Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Hahahahahaah si mchezo Chadema umeniletea maisha mapya katika NCHI MFU!
Tunawashukuru sana kwa kutupa updates za maana naomba mwendelee hivyohivyo!!
Siku hizi Nnape haonekani tena hapa, akiona hizi pics mmh anaweza kupata ugonjwa wa PEPOFISI badala ya pepopunda.
Hakika nguvu ya uma imeonekana mkoloni mweusi CCM lazima aachie nchi,VIVA CHADEMA.
mkuu nchi itakwenda tu Mungu atajalia kudra zake. Siku zote biashara ni asubuhi na jioni mahesabu,chelewa chelewa utakuta mwana c wako.hii ni kali.jamani kwa nini cdm msipunguze makali maana kwa hali hii nchi itakwenda kweli??????????mwanzo mwanzo hivi si tusubiri 2015?
Kaka asante. Ama kweli hili ni "jeshi la akiba". Vijana wenye ari na moyo wa kuona mabadiliko na mwamko mpya katika taifa letu. Mabadiliko duniani kote huletwa na vijana na sio maveteran kama wale tuliowaona kule Singida na kwingineko kwenye mikutano ya wavua magamba. Bravo Vijana wa Tanzania, Bravo wapenda maendeleo wote wa Tanzania. Udumu Uzalendo wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.