CHADEMA ni chama cha PROPAGANDA

kUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia. Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu. Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.

data kwenye hiyo red please
 
Nazidi kuamini maneno ya mayor wa jiji la Dsm (DR D. Dasabur.) Ccm wengi wanafikiri kwa kutumia M.a.k.a.l.i..... Yule mwingine anae watuma juzi amesema Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni Ccm, lakini wakati huohuo akijua nchi ina takribani watu milioni 43 na huku mtaji wao wa wanachama wanao tangaza ni milioni 5. Amesahau kuwa kuna milioni 38 zinabaki ambazo hata ukisema watoto wasio na haki ya kupiga kura ni milioni 20 bado inabaki milioni 18.
Huyu mjinga nae kaja na akili zilezile zaki uwehu kama kaka yake.
 
Co bure ume2mwa wewe,hofu yako kama uliahidiwa viti maalum na magamba 2015 kuanzia sasa sahau coz CHADEMA wanachukua nchi 2015 na vibaraka wenzio kama wewe mtaishia hvy hvy....kwanza we ninani mpaka upingane na nguvu ya uma?inawezekana umetoroka mirembe kabla ya kumaliza doz,viva CHADEMA.
 
hahahahahahahahahahah nae huyu fisadi wa maneno embu jivue gamba la ufisadi huo CDM oyeeeeeeeeeeee 2015
 
....haya nenda chooni ukajisaidie
Hata Gaddafi wa Libya alikuwa na akili kama hizi zako na maneno ya kejeli kama haya yako! Lakini je, leo yuko wapi?

Ghadafi alikuwa ana akili kama za CHADEMA. Propaganda kwa CHADEMA ni mwelekeo wa udikteta.
akili yako inafuata trend hii hapa......kichwani kutakuwa kumebaki kasha tu!!! hakuna kitu tena
attachment.php
 
Hawa wakishika nchi watakuwa wanatoa matamko kila siku, ila vitendo sifuri.
 
Bora uugue ukimwi kuliko kuwa na ugonjwa wa uccm?nadhani we hujitambui kabisa na kinachoendelea tanzania ama yawezekana ni mkimbizi uliyefika jana.pole kwa mawazo finyu.
 
Bora uugue ukimwi kuliko kuwa na ugonjwa wa uccm?nadhani we hujitambui kabisa na kinachoendelea tanzania ama yawezekana ni mkimbizi uliyefika jana.pole kwa mawazo finyu.
mtoa mada yupo right; ni kheri Matonya afundishe chuo kikuu kuliko CHADEMA kuingia Ikulu; maana hilo litakuwa ni janga lingine la kitaifa; nadhani ndio utakuwa mwisho wa Tanzania!
 
sijui unazungumzia maendeleo gani ambayo unadhani ccm imeyaleta,labda ya kwako binafsi na wenzako wachache.of koz wanatishia maendeleo ya ccm kuharibu hili taifa,kama ungekuwa unaujuwa uongoz walau kidogo ungejua kuwa propaganda ni part and parcel,hata hivyo propaganda za chadema zinavyosukwa ni kisomi mno,wanatupa matumaini kuwa wanaweza kutawala
 
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia.

Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu.

Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.

Mkuu umepiga bull. Najua watakujia juu humu lakini umewapa kile ambacho wanastahili kukisikia. Candid analysis!
 
Duh Thread nyingine unaweza sema mtu anaota ndoto za kutembea; kaamka, kawasha kompyuta na kupost thread. Wewe ni nani mwenye uwezo wa kuzuia matakwa ya wananchi hao 40m uliowasema. Je kama wananchi wakisema haya tunaitaka CDM, wewe ni Tume ya uchaguzi utachakachua?, wewe ni mkuu wa majeshi utakaa kuongozwa na CDM, wewe ni IGP utatumia vijana wako kuvuruga amani kwa kuwapiga wafuasi wa CDM, wewe ni Rais aliyepo madaraka uta-abuse Power yako kwa kukataa kuwakabidhi nchi CDM kama Gbagbo?, wewe ni nani hasa unayeweza kusimama against will of the people?

Katika nchi za demokrasia None is 100% sure that atachaguliwa kuongoza kwani hata wananchi mmoja mmoja hawajui nani atachaguliwa zaidi ya kujua nani watamchagua as individuals. Maana matokeo ya mwisho yanatokana na wengi zaidi kufiria kwa pamoja independently kuwa fulani ndiyo awaongoze.

