Chadema na hujuma za ulimboka

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:
 
Mkuu huchoki maana kila post au thread unayoianzisha ni ya CDM
Kuna watanzania wamekwama kwenye meli iliyozama kule hebu jipe muda uwafikirie kidogo kuliko kila time wewe na CDM
Kila thread ni issue ile ile hebu wafikirie kidogo watanzania waliopoteza maisha
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

Hao CDM ni akina nani ? Kama mpaka sasa hajawasema, itakuwaje awaseme baadaye !!! Mawazo, masikio na macho yako katika hali ilivyo kule Zanzibar. Acha kwanza mambo yako hayo ya taarifa za Kiinteligensia.
 
Mwiba ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huchoki maana kila post au thread unayoianzisha ni ya CDM
Kuna watanzania wamekwama kwenye meli iliyozama kule hebu jipe muda uwafikirie kidogo kuliko kila time wewe na CDM
Kila thread ni issue ile ile hebu wafikirie kidogo watanzania waliopoteza maisha
Zanzibar nimeshasema ,kuwa watu wanakufa kila siku,hata mimi na wewe tupo kwenye waiting list huwezi kujua !
Mimi nipo na waliokuwa hai ambapo mimi na wewe ni mmoja wao,Hazidishiwi wala hapunguziwi mtu muda wake ,ahadi zao zimefika na ambao bado wameokolewa . Tatiso sisi turipo hai .
 
Mambo yanaweza kugeuka jamani ,hela inatumika siku hizi .Kila kitu kujipanga ,mtakuja kuwacha midomowazi !
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

Nahisi kama umekosea hapo kwenye red; siyo kwamba ulidhamiria kuweka C ila tu kidole kikateleza in the direction of 11:55?
 
Akili zikigeuka upsidedown unaweza kuanzia kusoma chini ya kitabu kuja juu! Ninakihisi kitu kama hicho hapa!
 
Duh! una bahati mbaya Dr ulimboka anaendelea vizuri na ameshasema alie husika anatoka ikulu, na kwakua ikulu hawakai CDM ni uwenda wazimu kufikiria na kujitisha mwenyewe kuwa itakuwaje. haiji kutokea CDM kuhusishwa na mambo ya ccm
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

nape kakutuma, nenda kanase posho kwanza akili yako iwe sawasawa ndo uje ni siasa zako maji taka
 
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:

Natumai hata kwenye ndoto zako za mang'amung'amu huweweseka na kupiga makelele za CHADEMA. Hongera sana
 
Mambo yanaweza kugeuka jamani ,hela inatumika siku hizi .Kila kitu kujipanga ,mtakuja kuwacha midomowazi !

hapo kwenye red tuachwe midomo wazi mara ngapi? wakati tangu aliposema aliyemteka anatoka ikulu watu tuliachwa midomo wazi?
 
Sio lazima aseme, imekwisha julikana kuwa CDM ndio wahusika,huoni wanavyo tapatapa
 
kwani wakati wa manabii au mitume watu walikuwa hawaulizi ?

we jamaa mda mwingine unakuwa bogas kabisaa, mbona unaheshima yako mkuu kwanini ujiharibie kwa mambo madogo, tupo na huzuni bwana watanzania wenzetu wamekufa achana na mambo ya cdm japo siku 3 tu za maombelezo!
 
Back
Top Bottom