Elections 2010 CHADEMA na CUF kubalini haya ili kuliokoa taifa letu

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,507
3,364
Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa umakini na kugundua kuwa CUF wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya pwani ya tanzania na hasa visiwani unguja na pemba na mikoa ya dsm, pwani, lindi na mtwara na tanga...na pia CUF walijizatiti kuingoa ccm huko visiwani zanzibar..

LAKINI..CHADEMA wao wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya bara na kwa visiwani na mikoa ya pwani niloitaja hapo juu wana ushawishi mdogo na kwa zanzibar ni kama hawapo..HATMA YA TAIFA IPO MIKONONI MWA WAWILI HAWA "KUUNGANA"...na kupeana support kwenye maeneo yenye ushawishi...na hili ni pendekezo langu juu ya muungano huo
1- CHADEMA WAIPE SUPPORT CUF ISHINDE URAIS NA KUONGOZA SEERIKALI YA ZANZIBAR
2- CUF WAIUNGE MKONO CHADEMA ILI IONGOZE SERIKALI YA BARA

Kinyume cha haya mapendekezo yangu naona uwezekano wa CUF kushinda zanzibar na ccm kushinda bara..SIPATI picha sera ya elimu bure zanzibar itatekelezwa vip na CUF wakati maendeleo ya zanzibar yanategemea bajeti ya bara iliyokuwa chini ya utawala wa kiimla wa ccm?

NAONA PICHA NZURI ya chadema kushinda bara na cuf zanzibar na kwakuwa sera za vyama vyote zinalenga kumkomboa mtanzania ...elimu bure na matibabu bure itatimia, kubadilisha katiba ndani ya 100 days itatimia na kupunguza matumizi mabovu ya kifalme ya serikali itakuwa kweli...na MAISHA KATIKA UHALISIA WAKE YATAPATIKANA KWA KILA MTANZANIA

NAONA PICHA YA MAWAZIRI NA WABUNGE WA VYAMA VYOTE WAKIFANYA KAZI PAMOJA KWA LENGO LA KULETA MAENDELEO YA TAIFA NA SIO KUTETEA MASLAHI YA CHAMA KIMOJA CHA KIJAMBAZI

HITIMISHO:- VIONGOZI WETU WA VYAMA VIWILI VIKUU VYA UPINZANI..CHONDECHONDE KAENI CHINI MUUNGANE TUNAWATEGEMEA KUTULETEA MABADILIKO...PROF LIPUMBA KUBALI UWE WAZIRI MKUU WETU NA RAIS SLAA MAMBO YATAENDA SAFII...SAWAAAAA??..PIPOOOOZZZ PAWAAAAAA.
 
nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa umakini na kugundua kuwa cuf wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya pwani ya tanzania na hasa visiwani unguja na pemba na mikoa ya dsm, pwani, lindi na mtwara na tanga...na pia cuf walijizatiti kuingoa ccm huko visiwani zanzibar..

lakini..chadema wao wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya bara na kwa visiwani na mikoa ya pwani niloitaja hapo juu wana ushawishi mdogo na kwa zanzibar ni kama hawapo..hatma ya taifa ipo mikononi mwa wawili hawa "kuungana"...na kupeana support kwenye maeneo yenye ushawishi...na hili ni pendekezo langu juu ya muungano huo
1- chadema waipe support cuf ishinde urais na kuongoza seerikali ya zanzibar
2- cuf waiunge mkono chadema ili iongoze serikali ya bara

kinyume cha haya mapendekezo yangu naona uwezekano wa cuf kushinda zanzibar na ccm kushinda bara..sipati picha sera ya elimu bure zanzibar itatekelezwa vip na cuf wakati maendeleo ya zanzibar yanategemea bajeti ya bara iliyokuwa chini ya utawala wa kiimla wa ccm?

naona picha nzuri ya chadema kushinda bara na cuf zanzibar na kwakuwa sera za vyama vyote zinalenga kumkomboa mtanzania ...elimu bure na matibabu bure itatimia, kubadilisha katiba ndani ya 100 days itatimia na kupunguza matumizi mabovu ya kifalme ya serikali itakuwa kweli...na maisha katika uhalisia wake yatapatikana kwa kila mtanzania

naona picha ya mawaziri na wabunge wa vyama vyote wakifanya kazi pamoja kwa lengo la kuleta maendeleo ya taifa na sio kutetea maslahi ya chama kimoja cha kijambazi

hitimisho:- viongozi wetu wa vyama viwili vikuu vya upinzani..chondechonde kaeni chini muungane tunawategemea kutuletea mabadiliko...prof lipumba kubali uwe waziri mkuu wetu na rais slaa mambo yataenda safii...sawaaaaa??..pipoooozzz pawaaaaaa.

hapo kwenye nyekundu tayari umeshaweka mdingi mbovu wa makubaliano haya. Nafikiri waanzishe mazungumzo na wakubaliane kuwa yeyote atakayepata kura nyingi zaidi ya mweznie ndio nawe rais na mwenzei awe wziri mkuu. Nafikiri that arrangement could work better.
 