Sitatumia ubabe wala silaha za moto. Silaha yangu kubwa ni wakati. Huu kwa bahati mbaya hamuwezi kuupunguza wala kuuongeza, sijui kama mna mpango wa kufanya mapinduzi.

Nina siku 1404 za kuhakikisha huyu aitwaye Mh Slaa (kama mtampendekeza tena kugombea Urais. Na kwa uroho wake atalazimisha tu kugombea urais) au CHADEMA kuizuia kuingia madarakani.

UWEZO NINAO, NIA NINAYO, MBINU NINAZO NA WAKATI UPO. Kilichobakia ni kutangaza siku rasmi ya kuanza mapambano dhidi ya waharibifu wa nchi yetu.
Kazi yetu ni ndogo kwani nyie ni wachafu ndani ya CHAMA na nje. Toka katika maadili mpaka katika utendaji, ubadhilifu wa pesa ya ruzuku mpaka katika ajenda zenu za siri na Ujerumani. Kama Mod hataingilia kati nitaweka ushahidi wote hapa hadharani.

Mmedai ushahidi katika thread hii, sikufanya hivyo kwa kuogopa Mod kuifuta thread hii. Vinginevyo yote niliyoyasema ninaushahidi nayo.
 
Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Unayaona ya Mama Sirleafs wa Liberia pekee, vipi kuhusu propaganda za Mh. mwenyekiti wa CCM? Ama kweli nyani haoni kundule. Kuna ahadi gani ambayo imetekelezwa na Rais JK, maisha bora kwa kila mtanzania yamepatikana? Mgawo wa umeme kua historia, ununuzi wa meli kubwa za abiria na mizigo ziwa Victoria, nyasa na tanganyika, na kuimarisha kilimo na ufugaji kwa watanzania, just to refresh your memory....! unashindwa kuyaona yaliyo kwenye ncha ya pua yako unawezaje kuona ya mbali? Pia CCM haiwezi kusurvive kwani uongo wake umefika mwisho ndugu.
 
Hilo la kujiapiza kuhakikisha kuwa mh SLAA au CHADEMA haiingii Ikulu katika uhai wako nakuachia wewe
na Mwenyezi Mungu, sababu ukizingatia hapa JF hatujuani kwa sura nachelea usije ukawa mwana wa ujinini,
au hata ni malaika kutoka Mbinguni, lakini kwa hayo mengine ninalakuongea kidogo.

Kwanza, Sio lazima DR SLAA wala CHADEMA waingie ikulu,labda nikuhakikishie kwamba, hata hizi harakati
unazoziona zimetapakaa nchi nzima, kama CCM itajirudi na kuanza kujishughulisha na mambo ya wananchi
hakika nakuambia hautazisikia, Hata Jakaya akijitia nguvu na kuanza ama kutimiza ahadi zake au angalau
kutatua matatizo yaliyojitokeza baada ya yeye kuingia ikulu mapenzi waliyokuwa nayo watanzania kwake
mwaka 2005 yatajirudia maradufu.

Sijakuelewa umelibebesha neno propaganda maana gani, lakini kwa namna ulivyolitumia na kwa namna
ninavyowafahamu CHADEMA, inaonekana unamaanisha kwamba

1. kuisukuma serikali kupambana na rushwa
na ufisadi ni propaganda,

2. kuwasukuma wananchi kuhakikisha kwamba mabaraza yao ya madiwani yanazisimamia
halmashauri katika usimamiaji wa rasilimali zao ni propaganda,

3. Kuisukuma serikali kuendesha mchakato wa kutengeneza katika mpya ni propaganda

4. kuwasukuma wananchi kusimamia michakato ya uchaguzi wa viongozi wao kwa uwezo
wao wote ni propaganda.

5. kuisukuma serikali kusimamia uchumi imara wa taifa letu (control the inflation, create jobs etc)
ni propaganda.

6. Kuishikinisha serikali kuboresha miuondombinu ya kiuchumi ni propaganda.

7. kuishinikiza serikali kuboresha huduma za afya, elimu, ulinzi, sheria nk ni propaganda.

