CHADEMA na siku tisa

Kwani si ameshatekeleza maagizo? Unachotaka zaidi ni nini? nafirahi kwani ametii amri halali ya amirijeshi mkuu wa ukweli slaa!
Mbona unalazimisha kisichowezekana! Amri jeshi wa ukweli wa Tanzania ni Jakaya Mrisho Kikwete. Hata kama humpendi lakini mpe cheo chake ndg yangu,we muite Jk kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu na bado utaendelea kuwa mpinzani wala hutoonekana msaliti
 
Siku 9 zimepita kimya, na tunasikia kuna siku 21 zingine nazo naamini zitapita kimya bila kuhoji sasa sie watanzania tutakuwa na uhalali gani wa kuhoji ahadi za upande wa pili? hii ni mwendelezo tu wakuona hakuna tofauti baina yao.
 
Back
Top Bottom