Chadema ndani ya masumbwe

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua ofisi ya chama na kuhutubia kwa dk 25 watu walikuwa wengi sana na hakuweza kumaliza kiu yao
 
anatumia helikoputa? maana kuna kaumbali
 
Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua ofisi ya chama na kuhutubia kwa dk 25 watu walikuwa wengi sana na hakuweza kumaliza kiu yao

Nimetokea kutokuamini!
 
Siyo hilo tu. Alisemaje kuhusu ukosefu wa uongozi makini ndani ya CCM? Alisema Watanzania watautafuta nje ya CCM. Hilo ndilo neno.

Ongeza: "CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana lakini (Kwa wakati ule alipokuwa akitoa tathmini) hakina kiongoziwa kuzifafanua sera zake. Siku CHADEMA ikimpata kiongozi mwenye uwezo wa kuzifafanua sera zao CCM wakae tayari." Nadhani wakati ndiyo huu. Kumekucha!!!!!!!!! Peoples..................Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom