Chadema ni chama dhaifu

Lilipita kundi la Chadema hapa nilifikiri mgambo wamekosea njia ,wakisema kuwa watu wameanza kuwashitukia ! Kwa kweli sikujua jambo gani kwani spidi yao ilikuwa kali.
sasa hapa unamaanisha kwamba CHADEMA wapo sawa na migambo OK good

Wezi lazima wawakimbie mgambo, ila raia wema hawana sababu ya kuwakimbia na badala yake wanajiunga na harakati chini ya;
  • M4C
  • VUA GAMBA VAA GWANDA
  • VUA UKADA VAA UKAMANDA
  • OPERATION SANGARA ili tukamate wezi wote
 
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

Mwendawazimu mwingine huyu tena huku.
 
sasa hapa unamaanisha kwamba CHADEMA wapo sawa na migambo OK good

Wezi lazima wawakimbie mgambo, ila raia wema hawana sababu ya kuwakimbia na badala yake wanajiunga na harakati chini ya;
  • M4C
  • VUA GAMBA VAA GWANDA
  • VUA UKADA VAA UKAMANDA
  • OPERATION SANGARA ili tukamate wezi wote

Pamoja sana kamanda.
 
  • M4C
  • VUA GAMBA VAA GWANDA
  • VUA UKADA VAA UKAMANDA
  • OPERATION SANGARA ili tukamate wezi wote
Ei jamani umeona eei ! umo ndani ya joto ,unavua chuma unavaa bati ? Yaani unajimaliza kabisa ,Udhaifu wa CDM ni kushindwa kutamka kinaga ubaga mbele ya watu nikikusudia mikutanoni ,hivi mnaelewa Maalim Seifu alimwita nani Kikwete ,hapa JF mkaruka na mtafaruku mkubwa mkisema Maalim kapotoka ,Maalim leo ni Makamo wa Raisi wa Zanzibar na bado !
 
Kumbe Mbowe alirudisha shangingi kwa kuwa lilikuwa linatumiwa na Hamad Rashid, yeye alitaka jipya. Akaone atumie mwanya kulirudisha kisiasa, lilivyotoka jipya tu akawahi mbiombio. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.

Duh! Afadhali umetufumbua macho! Kumbe Mbowe was absolutely right kama mtu mwenyewe ndiye huyo hapo kwenye green. In short halikuwa gari bali NYUMBA YA MAPEPO. Wale jamaa wa kile kisiwa hawafai. Mbowe alifanya uungwana sana kwa kumlindia heshima kisiasa; sijui mnacholalamika ni nini.
 
Hivi thread bila kuiandika CHADEMA haiwezi kusomwa hapa jf. Kweli nimeamini maisha bila CDM hayawezi kuwepo. Hivi mioyo yenu haidundi bila CHADEMA?
 
Ei jamani umeona eei ! umo ndani ya joto ,unavua chuma unavaa bati ? Yaani unajimaliza kabisa ,Udhaifu wa CDM ni kushindwa kutamka kinaga ubaga mbele ya watu nikikusudia mikutanoni ,hivi mnaelewa Maalim Seifu alimwita nani Kikwete ,hapa JF mkaruka na mtafaruku mkubwa mkisema Maalim kapotoka ,Maalim leo ni Makamo wa Raisi wa Zanzibar na bado !
Ni kosa kubwa kuifananisha CHADEMA na CUF kuhusu maalimu kamulize Nape alisemaje alipo kuwa Mbeya nini kilimpeka Ikulu

akili yako itanuke itambue kuwa chama si mtu mmoja bali ni kundi la watu na tupowalumu CCM hatuangalii mtu mmoja ndani ya chama bali kundi kubwa la mafisadi wapo huko
 
Umeanzisha uzi ili kupima upepo!

Jk na ccm yake ndio dhaifu na wala huitaji kuwa na phd ndio ujue hilo muulize hata mtoto wa darasa la pili atakwambia!

