wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
Baada ya Mnyika kushinda kesi mmoja ya mashabiki wa GWANDA alibeba bango limeandikwa KUNFA YAKUNA na chini kwa kiarabu
inamaana CDM tayari washaingia kwa waislam na kuwachota au?
Kama kweli bas Gamba kazi wanayo kwani inaonekana kuwa CCM haiwezi kuendelea kujiamnisha kuwa itapata kura za waislam kirahisi rahisi