Chadema na jimbo la Iramba Mashariki...

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Wananchi wa jimbo la Iramba mashariki wameelezea kuchoshwa na ulaghai unaofanywa na Chama Cha Mapinduzi kupitia mbunge wao Salome D. Mwambu na wameapa kufanya mabadiliko makubwa 2015.

Katika hatua nyingine wananchi hao wamewataka viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo [ CHADEMA] kufika jimboni humo ili wazungumze nao mambo mbali mbali ikiwamo uimarishaje wa chama jimboni, kadi za uanachama, bendera na kufungua matawi, nk.

Jimbo la Iramba Mashariki linasumbuliwa na uhaba mkubwa wa maji, huduma za afya, miundombinu ni duni mno, shule zina upungufu mkubwa wa walimu na vitabu, nk. Pia mbunge wao amewatelekeza na haonekani jimboni mwao.

Source: Ni mimi mwenyewe nipo Iramba mashariki.
 
Nao (Chadema) wakamshinda (CCM) kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao;ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Kwa hiyo shangalieni enyi mbingu,nanyi mkaao humo_Ole wa nchi na bahari! kwa maana yule Ibilisi (CCM) ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi,AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHAHCE TU.
 
Mkuu pitia kule jimboni kwa mzinzi usikie na maoni yao wanasema nini. Big up kamanda!
 
Na wote tuitikie amina
 
Elfu 5.,ubwabwa,kanga na flana za kijani zimewaponza wakome sasa maana hawaelimiki,magamba wataendelea kutumia umaskino wao kuwagaragaza na kuwaseta kizimu
 
Lissu amewafungulia njia watu wa singida acheni kuchagua magamba. Mwaka 2015 ni mwaka wa mabadiliko msikubali tena kudanganywa tena na hao ccm la sivyo mtabaki nyuma kimaendeleo kila siku.
 
Mkuu pitia kule jimboni kwa mzinzi usikie na maoni yao wanasema nini. Big up kamanda!
Wiki ijayo nitakuwa jimboni kwa huyo FATAKI na nitawaletea maoni ya wananchi wa huko pamoja na hali nzima ya kisiasa.
 
Lissu amewafungulia njia watu wa singida acheni kuchagua magamba. Mwaka 2015 ni mwaka wa mabadiliko msikubali tena kudanganywa tena na hao ccm la sivyo mtabaki nyuma kimaendeleo kila siku.
Message delivered mkuu.
 
Elfu 5.,ubwabwa,kanga na flana za kijani zimewaponza wakome sasa maana hawaelimiki,magamba wataendelea kutumia umaskino wao kuwagaragaza na kuwaseta kizimu[/QUO Ubwabwa, nyama, sukari na kanga ndio ilikuwa janja ya magamba sasa wananchi wamewashtukia! 2015 magamba watalia na kusaga meno.
 
Nao (Chadema) wakamshinda (CCM) kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao;ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Kwa hiyo shangalieni enyi mbingu,nanyi mkaao humo_Ole wa nchi na bahari! kwa maana yule Ibilisi (CCM) ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi,AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHAHCE TU.

Bujibujiiii....! Umenikumbusha mbaaali sana.
 
Nao (Chadema) wakamshinda (CCM) kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao;ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Kwa hiyo shangalieni enyi mbingu,nanyi mkaao humo_Ole wa nchi na bahari! kwa maana yule Ibilisi (CCM) ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi,AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHAHCE TU.

??????????????????????????
 
makamanda nendeni mkaikomboe jimbo la Iramba mashariki kwa wananchi wa iramba wanawaomba sana
wamedai uwa wamechoshwa na mbunge . please do hurry to help that jimbo kwani ni letu 2015
 
Hili jimbo lilikaliwa na mh. Mgana msinai izumbe tangia 1995 hadi 2010 jumla miaka 15
 
Wananchi wa jimbo la Iramba mashariki wameelezea kuchoshwa na ulaghai unaofanywa na Chama Cha Mapinduzi kupitia mbunge wao Salome D. Mwambu na wameapa kufanya mabadiliko makubwa 2015.

Katika hatua nyingine wananchi hao wamewataka viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo [ CHADEMA] kufika jimboni humo ili wazungumze nao mambo mbali mbali ikiwamo uimarishaje wa chama jimboni, kadi za uanachama, bendera na kufungua matawi, nk.

Jimbo la Iramba Mashariki linasumbuliwa na uhaba mkubwa wa maji, huduma za afya, miundombinu ni duni mno, shule zina upungufu mkubwa wa walimu na vitabu, nk. Pia mbunge wao amewatelekeza na haonekani jimboni mwao.

Source: Ni mimi mwenyewe nipo Iramba mashariki.

mkuu mnyisanzu.nipo hapa ulemo.ni kwamba huku iramba magharibi.tuna+adha+kubwa,vichanga vinavyozaliwa vina typhoid mkumbushe mwigulu.ahadi ya visima vya maji.
 
Back
Top Bottom