Hilli neno dhaifu linawatafuna sana wanazi wa nyinyiemu:

poleni sana jk na ccm nidhaifu- ukweli ni uhuru.

hahahahah baeleze hao bandugu Kikwete ni dhaifu na CCM yake .... na Mnyika ametamka adharani ..watanzania wote wamesikia, Afrika Mashariki bamesikia, na Afrika nzima na Dunia nzima.... Tanzania Rais wao ni dhaifu naaaaa chama chake ni dhaifu.... muulize mtu yeyote aliyeko pembeni yako atakuambia ... CCM na RAIS WAKE DHAIFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
mwiba, rejao, ritz, na yule sijui shoga nani tena... hamuisaidii serikali iliyoko madarakani kwa style za propaganda uchwara... watu watanzania wataihukumu CCm kutokana na deliverables;
1. Huduma bora za afya mnazitoa?
2. Maji safi na salama inapatikana?
3.Elimu bora zinatolewa kwa watoto wetu?
4.Mmeweka miundo mbinu bora kwa maendeleo ya taifa?
5. Mmesimamia vipi Dhahabu, GAS, Almasi, Uranium, Nickel, Tanzanite zetu kwa faida ya umma?
6.Wakulima, Wavuvi na wafugaji wamefaidikaje kutokana na juhudi zao za kujiletea maendeleo?
7.Viwanda vyetu viko wapi?
8.Wafanyakazi mishahara yao zinakidhi mahitaji yao
9.Maliasili na vivutio vya utalii vimeinufaisha vipi nchi? kwa kiasi gani? kwanini?
10. Kwanini mnauza ardhi yetu?
11. Kwanini mnalindana ktk UFISADI wa wazi???....
12. Mmewasaidia vipi wakulima wa pamba, kahawa, korosho nk wasiendelee kunyonywa?

Hivi ndiyo vitu vinanvyopaswa kutolewa majibu na CCM ... Otherwise Watanzania hawatawaelewa ifikapo 2015 kwani shule za kata zinasaidia kueneza elimu ya uraia kwa kasi hadi kule kunako nyumba za tembe....
 
Muulize huyo jirani yako hapo nani Binadamu dhaifu kuliko wote Tanzania.... usiposikia Baba Mwanaasha .... Kiudhaifu hata mwanaasha kampita kwa Perfomance.... Bora tuongozwe na Mwanaasha kuliko huyu Baba Mwanaasha
 
jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments

rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani

He he heeeeee mambo ya WASHWA WASHWA hayo

Muulize huyo jirani yako hapo nani Binadamu dhaifu kuliko wote Tanzania.... usiposikia Baba Mwanaasha .... Kiudhaifu hata mwanaasha kampita kwa Perfomance.... Bora tuongozwe na Mwanaasha kuliko huyu Baba Mwanaasha

Ukiulizwa darasani nani Rais wa JMT utajibu nani ? nani amiri jeshi mkuu utajibu nani ? nani mkuu wa nchi na ww ukiwemo utajibu nani?

Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

Tumia kichwa kuwaza hata kama kina mapungufu na si .....
CDM hawana mahakama, hawana jeshi, hawana chombo chochotecha kuwachukulia hatuamafisadi. Kwa kuwa baba zako wote ni watenda maovuwanashindwa kuchukuliana hatua za kinidhamu. Subiri vijana wa walala hoiwaungane na wababa wasomi wenye busara kama hao unowatetea hawataozea gerezani
 
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

kukipenda hiki chama lazima uwe umelewa pombe au bange ikiisha unarudi kwny chama dume
 
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

mwiba
Chadema wanachojua ni kuratibu maandamo ya vurugu tu; sera hamna porojo nyingi; watataje mafisadi wakati ndani ya Chadema mna mafisadi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Muulize huyo jirani yako hapo nani Binadamu dhaifu kuliko wote Tanzania.... usiposikia Baba Mwanaasha .... Kiudhaifu hata mwanaasha kampita kwa Perfomance.... Bora tuongozwe na Mwanaasha kuliko huyu Baba Mwanaasha

Dooh!! umemsahau yule dhaifu wa kiroho? Aliyekimbia wito wa Bwana kwa sababu ya ngono? Hivi mtamuoza lini hamuoni hatari ya kuwa kiongozi mzinifu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

Ww nawe akili zako ni sawa na gazeti Al-nuur.
 
Yaani kila wafanyacho CHADEMA wengine mnaishia kuiga!
Kwa kuwa Mh. Mnyika katumia hilo neno DHAIFU kumwelezea rais na CCM basi.
Limekuwa ndiyo neno la kila GAMBA kutumia, Lakini ni sawa neno likisemwa na mtu makini wajinga ulikalili na kulitumia wakijifananisha naye hata kama halistahili kutumika. Ilimradi amelitumia basi anaridhika.
Endeleeni kutuiga mwisho mtakuwa nasi CDM.
 
Back
Top Bottom