msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Hivi ni kwa nini CHADEMA wameshindwa kwenda bungeni na kuintroduce sera yao ya majimbo? clearly suala la serikali tatu limeibua mjadala mzito na huenda hata likakwamisha mpango mzima wa kupatikana kwa katiba mpya kwa hiyo, one would think, its now time for a compromise. middle ground ambayo kila mtu atakubali na mjadala wa katiba mpya utaendelea bila utata. mimi personally sina chama chochote ninachokipenda kuliko kingine, vyote vina strenghths na weaknesses zake. lakini, i am an avid fan of world politics na one fact stands out; ukiangalia nchi zote zilizoendelea, zina mfumo huu wa serikali (devolution of power); Marekani, Afrika kusini, Ujerumani, Uingereza, Brazil, Urusi na hata Kenya. Faida za kuwa na mfumo huu wa serikali ni kibao, soma hapa kama unataka info zaidi (Devolved system of govt may just be what Tanzania needs - Letters - www.theeastafrican.co.ke) PS; sorry i could not translate the whole article. if u think u can help please dont hesitate.