8. n.k

Well, bahati nzuri umesema wanaweza kupata wagunge kwa propaganda, lakini kama pia
ni hizi propaganda ndio zinakufanya kututambia kwamba wewe unajua utakufa lini na
utahakikisha kabla kifo hakijakuchukua DR SLAA wala CHADEMA hawataingia Ikulu najihisi
kujibishana na kiumbe kutoka ujinini.

Kwa kifupi ni kwamba kwa Propaganda hizi, hata SAU au DP, achana kabisa na CHADEMA,
wakizisimamia ipasavyo, of course, kama waavyofanya CHADEMA bado CCM will have gone
by 2015.

Thanks kwa kutambua kwamba CCM is fading away, Na kwamba wewe unaumizwa
na ukweli kwamba CHADEMA is replacing them na DR SLAA suceeding Kikwete. Kama CCM
haitazishughulikia propaganda hizi kama bado utakuwapo,2015 utakufa na kijiba cha roho yako.

Propaganda, Propaganda, Propaganda.................. Propaganda!

Mnajua nilishaacha kutumia Kamusi katika maneno ya kisiasa muda mrefu sana. Nafikiri utanielewa kwanini niliacha baada ya maelezo mafupi hapa chini.

Kuna Siasa na siasa kama vile ambavyo kuna Propaganda na Propaganda.

Kwa mtanzania Siasa ni uongo uliokomaalakini kwa wanaoijua Siasa wanasema ni kuwaeleza watu kile wanachopaswa kukisikia na sio kile wanachopenda kukisikia.

Halikadhalika Proganda, Kuzunguka Igunga Yote eti kuwaeleza wananchi kuwa CUF ni CCM B ndio lilikuwa kubwa kuliko kueleza ufumbuzi wa matatizo ya wanaigunga. Kutumia neno Dr ....... ni muhimu sana kuliko kueleza huyu Mh Slaa amefanya nini akishika nyadhifa mbali mbali. Kutumia mgawanyiko wa watanzania katika misingi ya Dini na ukabila ni muhimu sana kuliko kueleza ufumbuzi wa matatizo ya watanzania katika umoja. Sasa najiuliza hivi kauli ya umoja ni nguvu bado ni sahihi kwa CHADEMA au ndio imekufa.

Kwa hiyo unapolitaja neno propaganda, zingatia jinsi CHAMA husika kinavyolitumia na sio tafsiri katika kamusi, kwani kwa mwingine huita Takriba na kwangu ni Rushwa. Jisikia unavyolielewa neno na jinsi linavyosaidia kujenga au kubomoa nchi yetu.

Kuna rafiki yangu alinivunja mbavu aliposema kuwa Rais Bush anawakazania waarabu wakuze na kuendeleza DEMOKRASIA KATIKA NCHI ZAO, Wakati hata kwenye KAMUSI zao neno DEMOKRASIA halipo.
 
Kweli mfa majij hakosi kutapatapa,mwisho ccm tutasikia mumejinyea mavi kwenye majukwaa,maana hizo presha zimewakamata mapema hata kabla ya 2015,inawapa presha cdm eheeee!haingaikieni mamigogoro yenu ya makundi na mafisadi wenu wanao wadhamini kwwenye chaguzi ka R.A
 
akili za mchwa hizo!kawaulize watangulizi wako!akili zako hazina mashiko!iwapo cdm ni sumu na ssm ni nini kwa nchi hii hata aibu hawana!mabadiliko yakija hakuna wa kuzuia, hii ni ka upepo kaka!piga ua magamba yanaondoka!sinan doubt juu ya hili
 
kazi yao ni nyingi!1.kueleza umma wamefanya nini kwa zaidi ya miaka 502.kuuza sera zao za uongo kwa mara nyingine bila aibu3.kujibu mapigo toka kwa watu wenye fikra pevu4.kutafuta njia mbadala ya kuiba kura na kununua shahada5.kupika wali na kugawa pesa wakiamini ni njia sahihi ya kuchukua madarakawakati wenzao1.kueleza maovu yote2.kuuza sera na jinsi gani watashughulikia matatizo ya wananchi na kuja na solutionso lazima watapetape kwenye medani hii ya siasa!hata tuwape miaka mingine 100 bado hakuna watakachofanya!!!!!
 
Back
Top Bottom