CHADEMA ndani ya mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 16.5.-17.05.2011

lutondwe

Senior Member
Dec 20, 2010
150
74
Makamanda cha chama cha demokrasia na maendeleo kuvamia jimbo la bibi mkola Njombe.
Hata kabla ya makamanda kuanza kazi ya kumwaga upupu tayari maelfu ya wabena na makabila yanayoishi hapa Njombe wameanza maandalizi mithili ya ujio wa Masia.Jumatatu na jumanne patachimbika hapa Njombe.
 
Tupo pamoja Kamanda Lutondwe. Naamini maandalizi yote yamefanyika. Bi Mkola lazima achanganyikiwe si amezoea vya kunyonga? Natamani sana niwepo hiyo jumatatu
 
All the best CHADEMA,

Ninakumbusha tu, kitengo chenu cha Habari bado kimelala!!!
 
Nampa lema siku 4,alete taarifa ya maandishi kwa kumsingizia PM kwamba kadanganya bunge!
 
Makamanda cha chama cha demokrasia na maendeleo kuvamia jimbo la bibi mkola Njombe.
Hata kabla ya makamanda kuanza kazi ya kumwaga upupu tayari maelfu ya wabena na makabila yanayoishi hapa Njombe wameanza maandalizi mithili ya ujio wa Masia.Jumatatu na jumanne patachimbika hapa Njombe.

Lutondwe, habari za mgendela! nazikumbuka nyimbo zako hasa ule wa Samng'ong'o kukataa madingu kutoka Mdandu.
 
tumwonee huruma yule bibi jamani,atakufa kabla ya siku zake!!!!!!!!!!!aghhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Makamanda cha chama cha demokrasia na maendeleo kuvamia jimbo la bibi mkola Njombe.
Hata kabla ya makamanda kuanza kazi ya kumwaga upupu tayari maelfu ya wabena na makabila yanayoishi hapa Njombe wameanza maandalizi mithili ya ujio wa Masia.Jumatatu na jumanne patachimbika hapa Njombe.

Kamwene mkuu utujuze kira hatuwa
 
All the best CHADEMA,

Ninakumbusha tu, kitengo chenu cha Habari bado kimelala!!!

Nibora umekumbusha wanatuangusha sehem nyingi tunazo kosa habali tunawashukulu wadau wanao jitoleya kulipoti habali sehem mbalimbali
 
shukrani kwa hiyo taarifa nategemea wana njombe wataamka .ratiba kamili ikoje mkuu?
 
hapo ni kummaliza bi mkora maana na kenyewe kanatetea ufisadi bungeni kwa kulinda hata hoja zisokuwa na masilahi kwa watanzania. Wammalize tu.
 
its a good move kwa wana Njombe, wanatakiwa kuhabarishwa sana habari za mabadiliko na CDm generally, unafahamu kuna watu kule wanasikia raha/fahari tu kuwa na Spika kutoka jimbo lao bila kuangalia beyond wananufaika vp na uspika huo, Cdm kazeni boot. mwisho wa siku itakuwa kama kumsukuma mlevi vile
 
Amsha amshaaa sana mana uko kwetu nako ni balaaa lakini mbele ya Makamanda mambo yatasonga tu.Let me wish all the best on dat day!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom