Chadema ndani ya military university...!!

Kumbe jf ni ya chadema???? Mmenifumbua macho. Nlikuwa sijui ati.
We pusi kaa kimya au go back to topic, fanya JF kama research study yako kuhusu kupendwa ama kutokupendwa kwa vyama vya siasa hapa nchini, ndo utajua chama gani kinakubalika hapa nchini.................:yawn:
 
Mzumbe ni chuo cha wazembe na wengi kuanzia waalimu hadi wanafunzi labda nilitary kwa mazoezi ya ccm.ni chuo cha makada na watumishi kwa upgrading.
 
Mkuu mbona kila mahali unapomuona jamaa yako wa nyumbani ameshiriki kwenye shughuli za kisiasa unakuwa mbogo?
Kweli mzumbe ni chuo kikuu kisichokuwa na migogoro mingi compared to Udsm ama Udom lakini kuwa chuo cha makada na watumishi kuji upgrade utakuwa hujafanya research yako sawasawa.
 
Ubongo wake umejaa kamasi huyo.
 
Back
Top Bottom