CHADEMA ndicho chama makini kilichobaki Tanzania

ritz kwanza ushawezeshwa na nape pia mafisadi wa ccm kununua laptop?? maana uliwai kulalamika kuwa huna kitendea kazi yani laptop, for sure kwa pumba ulizotoa ata wanao wasojua lolote watahoji credibility ya kilichomo katika kichwa chako kwani kama c tope basi umejaza mikamasi, maana ulichoandika ni ugolo mtupu.
ccm ndo inawaburuza watu kwa kuwahonga ili kuchaguliwa, pia kuwasafirisha watu kt mafuso ili kuhudhuria mikutano yao na kuonyesha kuwa ina mashaiki, we acha ktumia masaburi katika kujena hoja zisokuwa na mashiko.
zaid unasumbuliwa na njaa kwani ni wazi unatumwa na mafisadi pia magamba wa ccm kujibu na kupinga kila kilicho sahihi kwa chadema.
 
Ebu tujiulize je, ni maendeleo gani yameletwa Arusha na siasa za Chadema? Ubishi, ubabe, na matumizi ya mabavu.

Chadema imewafanya wabunge wake sawa na mateka wao ikiaamuru nyuma geuka, mbele tembea.

Mara zote Chadema wanapenda kuburuza wengine na kuwalazimisha kufanya hata yale wasiyoyaamini, kutokana kanuni zao hasi za uendeshaji siasa ndani ya Tanzania yetu.

Mitizamo wa aina hii ni potofu lakini acha tuwape Chadema kile wanasheria wakiitacho "the benefit of doubt".

Tuchukulie madai ya Chadema yawe ya kweli kwamba vyama vyote, CUF,TLP,NCCR Mageuzi ni vibaraka wa CCM, na wao Chadema ndio wapinzani pekee wa CCM na wanaweza kuunda serikali mara CCM itakaposhindwa.

Hata hivyo mtu akiuliza Chadema inapinga nini? Hakuna awezaye kukujibu kwa ufasaha na kueleza kile wanachopinga hadi kutaka watanzania wote wawaunge mkono.
 
Hivi ritz ni ridhiwani jk?? Maana comments zake always ni kuwahunga mkono mafisadi wa ccm, hivi hajijui kuwa anachefua na anaboa sana?? Duh uyu anachefua sana uyu na hoja zake,
 
Heshima kwako Jesuit.

Chama kinachoendesha serekali hakiwezi kulalamika hata siku moja kazi yake kubwa ni kutenda au kutekeleza sera zalizoziuza kwa wananchi chama kinachopigania kushika serekali kina kazi moja kubwa kuonyesha mapungufu [kulalamika] ya serekali na kutangaza sera [nzuri] mbadala hili wananchi wakiamini/wakiridhika hatimaye wapewe nafasi ya kuendesha serekali.So far CDM wamejitahidi katika eneo hili la kukosoa ingawa wakti mwingine wanajichanganya sana.

Mkuu Jesuit CDM si NGO hata kidogo hizo ni propaganda dhaifu kwaajili ya watu dhaifu.Kuonyesha CDM si NGO wala haiwakilishi dini au kabila fulani tuangalie safu ya uongozi wake kwanza kabla hatujasonga mbele.

[1] Mwenyekiti Taifa
Mheshimiwa F A Mbowe Mkristo Lutheran Mchagga.

[2] Makamu Mwenyekiti Bara
Mheshimiwa Said Amour Arfi MuIslamu anatoka Rukwa

[3] Makamu mwenyekiti Visiwani
Mheshimiwa Said Issa Mohamed MuIslamu Mpemba

[4] Katibu Mkuu
Mheshimiwa Dr W Slaa Mkristo Mkatoli MuIraq

[5] Naibu Katibu Mkuu Bara
Mheshimiwa Zitto Kabwe MuIslamu anatoka Kigoma

[6] Naibu Katibu Mkuu Visiwani
Mheshimiwa Hamad Mussa Yussuf MuIslamu anatoka Pemba

Ukitazama safu ya uongozi CDM bila kengeza utaona wakristo ni wawili mmoja mkatoliki na mwingine mlutheri waliobaki wannne wote waIslamu.

Napenda kuipinga CDM kwa hoja za ukweli si hoja za hijjab au kulishwa sumu nyepesi.Tuangalie matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 ili kujiridhisha kama kweli CDM ni chama cha kanda ya kaskazini especially Kilimanjaro.

[1] Moshi Mjini Ndesamburo CDM

[2] Moshi Vijijini Dr C Chami CCM

[3] Moshi Vunjo Dr A L Mrema

[4] Mwanga Prof J Maghembe CCM

[5] Siha A Mwanry CCM

[6] Rombo J Selasini CDM

[7] Same Mashariki Ana Kilango CCM

[8] Same Magharibi Dr Mathayo David CCM

[9] Hai F A Mbowe CDM

Kwa matokeo hayo CCM wameshinda majimbo matano dhidi ya majimbo matatu ya CDM na TLP ikaambulia jimbo moja tu.Naomba kuuliza chama gani kinakulika zaidi Kilimanjaro !.Hivi unahitaji degree kuelewa hizi ni propaganda dhaifu ?.Haya mambo ya CDM kukubalika Kilimanjaro yanasemwa na kuenezwa na CCM wanapokwenda Rukwa au Tanga wakifika Kilimanjaro hawasemi hivyo.

