races in the world.
We enjoin all our youths of good conscious to join us to enforce the good life and responsible Nation/government that our people deserve; by becoming equal founders and joiners of the Youths Patriotic Movement (YPM).

Duh,hivi unaweza kujadili haya uliyoandika hapa kulinganisha na mtizamo wangu niliouandika hapa? Mbona tunataka kupotosha kiasi hiki mkuu?umefikiaje kwenye hitimisho hili?

Kama hizi ndio Objectives za Youths Patriotic Change ooooooh my God jamani mbona ni sawa na kupambana na kivuli kisicho na madhara yoyote.Hii story ya ukombozi jamani historia inakusaidia kujua ulikotoka na huku ikikushape kuona unakokwenda.Lakini ukiishi kwa kufuata historia utapiga maktaimu na wenzio wanasonga mbele.Dont just sit there and do nothing the world is changing so fast guys hii habari ya kuangalia ukoloni uliopita kama Black Panther and Black Movement those are old mind accusation with no benefits for the new generation.Unazungumza Liberation unabase kwenye nini!wakati dunia ya sasa unakuwaa exploited kupitia your own wiil and support.
 
Wapo vijana wengi ambao ni viongozi wazuri tu, lakini vijana wengine wananjaa tu, tusiongee ujana tu bila kuangalia uwezo wa mtu na tabia yake, kijana ambaye anapenda kujiona yeye ni zaidi ya wengine na hapendi ushauri, huyo ni sumu. Hatuchagui mtu kwa umri bali kwa uadilifu wake na commitment yake.

Pamoja na kuwa vijana ndiyo nguvu ya taifa, wanahitaji uzoefu kwa kiasi fulani katika kufanya maamuzi mazito yanayomgusa mwananchi, ujana ni maji ya moto, ujana unatabia ya hulka.

Mfano mzuri ni katika jeshi, majenerali wengi ni watu wazima, ambao wameshapitia machungu mbalimbali na wanauzoefu wa maamuzi yaliyoleta faida na hasara.Hawa wanahekima ya kujua nini cha kufanya katika mazingira fulani.

Joss,

Ni kweli uliyosema .ungefuatilia mjadala wangu na mkandara usingeandiaka kama ulivyoandika hapo kwenye Red.Hebu soma tena post yangu.Usiyumbishwe na watu wanaoujua ukweli lakini hawataki kuhoji kwa kujenga hoja yoyote kimantiki

Role ya wazee inajulikana,role ya vijana haijatumika adequately.Watu wanamiminika kwenye hoja ya ujana na uongozi tu.hawajadili katika prism ya kuleta mageuzi kiuchumi,kisiasa na kijamii katika context ya kitanzania au kiafrika.
 
Alafu Ben
Twende kwa step tafadhali, unajua, the way unavyoelezea umuhimu wa vijana katika mageuzi ni katika namna ambayo mtu anaweza kufikiri kwamba Vijana wana solutions za matatizo yote tuliyonayo, kitu ambacho sikubaliani nacho.

Mimi ni mmoja wa vijana ninaopinga sana dhana ya kusurrender all power to youth, naipinga vikali kabisa, Mambo aliyoyaeleza Joss ndio sehemu ya sababu ninazozisimamia pia, ninarudi kuangalia huo mjadala wako na Mkandara uko vipi, lakini naomba nikuweze wazi, katika kosa ambalo binafsi siwezi kukaa kimya nikiangalia linafanyika katika Jamii yangu ni kuruhusu siasa kusimamiwa na vijana kwa kiwango kikubwa.

Vijana muanzie hapa kuonyesha uwezo wenu.
Muonyeshe ufanisi kwenye namna mnavyosimamia idara za vijana kwenye vyama vyenu, mpaka sasa hamjaweza kuwashawishi watu kwamba mnaweza kusimamia michakato ya kisiasa kwa uadilifu.

Angalia CCM, UVCCM haielewi inaanya nini, na kila inapojitutumua inaharibu, UVCCM bila wazee wa CCM si chochote si lolote.

BAVICHA, bado hatujaona influence yenu kwenye usimamiaji wa michakato imara ya kisiasa, tuko kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, BAVICHA is out of the show, Uchaguzi wa viongozi wenu wenyewe ulijaa uchafu mpaka ulipoingiliwa na DR SLAA. tutawaaminije, msituburuze Ben.
 
Bw Ben,
Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana, lakini unapoimba sana ujana, nashindwa kukutofautisha na wale wanaoimba kuwa CDM ni chama cha wachaga. Tunachotaka ni ukombozi. Ukiletwa na vijana, sawa. Ubaguzi wa aina yoyote kwenye jamii ni sumu.
..............good post:rockon:
 
Back
Top Bottom