NAONA CDM HARI NDANI KWA NDANI HAIPO SAWA COZ LISSU ANASEMA "kuna vijina ndani ya chadema hawana lolote,sio wapambanaji tena nao ni wachumia tumbo.Usiku ukifika wanawapigia simu wakina Lowasa na rostam na kuongea mambo ya kinafiki".Mnyika anacheka,nahisi hzi ni kama salama kwa mkubwa ZITTO.
Tukiinama pamoja tunainuka pamoja,pamoja mkuu
"Nyerere ndie aliyeua Tanganyika kwa ubabe" Lissu