Elections 2010 Chadema na itv - uzeni vcd na dvd za mdahalo wa jana

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
Naombeni ITV mfanye muwezalo kuuza ule mdahalo wa jana... ni tukio la kihistoria si kwasababu slaa alifunika tu, hapana bali pia kwa wapinzani kupata airtime kama ile haijawahi kutokea

we needs these milestones in our history
 
Nadhani hiyo ni hatua ya mbali kidogo, ila itolewe CD au DVD na irushwe mara nyingi zaidi kwa tv zingine au marudio ITV
 
Back
Top Bottom