chadema ndani ya washington

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
_DSC9905.JPG
 
Mpaka mabitozi washington wanakubali safi sana,wamebaki mashorobaro na wauza sura wakizaramu na kikwere dsm sasa,badilikeni eheeee! Mnatuangusha sana.
 
Washington iko kaskazini bila shaka ila hata kaskazini ya Marekani nako ni tabu nini?
 
Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani
 
Hivi hawa watakuja kupiga kura? maana si 2 kufurahi kuwa CDM ina watu mpaka Marekani

Mamilioni ya CCM kwa matawi ya Washington na London yalikuwa kwa ajili ya wapiga kura? Sasa hivi suala la kura CDM halipo kuna suala la kula ccm kura CDM
 
Back
Top Bottom