Chadema ni kama timu ya mpira.......

Kitaeleweka tu cku c nyingi,harakat zinaendelea! magamba kwishney
 
Ni Kweli Chadema ni zaidi ya R. Madrid Hii ni kama Man U!

Peoplessssssssssssssssssssssss Power!

Kinyozi hazinyoi! CDM ni chamtoto kwa CCM. CDM ni genge la wakwepa kodi wala halipaswi kufannanishwa na timu imara kama MAN U
 
Chadema inajijenga na ni vizuri kulitambua hilo kwani siasa za CCM ni za chuki na ufinyu wa kufikiri bila kujenga hoja!
 
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na Kanisa

Ritz : kakojoe ulale ,namungu akusamehe hujui ulinenalo.
Watu wengine mnafikiri kwakutumia tumbo badala ya kichwa. Mtu mwenye akili timamu hawezi andikawala kunena ulichoandika
 
Kama wewe ni mwana mageuzi peleka elimu ya uraia kwa wa-Tanzania angalau watatu tu ambao bado hawajaelimika katika elimu ya uraia hii itaharakisha mafanikio katika mageuzi
 
Endelea tu kuota ndoto za mchana ! hii nchi haichukuliwi kwa maandamano au wingi wa watu mikutanoni, ni zaidi ya ufikiriavyo

Ni kweli,kuna mambo mengine nyuma ya pazia,uwizi wa kura,ununuaji wa shahada za kupigia kura,vijizawadi vya kuhadaa wapiga kura,vitisho vya hapa na pale,ghiliba nk

Lkn hayo hapo ndiyo yanakaribia mwisho,ndoto ya mchana nayo inakubalika!
 
Hapo kwenye blue siku Dk Slaa akiondoka Chadema na ndio siku hiyo chama kinakufa kifo cha kawaida

CDM siyo slaa tu,kama hujajua hilo utajua taratibu tu wala usiwe na haraka,fikra zako hazitatimia walahi!
 
@ ritz ww mtazamo wako umekaa kwy dini sana, kamwe uwezi tukugawa ki dini, kama umekosa comment ni bora ukae kimya kuliko kutaka kuaribu topic(mada) ya mtu.
 
chadema imeshakuwa taasisi pana yenye watu wa aina mbalimbali, wakulima mpaka wafanyabiashara, wasomi, machinga, yaani sekta zote za kijamii inakaba.so haiwezi kusambaratika hata iweje
 
Back
Top Bottom