Chadema nao wakishindwa wakubali bila kulalamika

nimesema hivyo kwa kuangalia matokea ya kiti alichokiacha rostam aziz chadema waliyapokea shingo upande pamoja na kua gharama walizotumia ccm arumeru mashariki zinaonekana kua kubwa zaid lakin wamekubali kushindwa bila kulalamika. Kama kweli tunataka democrasia ya kweli ni lazima tuwe na imani na matokeo yoyote yatakayo tangazwa baada ya utaratibu wa uchaguzi kukamilika.
.
Mkono wa magamba kuingiza karatasi ya kura za wizi kwenye scanner ulidakwa ndio maana walishindwa arumeru. Sasa chadema waache kulalamika wanapoibiwa una maana gani? Sikuelewi kabisa. Magamba wezi sana wale nikutajie, njombe kusini waliiba kura za urais, igunga waliiba za ubunge upo hapo?
 
Katika siasa hakuna urafiki wala adui wa kudumu! Leo Ritz na Rejao wanaweza kuwa marafiki kesho Ritz akahamia CDM na Rejao akabaki CCM!

Kama Wassira na Slaa, Wassira, alikuwa NCCR Mageuzi akahamia CCM Slaa, alikuwa CCM akahamia Chadema.
 
Back
Top Bottom