Nimejaribu kuangalia vipengele viwili tu yaani uongozi na matokeo ya uchaguzi mwaka 2010 bado vipo vipengele vingi sana ambavyo CDM wanaweza kuvifanyia kazi hili kuondoa dhambi ya ubaguzi ambayo inatumiwa na wanasiasa wasiolitakia taifa letu mambo mema.
Nitaipinga sana CDM lakini si kwa hoja za udini au ukabila.Kama CDM ni chama cha kikanda mbona wameshinda Iringa,Mbeya,Mwanza,Kigoma,Rukwa na wilaya kibao au mnataka kuniambia Mwanza na Mbeya nazo ni sehemu ya mkoa wa Kilimanjaro ?.

  1. Chama ni NGO ya watu wachache wa Kaskazini
  2. Inaendeshwa kama family property
  3. Iko religiously polarized..
  4. Haina national agenda..bali ni Zonal agenda..
[/QUOTE]
 
ritz kwanza ushawezeshwa na nape pia mafisadi wa ccm kununua laptop?? maana uliwai kulalamika kuwa huna kitendea kazi yani laptop, for sure kwa pumba ulizotoa ata wanao wasojua lolote watahoji credibility ya kilichomo katika kichwa chako kwani kama c tope basi umejaza mikamasi, maana ulichoandika ni ugolo mtupu.
ccm ndo inawaburuza watu kwa kuwahonga ili kuchaguliwa, pia kuwasafirisha watu kt mafuso ili kuhudhuria mikutano yao na kuonyesha kuwa ina mashaiki, we acha ktumia masaburi katika kujena hoja zisokuwa na mashiko.
zaid unasumbuliwa na njaa kwani ni wazi unatumwa na mafisadi pia magamba wa ccm kujibu na kupinga kila kilicho sahihi kwa chadema.

Ha! Ha! Ha! Unachekesha...Source: FaizaFoxy.

Mimi nilalamike sina kitendea kazi Laptop? mkuu mie nipo humu JF, hata huyo Nape unaembabaikia alikuwa bado yupo shule.

Upande wa vitendea kazi wala usipime saizi natumia iPad2 nimenunua $560 Home na Laptop Apple.

Halafu nakuomba uchangie JF isonge mbele mkuu sio kuleta porojo tu humu unajaza server bure unadhani hizo gharama nani analipa?
 
Sipendi sera za majimbo zinazoshabikiwa na CDM.Hizi sera hazijawahi kuleta maendeleo Afrika sana sana zinaleta utengano mfano hai ni nchi ya Nigeria.
 
A plan is not a litany of complaints...
Ikiwa Chadema kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu..then it is a useless party..

Ndio maana wenzenu waligundua hili kule Zanzibar, wakaona hawawezi kuwaambia wananchi same stories everyday..
malalamiko.. malalamiko..malalamiko..
Huwezi kujenga nchi kwa kulalamika tuu..

Wananchi wanahitaji maendeleo sio MAANDAMANO!

Sijuwi umakini wa Chadema una upimaje?
  1. Chama ni NGO ya watu wachache wa Kaskazini
  2. Inaendeshwa kama family property
  3. Iko religiously polarized..
  4. Haina national agenda..bali ni Zonal agenda..

1. Acha kudanganya, CDM ina watu toka kila kona ya TZ hii.
2. CDM ni makini sio CCM waliomwachia JK family chama chao, atakalosema rizi one ndilo mukama atakalo tekeleza
3. Pale CDM kuna Waisilamu, wakristo na wapagani. toa ushaidi kama ni cha kidini.
4. Najua hujasoma ilani ya uchaguzi ya CDM ndo maana unasema zonal ajenda

Tuache ushabiki tuongee ukweli
 
Wewe ndio hasa unataka kuhadaa umma humu, sisi tunaijua Chadema kabla Slaa hajakipeleka chama kanisani kikapata ushawishi kilichonacho sasa hivi! Sishangai wengi mlikuwa wadogo..
  1. CDM ni kampuni ya Ndesamburo na Mtei, huwezi kupata uongozi CDM mpaka hawa mabwana waridhike hutitishia maslahi y kampuni yao
  2. Kuhusu kuwa family property hilo usibishe, pale kuna baba, baba mkwe, madada na mawifi wamepewa ubunge viti maalum, kwa sababu ni mali yao!
  3. Ukibisha swala la Udini CDM utakuwa chizi, waislamu munaowataja ni wale wa kupangwa tu ili kuuwa soo.. Waislamu wote wanajua kuwa CDM ni taasisi ya kanisa.. Hata nyinyi humu JF munaichukulia CDM sio kama chama cha siasa bali sehemu ya imani yenu! Hata mkatae vipi huo ndio ukweli!
  4. Unakataa habari ya majimbo/ ukanda kwenye Chadema? Hii si ndio sera kuu?
 
