Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
- Thread starter
- #21
Hapo umeteleza, kwani masuala ya vyama ni tofauti sana na hapa kwenye forums. Kumbuka kuwa hao wafanyabiashara walikataa kutajwa ama kuandikwa kwenye vyombo vya habari.Wameogopa kutajwa kwa sababu zile zile zinazotufanya tusitaje majina yetu hapa.
Siku ukiacha kuitwa Kibunango, nakutumia jina lako halisi ndipo na wewe kaharufu hako katakuwa mbali nawe rafiki?
Siamini kila ambaye hataki kutaja jina lake ni fisadi. Wengine wana sababu za muhimu kabisa ambazo wakizisema hata sisi tutakubali kwamba si vema wazitaje.
Wengine ndio wanaotuletea dataz hapa sasa wakitajwa hapo si tumepunguza link?.
Hii ina maana kuwa wanajulikana na uongozi mzima wa Chadema na wale wote ambao walihudhuria halfa hiyo ya kupokea mazagazaga ya CCM. Labda uje na sababu nyingine lakini sio hii ya kufananisha mkutano na shughuli za hapa JF