CHADEMA ndicho chama makini kilichobaki Tanzania

Ndio maana watz wanasema chadema ni mpango wa mungu
Huwezi kuwa makini na busara bila kumtegemea Allah
Kwa maana hiyo freeman na timu nzima ya CDM wanaongozwa na mungu na ni mpango wake chama hiki kuwepo hapa nchini
 
Kweli ni chama makini sana hata katiba yake inasema ukienda mahakani kudai haki yako umejifukuza mwenyewe, uenyekiti usiokuwa na kikomo hutakiwi kuhojichochote ndani ya chama wala kugombea uenyekiti utakuwa msariti ukizingu wataku .....
R.I.p. Chacha Wangwe.
 
Mbowe amebadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa milele Chadema wote mko.kimya hakuna wa kumuuliza sababu chama ni cha ukoo wake na mkwe wake Mtei

Acha uchochezi na ubaguzi ubaguzi hauna nafas karne hii ya 21
Kama ni kweli act ni chama cha upinzani hawezi kamwe kuwakwepa ukawa
na kama ni ccm b itabidi waungane na kina pita mzirai
 
Chadema ni chama makini sana kinafuata katiba kanuni na sheria walizojiwekea bila upendeleo wowote wa kuangalia nyadhifa ya mtu au kiongozi yeyote ndani ya chama
ukiwa mwanachama wa chadema lzm ufuate katiba kanuni na sheria
mwalimu nyerere alipata kusema kiongozi yeyote lzm afuate katiba ya nchi na ndio maana kiongozi yeyote ataapisha kwa katiba
Mbona mnajishtukia sana? Hapo umesema kwa fumbo tu kwamba; kuondolewa kwa zitto ni kufuata taratibu na kanuni(katiba) ya chama, au sio?
Fumbo kwa mjinga na si kwa mwelevu.
 
CHADEMA ndo cha upinzani tanzania kimepitia misukosuko bila kuyumba wala kupepesuka .
 
Jumuiya ya waisalamu tanzani na jukwaa la wakristo tanzania wanaunga mkono juhudi za ukawa na wanaunga mkono juhudi za ukawa sio kuwa wao ni wanachama wa chama chochote cha siasa la hasha ni kwa kuwa wanatetea haki na ukweli
Sasa kama taasis kubwa kama hizi zimeungana kuwa sauti moja nani mwenye uwezo wa kuwapinga?
Ccm? Au ni act na pita mzirai?
 
sheria zinzo badilishwa ili kumpa nafas dikteta mbowe nafas!!! kwenye waraka wa chacha wangwe tunaona utumbo wa MBOWE NA SLAA mpaka wanaomb radhi kukiuka katiba!!! ripoti ya c.a.g ni full ufisdi na chanzo mbowe wewe kuwa main unapotoa thread kusifu hii SACCOS ya mtei!!! funguka akili usifwate mkumbo
 
Kubali kataa mbowe bonge la kamabda
Mbowe ndio kiongozi pekee wa upinzani nchini aliyeweza kuitingisha ccm kwa kiwango cha hali ya juu kuliko kiongozi mwingine yeyote ule katika historia ya vyama vyingi nchi tanzania

Sifa za kiji, n.ga mbowe amefanya nini cha kumzidi mrema (1995)
 
Back
Top Bottom