Chadema na vurugu za waislaam

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Kuna kauli inasema hivi “ITS BETTER TO REMAIN SILENT AT RISK OF BEING THOUGHT FOOL,THAN TO TALK AND REMOVE ALL DOUBT OF IT’’​

kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama siasa za afrika na sehemu nyingine za Dunia nilichokigindua kwa afrika zinaendeshwa na upepo sana tena unaovuma pasipo UELEKEO na siku zote siasa za afrika zimelenga kuwapata emotional voters na si rational voters, Tanzania kama nchi ya afrika haijapona kuzikwepa siasa za kipuuzi na kihuni.

Nakumbuka nikiwa chuo niliwahi kuhudhuria MKUTANO wa CHADEMA VIWANJA VYA MAKUBURI KARIBU NA MABIBO HOSTEL , moja ya kauli ninayoikumbuka na ilitolewa na DR SLAA kuwaTANZANIA hakuna udini na kama kuna udini ni jukumu la serikali kutatatua hilo suala,

KWA muda wa mwaka mzima nimekuwa nikisikia fujo sehemu mbali mbali zikuhusisha masuala ya kidini, kwa mwenye kumbukumbu zangu nakumbuka FUJO ZA MWANZA ,ZANZIBAR, TUNDULU, DAR NA SONGEA na siku zote nilikuwa sijasikia kauli za vyama vya kisiasa Vikizungumzia HIZO FUJO, nakumbuka pia kwenye MKUTANO WA CUF kuna mtu aliwaomba waislam kukiunga MKONO CUF eti kwa hoja CCM IMEWASALITI,

lakini juzi jumapili nikiwa nasikiliza radio WAPO FM nilisikia mahojiano ya MABERE MARANDO(mwanasheria wa CHADEMA) akitoa msimamo wa chama chake kuhusu fujo za kidini ZA ijumaa iliyopita ,alisema hivi" Tanzania hakuna UDINI ILA KUNA MGOGORO WA WAISLAM NA serikali ya CCM, NA HATA WALE WANAOCHOMA MAKANISA NI WAHUNI NA AKAIKOSOA MAHAKAMA KWA KITENDO CHA KUTO KUMPA SHEIKH PONDA DHAMANA,na akamalizia kwa KUIKOSOA Bakwata na kudai haiungwi mkono na WAISLAM WA tanzania baaada ya Hii kauli kuna maswali ya ufahamu ambayo CHADEMA WANGEWAPA MAJIBU WATANZANIA ILI tuweze kutofatisha CHADEMA NA CCM ,

  1. Je kama wanaochoma makanisa ni wahuni kwa nini WANACHOMA makanisa TU na si MISIKITI AU NYUMBA NYINGINE ZA IBADA​
  2. Kama kweli wanaochoma makanisa ni wahuni, chadema wanaushahidi upi unaothibitisha uhuni wa hao wachoma makanisa​
  3. kwa sababu CHADEMA WAMESEMA wanaochoma makanisa ni wahuni beyond a reasonable doubt chadema wanawajua hao wahuni , je wamechukua hatua gani katika kuwasaidia polisi ili wawakamate hao wahuni au wamechukua hatua gani kuhakisha hao wahuni hawarudii tena kuchoma makanisa​
  4. Anadai BAKWATA haiungwi mkono na waislam wa TANZANIA HASA MUFTI WATU HAWAMTAKI, JE ni kura gani ya maoni CHADEMA WAMEWAHI KUITISHA ILI tujue ni waislam wangapi hawaitaki BAKWATA NA mufti​
  5. marando ni mwanasheria mzuri tu je hajui dhamana ni nini na hoja iliyotolewa na makahama ni mpya kwake na haipo kwenye procuderes​
  6. Kwa kuwa KUCHOMWA makanisa na hizi fujo hazijanza leo je CHADEMA WALIKUWA WAPI KUTOA MSIMAMO WAO YALIPOCHOMWA MAKANISA​
  7. Kwa kuwa chadema ni wasemaji wa waislam kuna madai ya MSINGI AMBAYO WAISLAM WANATAKA moja wapo ni la kadhi MSIMAMO WA CHADEMA NI UPI​
  8. KWA KUWA ZANZIBAR ni sehemu ya Tanzania na kuna uchomaji wa makanisa huko je tamko la chadema ni lipi Pia bado sijaelewa vyombo vya habari vya Tanzania kazi zake zipi, vingi vimetoa kauli za kulani fujo za ijumaa na kuponda sana, mbona waislam wanapodai haki zao vinaponda kuwa hawakufuta utaratibu lakini kwa nini havipondi pale wafuasi wa vyama vya siasa wanapogoma kufuata taratibu za nchi AU WAFUASI WA VYAMA FLANI WAKIDAI HAKI ZAO PASIPO KUFUATA UTARATIBU NI HAKI ILA SIE WAFUASI WA DINI TUKIDAI HAKI ZETU NI UHUNI FLANI EE,​

Ikumbukwe utashi wa wanasiasa wetu hauwezi kumaliza migogoro ya kidini , dini si kitu cha kuchezea na kutafutia UMarufu mnatupoteza kwa majibu yenu mepesi mepesi, Ntaendelea kuipenda Tanzania na si chama cha siasa hivyo sitakuwa mnafiki kwa nchi yangu​
 
Sawa Sheikh..........punguza hasira na keyboard,Then we unaamini Marando anaweza kukusaidia kutatua matatizo yako ili hali kuna chama tawala na serikali iliyo madarakani?
Na Marando aliongea mawazo yake ambayo hata mimi nakubaliana nayo sana kwamba mgogoro wa waislamu unasababishwa na makundi yaliyopo BAKWATA na nje ya Bakwata.
 
nakusikitikia umepoteza muda kuandika kitu cha kipuuzi kwani QURAN imeanza kukojolewa leo au kuchomwa moto leo ww ulisha wahi kusikia muislamu anachoma bibilia mbona hilo hilioni?
 
