CHADEMA NA m4c na PROJECTORS..KAMPENI HALISIA KABISA

Bonge la ubunifu!!japo magamba walishaanza kuitumia hiyo miaka ya 80-90 ila walituonyesha kilimo cha kahawa huku kwetu bukoba na kilimanjaro,wakatudanganya kuwa bila ccm kahawa haitastawi,leo tukija na mbadala wake itakuwa poa sana,ni akili kutumia silaha ya adui yako!!kama unaimudu.
 
Bonge la ubunifu!!japo magamba walishaanza kuitumia hiyo miaka ya 80-90 ila walituonyesha kilimo cha kahawa huku kwetu bukoba na kilimanjaro,wakatudanganya kuwa bila ccm kahawa haitastawi,leo tukija na mbadala wake itakuwa poa sana,ni akili kutumia silaha ya adui yako!!kama unaimudu.
mkuu hi silaha..CDM wasipoichukua kalaghabao..Magamba wanaweza wakaichukua....
 
Kutokana na umuhimu wa kuwafikishia ujumbe mahususi wa UKOMBOZI kwa Wananchi haswa wale wa vijijini, hata kama projector itakuwa ngumu, napenda kuongezea kuwa iwepo fursa ya kuwaekea ''VIDEO'' itakayowafanya wakusanyike mapema ili waiangalie,... Lakini iwe imekusanya matukio muhimu kama hayo yaliyosemwa hapo juu....!! Naunga mkono Hoja!
Wazo zuri pia,kile Kintro cha mwanzo na mwisho kikitumika vizuri...INAWEZEKANA KABISA.
 
Magamba sa hz wanaangaika Urais utaenda kwa nan but hii idea nzur jombaa,kama CDMwamedhamiria kuchukua hii nchi 2015
 
Ukitaka kumficha kitu mtanzania muwekee kwenye maandishi,walio wengi kisoma ni mbinde hawana muda,kwa wazo hili naunga mkono hoja watu waonyeshwe video ya haya mambo yalivyokuwa hovyo hovyo nadhani wakiona picha kitaeleweka sana sana....
 
Hili wazo ni zuri mno naliunga mkono 100%. Kwa kuongezea CDM ijikite katika documentaries zenye kuelimisha na si za shari kwa ajili ya kuwa na rekodi nzuri za kueneza amani na haki. Kwa kufanya hivyo, itasaidia kuwaondoa wanachi wasiwasi na uvumi kuwa CDM ni chama cha fujo na mauaji hivyo kueleweka na kujijenga zaidi kwa wanaanchi. Wazo la radio nalo ni zuri kwa sasa na hapo baadaye TV.
 
Mkuu unanikumbusha enzi zile huko vijijini tukioneshwa video mbalimbali hususan zihusuzo kilimo, ufugaji, na sera mbalimbali za chama. Enzi zile ndio kwanza ma-vyura (Nissan Patrol) yametoka, serikali ilinunua mengi sana kwa ajili ya kueneza sera zake "visually" kwa wananchi na malengo yalitimia kwa kiasi kikubwa.

Nakumbuka, tulitangaziwa na wenyeviti wa vijiji juu ya ujio wa onesho hilo na tulikuwa tunajiandaa mwezi mzima kabla na kwa kweli tulisuuzika vya kutosha. Hata leo, hitaji hili lingalipo hususan kuamsha walolala.
 
Ukitaka kumficha kitu mtanzania muwekee kwenye maandishi,walio wengi kisoma ni mbinde hawana muda,kwa wazo hili naunga mkono hoja watu waonyeshwe video ya haya mambo yalivyokuwa hovyo hovyo nadhani wakiona picha kitaeleweka sana sana....

haswaaa.....
 
Makamanda wetu sasa wetu sasa naona ni muda wa kufanya kwa vitendo kwani kama ni michango na ushauri wetu tupewaleteeni. Kampeni za analogia kwa sasa hazina nafasi na zina athari kubwa hasa ukizingatia watu wanaowinda roho zenu. Watch out.
 
Ushauri huu ni makini sana...kuna watu naamini watakua wanakuja kuangalia PROJECTOR(sinema) na humo humo wanadakwa na m4c
 
Ushauri huu nimeupenda mno.cha msingi ni kuchukua hatua halafu tuone TENDWA anavyotoa MAPOVU:biggrin:
 
But to be fair kama wazo hili litafanyiwa kazi, badala ya upande mmoja tu wa mabaya ya CCM, sio vibaya pia kutoa japo dondoo za mazuri yao. I believe Chadema ni chama makini na kitakuwa fair to that extent. Ha ha ha ha!
 
Hii ni mbinu kali ya kukabiliana na dampo la nyinyiem. cdm ikiwapata wataalamu wa communication wakaandaa mkanda mzuri unaoonesha hotuba muhimu za Nyerere kuhusu sifa za kiongozi halafu zikawekwa picha za matukio yaliyo kinyume na ushauri wa baba wa taifa, wananchi wataelewa somo la m4c. cdm haitakosa material resource, shaka yangu ni human/technical resource. Mnyika, nakuaminia sana, hebu jitokeze utoe neno!
 
ila projector mchana na jua kali itaonekana kweli?

Hilo linaeleweka Mkuu! Naamini makamanda wata-consider all possibilities na sio lazima iwe projector "parse".

Kwa mfano, zinaweza kununuliwa very modern Fuso au Benz kadhaa ambazo ni designed kwa ajili ya PAS (public address systems) ambapo badala ya projector zinawekewa 32-inch or more screens.

Hapa juzi wakati wa mchezo wa Simba na Yanga niliona Mercedes Benz la Super Sport all the way from South Africa kwa ajili ya kurusha live mchezo huo. Kwa hatua M4C ilipofikia ni zaidi ya SuperSport.

Issue hapa ni utashi tu wa viongozi wa chama kutoa kauli halafu utaona mambo. Ushauri mwingi umekuwa ukitolewa lakini sometimes reaction imekuwa too slow au hakuna kabisa.

Mtatiro dakeni hiyo itawasaidia pia.
 
Back
Top Bottom