CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari

Mkuu mleta thread; ni vizuri unapo-copy na ku-paste kazi za watu uka-acknowledge source. Hii post yako ume-copy neno kwa neno toka Gazeti la Tanzania Daima la leo 29th January 2012. Plagiarism haikubaliki tena ni ufisadi kama ufisadi mwingine; just acknowledge tu source inatosha.

"Habari" yenyewe hii hapa: CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari
Imefahamika, kumbe TanzaniaDaima ndiyo waliocopy habari hii neno kwa neno kutoka kwa mwana JF na hawakusema source!!
 
Back
Top Bottom