TAnzania si nchi inayofuata mfumo wa kidini. sasa kama Mkuu wa BAkwata Tanzania anapatikana kwa mkono wa Serikali ya CCM basi katiba inasiginwa kama ndugu Leo Lwekamwa alivyofanya enzi hizo pale Jangwani. Kuchoma makanisa haimaanishi kuwa KAtiba imebadilika bali kuna watu ambayowanataka kubadili katiba kabla ya utaratibu maalumu kufuatwa.

ZAnzibar kwa jinsi katiba ya Zanzibar ilivyosambaratishwa na wao iko inasigishana na katiba ya Jamuhuri. hivyo hakuna muungano kwa sasa na uliopo ni nadharia tu. KAma zanzibar kuna Rais na makamu wa Rais hapo kuna Muungano kweli ndugu yangu!! Funguka!!
 
CHADEMA wameropoka nafuu wangekaa kimya, kujipendekeza kwao kwa waislam kunawafanya wanuke mavi, kwao inaonekana kuchoma makanisa ni sawa tu, serikali sasa inaonekana kuwa na busara kuliko wao cdm, mmeropoka kama mulugo, tunaanza kuwatilia shaka kwa kuwa ma- opportunists,
 
Bado nacctiza kuw mcmamo wangu na wenu ni tofaut sana!! unajua kwnn 'nyani' ana dini yake na c hizo zilizoletwa kw majahaz na mel toka ulaya na uarabun. Dini hizo c zenu, wenye din zao ni wazungu na waarab! funguken nyie manyan, au mpka mrushiwe ndiz!!!
 
Kuna watu wana vichwa vigumu humu sijapata ona unawezaje kulaum cdm kwa kutoa tamko la chama? Pia ikumbukwe hawajasema kama ponda ana hatia au la wanachopigania shku zote ni haki za raia, sheria na katiba ifuatwe, jitu lingine linamlaumu aliepewa jukumu la kukisemea chama, eti marando marando wasemaji walikuwa wawili na safari na sijaona kosa lao kama viongozi pia tamko lilikuwa la haki, na waliongea vizuri kisheria
 
Bado nacctiza kuw mcmamo wangu na wenu ni tofaut sana!! unajua kwnn 'nyani' ana dini yake na c hizo zilizoletwa kw majahaz na mel toka ulaya na uarabun. Dini hizo c zenu, wenye din zao ni wazungu na waarab! funguken nyie manyan, au mpka mrushiwe ndiz!!![/QUOTE

dini zote zimetoka ktk ardhi ya waarabu ndugu, wazungu pia walipelekewa kama ss tulivoletewa. wazungu mashabiki tu kama wewe ns yule, hawajui dini.
 
Sasa kwa nini mnashabikia imani zisizokuw za kwenu...kwanin mnachukiana...kwanin mnauwana...mi inaniuma sana ninapoona huu ushabik unavyotugawa cc watu weus na kupelekea kuuwana, eti kisa dini! ina maana ndivyo mafundisho mnayopewa huko kwenye ibada...au?
 
Lets think in other side mkuu mtoa hoja, unajua kulikuwa na kashfa ya chadema ya kuwa ni chama cha wakristo. lakini wametutibishia ya kuwa chadema IS FOR PEOPLE, BY THE PEOPLE AND FOR THE PEOPLE. sio kwamba chadema inataka kura zao ila inataka watu wapate haki zao. elewa kuwa chadema pia inauchungu wakubaniwa na vyombo vya dora kukusanyika au kufanya maandamano kwa hiyo wameona bora washare pain na waislamu wao ingawaje waislamu walikuwa wamekosea kureact kwa kuchoma makanisa. bila shaka uchomaji wa makanisa ni uhuni kwasababu TANZANIA hamna udini na hatujafika huko. CHADEMA - peoples power!:watu wanatakiwa wapewe nguvu ya kutawala nchi na si watawala wawe na nguvu kututawala sisi. kusema ukweli chadema haijakosea kusema kwamba waliochoma makanisa ni wahuni ambako wahuni huwagahawafikirii kabla ya kutenda. BASI KAMA UTAENDELEA KUWEKA MSIMAMO WAKO, wewe utakuwa una udini wa ndani uliojifisha na upo uwezekano ukawa UHAMSHO!!!
 
CHADEMA wameropoka nafuu wangekaa kimya, kujipendekeza kwao kwa waislam kunawafanya wanuke mavi, kwao inaonekana kuchoma makanisa ni sawa tu, serikali sasa inaonekana kuwa na busara kuliko wao cdm, mmeropoka kama mulugo, tunaanza kuwatilia shaka kwa kuwa ma- opportunists,

Mkuu tafakari kabla ya kuandika. Tatizo la wakina Ponda na UAMSHO limeanzishwa na kukuzwa na CCM. Chadema walichokisema ndo kauli ambayo ina balance pande zote ili wasionekane wako upande wowote. Hata kama kuna matatizo ya waislam, chanzo ni uongozi wa CCM ambao kila siku wenyewe ni kulalamika na kushangaa tu.
 
Back
Top Bottom