walikua hawana,ben ali wa tunisia katawala miaka 25, mubarak wa misri alitawala miaka 29 na gadafi ametawala miaka 41, na ali muhammad saleh wa yemen ametawala miaka 31 hapo utaona kuna tofautikubwa sana na tzania mwinyi katawala miaka 10,mkapa miaka 10,na jk miaka 6 tu nakunakua na uchaguzi kila baada ya miaka 5 hapo pima na utaona tofauti.kwani Misri walikuwa hawana utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila baada ya miaka mitano? Au Tunisia? au Yemen?