Mimi si mwanasheria ila ''Gurus wa sheria'' watufumbue macho je inawezekana????
 
hapo kwenye nyekundu tayari umeshaweka mdingi mbovu wa makubaliano haya. Nafikiri waanzishe mazungumzo na wakubaliane kuwa yeyote atakayepata kura nyingi zaidi ya mweznie ndio nawe rais na mwenzei awe wziri mkuu. Nafikiri that arrangement could work better.

unajua kaka kwa analysis yangu ni kuwa prof. Atakuwa na kura chache kuliko dr.... So kwa hoja ya serikali ya mseto sioni kwann asepewe u-pm..anyway bado pia wanaweza kufanya arrangements za serikali itavyokuwa..i wish hata watu wazuri wachache kwa ticket ya ccm wanaweza kupewa nafasi katika mseto huo..say prof. Tibaijuka..we need her kwa maendeleo ya taifa...ni maoni tuu wadau
 
Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa umakini na kugundua kuwa CUF wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya pwani ya tanzania na hasa visiwani unguja na pemba na mikoa ya dsm, pwani, lindi na mtwara na tanga...na pia CUF walijizatiti kuingoa ccm huko visiwani zanzibar..

LAKINI..CHADEMA wao wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya bara na kwa visiwani na mikoa ya pwani niloitaja hapo juu wana ushawishi mdogo na kwa zanzibar ni kama hawapo..HATMA YA TAIFA IPO MIKONONI MWA WAWILI HAWA "KUUNGANA"...na kupeana support kwenye maeneo yenye ushawishi...na hili ni pendekezo langu juu ya muungano huo
1- CHADEMA WAIPE SUPPORT CUF ISHINDE URAIS NA KUONGOZA SEERIKALI YA ZANZIBAR
2- CUF WAIUNGE MKONO CHADEMA ILI IONGOZE SERIKALI YA BARA

Kinyume cha haya mapendekezo yangu naona uwezekano wa CUF kushinda zanzibar na ccm kushinda bara..SIPATI picha sera ya elimu bure zanzibar itatekelezwa vip na CUF wakati maendeleo ya zanzibar yanategemea bajeti ya bara iliyokuwa chini ya utawala wa kiimla wa ccm?

NAONA PICHA NZURI ya chadema kushinda bara na cuf zanzibar na kwakuwa sera za vyama vyote zinalenga kumkomboa mtanzania ...elimu bure na matibabu bure itatimia, kubadilisha katiba ndani ya 100 days itatimia na kupunguza matumizi mabovu ya kifalme ya serikali itakuwa kweli...na MAISHA KATIKA UHALISIA WAKE YATAPATIKANA KWA KILA MTANZANIA

NAONA PICHA YA MAWAZIRI NA WABUNGE WA VYAMA VYOTE WAKIFANYA KAZI PAMOJA KWA LENGO LA KULETA MAENDELEO YA TAIFA NA SIO KUTETEA MASLAHI YA CHAMA KIMOJA CHA KIJAMBAZI

HITIMISHO:- VIONGOZI WETU WA VYAMA VIWILI VIKUU VYA UPINZANI..CHONDECHONDE KAENI CHINI MUUNGANE TUNAWATEGEMEA KUTULETEA MABADILIKO...PROF LIPUMBA KUBALI UWE WAZIRI MKUU WETU NA RAIS SLAA MAMBO YATAENDA SAFII...SAWAAAAA??..PIPOOOOZZZ PAWAAAAAA.

Hilo wazo lako halitapita likifikishwa Msikitini.
 
nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa umakini na kugundua kuwa cuf wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya pwani ya tanzania na hasa visiwani unguja na pemba na mikoa ya dsm, pwani, lindi na mtwara na tanga...na pia cuf walijizatiti kuingoa ccm huko visiwani zanzibar..

lakini..chadema wao wanao ushawishi mkubwa katika maeneo ya bara na kwa visiwani na mikoa ya pwani niloitaja hapo juu wana ushawishi mdogo na kwa zanzibar ni kama hawapo..hatma ya taifa ipo mikononi mwa wawili hawa "kuungana"...na kupeana support kwenye maeneo yenye ushawishi...na hili ni pendekezo langu juu ya muungano huo
1- chadema waipe support cuf ishinde urais na kuongoza seerikali ya zanzibar
2- cuf waiunge mkono chadema ili iongoze serikali ya bara

kinyume cha haya mapendekezo yangu naona uwezekano wa cuf kushinda zanzibar na ccm kushinda bara..sipati picha sera ya elimu bure zanzibar itatekelezwa vip na cuf wakati maendeleo ya zanzibar yanategemea bajeti ya bara iliyokuwa chini ya utawala wa kiimla wa ccm?

naona picha nzuri ya chadema kushinda bara na cuf zanzibar na kwakuwa sera za vyama vyote zinalenga kumkomboa mtanzania ...elimu bure na matibabu bure itatimia, kubadilisha katiba ndani ya 100 days itatimia na kupunguza matumizi mabovu ya kifalme ya serikali itakuwa kweli...na maisha katika uhalisia wake yatapatikana kwa kila mtanzania

naona picha ya mawaziri na wabunge wa vyama vyote wakifanya kazi pamoja kwa lengo la kuleta maendeleo ya taifa na sio kutetea maslahi ya chama kimoja cha kijambazi

hitimisho:- viongozi wetu wa vyama viwili vikuu vya upinzani..chondechonde kaeni chini muungane tunawategemea kutuletea mabadiliko...prof lipumba kubali uwe waziri mkuu wetu na rais slaa mambo yataenda safii...sawaaaaa??..pipoooozzz pawaaaaaa.

nakumbuka siku za nyuma kidogo yalikuwepo mazungumzo kuhusu kuzuia vyama vya siasa kuungana, kuna mtu ana kumbukumbu?
 
Back
Top Bottom