Acha propaganda za uongo,toa data watu wakuelewe ewe kijana wa nape. Unavyoongea inaonekana kuwa umelishwa maneno ya kusema. Viongozi wa CDM wametoka sehemu mbalimbali hapa TZ sio kilimanjaro pekee haiwezekani wote wakubaliane na mawazo ya Mtei na ndesambulo. kuhusu suala la viti maalumu najua magamba mlishapenyeza watu wenu CDM ilivyosituka na kubadilisha taratibu za uchaguzi mkabaki midomo wazi, ndo maana un asema hata mawifi na madada wamepewa ubunge huo ni uongo. CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hoja yako inaweza kuwa na ukweli fulani ndani yake kwa wakati tulionao sasa. Nadhani CCM ya Mwalimu ndiyo ilikuwa makini, ingawa ilikuwa bado ni chama kimoja, lakini at least umakini ulikuwepo.
 
Ebu tujiulize je, ni maendeleo gani yameletwa Arusha na siasa za Chadema? Ubishi, ubabe, na matumizi ya mabavu.

Chadema imewafanya wabunge wake sawa na mateka wao ikiaamuru nyuma geuka, mbele tembea.

Mara zote Chadema wanapenda kuburuza wengine na kuwalazimisha kufanya hata yale wasiyoyaamini, kutokana kanuni zao hasi za uendeshaji siasa ndani ya Tanzania yetu.

Mitizamo wa aina hii ni potofu lakini acha tuwape Chadema kile wanasheria wakiitacho "the benefit of doubt".

Tuchukulie madai ya Chadema yawe ya kweli kwamba vyama vyote, CUF,TLP,NCCR Mageuzi ni vibaraka wa CCM, na wao Chadema ndio wapinzani pekee wa CCM na wanaweza kuunda serikali mara CCM itakaposhindwa.

Hata hivyo mtu akiuliza Chadema inapinga nini? Hakuna awezaye kukujibu kwa ufasaha na kueleza kile wanachopinga hadi kutaka watanzania wote wawaunge mkono.
Hizi ndo data ulisema unaenda kutafuta mbona na matapishi yaleyale tu wewe kweli akiri yako unaijua wewe,acha kulalamikia mambo ambayo wewe mwenyewe shaidi namba one.
CDM sio chama cha kubeza hata siku moja ,unajua CCM ni chama ambacho kimeshafika wakati wa kufa kabisa,mimi naamini kila mtanzania sasa hivi ameshachoka na tuhuma za uongo na wizi wa fikra,kama CCM wanavyofanya,watu wa kipata shule has form 6 mimi nakuambia hutuona mtu anaunga mkono CCM,na ninajua CCM wanalijua hilo ndo maana sasa hivi wanakusanya watoto wa shule za msingi kwenye mikutano yao,wakiwa na lengo la kuwakaririsha maneno yao lakini wakifika chuoni wanashangaa wamewangeuka hapo ndipo wanavyochanganyikiwa nakuanza mambo ya udini,ukabila na ukanda mambo ambayo ni hatari na wanalijua hili,Kwahiyo wewe Ritz jiandae kufanya mazoezi ya vita maana ndiyo strategy iliyobaki kwao.Kama unapinga tupeni mikakati yenu yakubaki madarakani.
 
Maneno ya watu wasiojitambua, wengine kujiuzuru na kutoa kashfa , lakini yote hayo yalipokewa na kushangiliwa na watu wasiopenda kufikiri, wasiojitambua, waliokubali akili zao kushuka na kudumaa, walio amini katika uongo na wazandiki, Mwisho wa siku watu wenye uelewa, umakini, kujitambua, uzalendo na wakweli wameingia na kujiunga na CHADEMA, nao ni:

1. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakrati nchini MAT, Rodrikc Kabangila
2. WAkili wa Mahakama Kuu, Elinkunda George.
3. Ibrahimu Bashe (banker)

Mungu akiwa yupo upande wetu nani atashindana na sisi?
 
hawa unaowataja unajua chimbuko lao ungewajua ungeona aibu hata kuwataja hawana tofauti sana na mtu asiyejijua anafanya nini au anatoka wapi anakwenda wapi ni bendera fuaata upepo.
 
Chadema ni chama makini sana kinafuata katiba kanuni na sheria walizojiwekea bila upendeleo wowote wa kuangalia nyadhifa ya mtu au kiongozi yeyote ndani ya chama
ukiwa mwanachama wa chadema lzm ufuate katiba kanuni na sheria
mwalimu nyerere alipata kusema kiongozi yeyote lzm afuate katiba ya nchi na ndio maana kiongozi yeyote ataapisha kwa katiba
 
Back
Top Bottom