Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma
 
Picha basii
 
Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.
 
tunawatakia kila la kheri, Mungu awabariki sana. msisahau kwenda na kule Tanga pia, hasa Lushoto maeneo ya Mlalo, natarajia kuwa mbunge wa jimbo la Mlalo Lushoto 2015 kupitia CDM
 
Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.

Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
 
anawalipa Mungu.
 
Haijalishi kama kuna posha au la...uhai wa chama kwanza mengine baadae
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
Una akili fifu sana!
 
CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyosha ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!
 
Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma

Wajinga ndio waliwao. Poleni sana huko Buseresere, Bwanga, katoro mpaka kule butundwe.
 
Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.

hivi mh.regia, kuna uwezekano wowote mkapishana njiani na msafara wa PM, Pinda? Cpati picha jinsi wananchi walivyowakubali halafu itokee mpishane nae, maana kaamriwa na jk awafuate huko huko ili awadhibiti msiendelee kutia mchanga kitumbua chake. Sijui ataficha wapi uso wake, maskini mtoto wa mkulima!
 
CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyoishia ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!

Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
 
CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyoishia ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!
wAKIondoa ruzuku tutachanga cash!..habari ndiyo hiyo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom