Chadema na Oparation Sangara

Mkuu,
Nilikuwepo wakati mh Mbowe alipoendesha tamasha la vijana pale Makumira University.
Alisema kuwa kwasasa wabunge wote wa Chadema wanunue magari ya 4WD, maana kazi imeanza, na hakuna kijiji ambacho wataacha kukikanyaga nchi hii....
Pia alisema kuwa waage kabisa majumbani kwao, maana hawana mudA mrefu, wataondoka kuelekea vijijini kuanza kujenga chama...

Hiyo inaonyesha wazi kuwa wana mipango mahsusi kabisa ya kuanzia kwenye grassroot kujenga chama.

Asante kwa taarifa:clap2:
 
Mfahamu pia kuwa hamtakuwa wenyewe wenye mikakati hiyo

CUF,CCM na NCCR pia wanafikiria kufika vijijini na kwa watu wengi as possible

Tahadhdari: Mkishindwa mkubali kwakuwa wote tunafanya kazi hiyo ok!

Siyo muanze kulia foul play ok..padre slaa

Non sense! Kuanza kazi kwa CHADEMA hakuzuii vyama vingine kufanya shughuli zao za kichama na/au kisiasa.

As a matter of policy, Kila chama ni chama pinzani cha chama kingine chochote!
 
Natamani kuungana na CDM kufanya siasa. Nafikiria kuwa mwanachama wa chama cha siasa kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nitakuwa mwana-CDM.
 
Karibu maana ni kuzuri na panaaminika. Na ndio chama pekee cha uhakika kilichobaki Tanzania.
 
Mkuu,
Nilikuwepo wakati mh Mbowe alipoendesha tamasha la vijana pale Makumira University.
Alisema kuwa kwasasa wabunge wote wa Chadema wanunue magari ya 4WD, maana kazi imeanza, na hakuna kijiji ambacho wataacha kukikanyaga nchi hii....
Pia alisema kuwa waage kabisa majumbani kwao, maana hawana mudA mrefu, wataondoka kuelekea vijijini kuanza kujenga chama...

Hiyo inaonyesha wazi kuwa wana mipango mahsusi kabisa ya kuanzia kwenye grassroot kujenga chama.
PakaJ, haya maneno yamefanya siku yangu ya leo niione imeanza vizuri. Mwendo mdundo.
 
Chadema mwendo mdundo,komesha mafisadi. mie nachosubiri ni maandamano na mkutano mkubwa wa kutueleza ukweli wananchi kuhusu sakata la Arusha baada ya tar 14 kwani najua kwa ubepari wa CCM watamsimamisha Lema vikao vitano.nami ntapenda wananchi tumpokee kama shujaa kwa kuthubutu kusema ukweli. Peoples....Power!
 
Nivema kuhakikisha wanafika ktk mashinani,kwa mbinu na mkakati madhubuti CDM mabadiliko ya kweli yanawezekana sana sasa elimu kwa raia ni muhimu.
 
Mkuu,
Nilikuwepo wakati mh Mbowe alipoendesha tamasha la vijana pale Makumira University.
Alisema kuwa kwasasa wabunge wote wa Chadema wanunue magari ya 4WD, maana kazi imeanza, na hakuna kijiji ambacho wataacha kukikanyaga nchi hii....
Pia alisema kuwa waage kabisa majumbani kwao, maana hawana mudA mrefu, wataondoka kuelekea vijijini kuanza kujenga chama...

Hiyo inaonyesha wazi kuwa wana mipango mahsusi kabisa ya kuanzia kwenye grassroot kujenga chama.

Thanx for the info...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom