CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

mzazi shule inatakiwa hapa? nani kataja kuwa mbele ya cuf,ishu ni uchaguzi tuone mshindi nani kama cuf atafuatia no problem but cha muhimu ushindi wa ubunge kwa chadema acha kufikiri kwa makalio

Hivi hii kauli ya kitoto kufikiri kwa makalio nani aliwakaririsha?maana naona kila mwanachama wa chama cha vinega asipoiimba anakua hajakamilisha siku zake
 
kuhusu cuf i have no idea zaidi ya kujua ni chama cha siasa ila chadema nilipata kusikia kwamba ni chagga delopment something nimesahau kidogo,je upo ukweli wa hilo??nomba wanajamvi wanaoijua chadema sawasawa wanijuze hili pia,naona limenijia wakati mzuri sana

Cdm ni political party while cuf ni muslim institution engaged in political issues
 
Hapo kwenye red tu ndio pana kaukweli fulani

Igunga na Ubungo ni Namanga pia, au mlishasahau jinsi tulivyowavua nguo?

Mbeya na Iringa. Singida na Kigoma napo ni Himo? Jidanganye mwenyewe kwa kuwa ni ugonjwa wa CCM.

Na wewe muanzisha mada, Tanzania kuna chama kikuu cha upinzani kimoja na si viwili na naamini wewe unakijua. Kudhihirisha kuwa unajua upande gani ni mzito kwenye swali lako, umeamua kuweka picha ya jobless wakimshangilia Super Failure akirudi nyumbani ili kubalansisha angalau kidogo.

Kama mnaamini CDM ina maeneo basi you just stay tuned. Ikiwa hamkuona nini tulifanza pale pale alikozaliwa Lipumba, sijui nini kinawafanya muamini hatutaweza kufanya Lindi na Mtwara ambako tulishabipu kwa M4C.
 
Hatuangalii mambo ya umaarudu hapa!!! maana kama ni umaarufu chama kingine kinaweza kuwa maarufu kwa kupendwa na dini fulani zaidi kuliko nyingine au kupendwa na watu wa mkoa fulani kuliko wengine au watu wa kabila fulani kuliko wengine au watu wa rika fulani kuliko wengine hizo zote ni umaarufu. sasa ili uweze kujenga hoja lazima ufafanue umaarufu gani. Mimi kwa mtazamo wangu nazani hoja yako ingekuwa ni CHAMA GANI CHENYE MWELEKEO WA KIZALENDO NA KUMTETEA MTANZANIA KWA MANENO NA VITENDO'''
 


Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???

matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".

Hivi Chadema kina wanachama wangapi VISIWANI?
 
cuf1.jpg

fomu-maalim-seif1.jpg
 
View attachment 64750Mimi si mwanasiasa lakini napenda kufuatilia siasa za Tanzania na dunia.Haina ubishi kwamba chama maarufu ni kile ambacho kinahofiwa na chama tawala kuchukua dola.Sasa CDM utailinganishaje na CUF wakati CUF ni mwanandoa(mshirika) wa CCM chama chenye hofu ya kuondolewa madarakani na kinachomalizia muda wake?CDM kwa sasa hakiwezi kulinganishwa na chama chochote kwa umaarufu.Kama CUF itataka umaarufu haina budi kujiondoa kwenye ndoa iliyoifunga kwa kulazimishwa.
 
nIKISEMA NIHESABU WALE WATU WALIOKUWA WANAMSIILIZA SIJUI KAMA 50 WATAFIKA

Hivi tatizo ni kusikilizwa ama ni kueleweka unachokisema?unaweza kusikilizwa na hata kubebwa kama jeneza na wanaokusikiliza lakini muhimu ni kuongea yanayoeleweka
 
Hivi Chadema kina wanachama wangapi VISIWANI?

Kuchukua+chakula.JPG

Viongozi wa Chama cha Demokrasia kwenye mpunga wa idd el haj

Chadema+na+Idd+1..JPG
Chadema+na+Idd+3..JPG


UKIMUACHA HUYO MWENYE SKAFU YA CHADEMA SHINGONI NA FAMILIA YAKE SIDHANI KAMA WANAE MWANACHAMA MUNGINE HUKO VISIWANI​
 
View attachment 64750Mimi si mwanasiasa lakini napenda kufuatilia siasa za Tanzania na dunia.Haina ubishi kwamba chama maarufu ni kile ambacho kinahofiwa na chama tawala kuchukua dola.Sasa CDM utailinganishaje na CUF wakati CUF ni mwanandoa(mshirika) wa CCM chama chenye hofu ya kuondolewa madarakani na kinachomalizia muda wake?CDM kwa sasa hakiwezi kulinganishwa na chama chochote kwa umaarufu.Kama CUF itataka umaarufu haina budi kujiondoa kwenye ndoa iliyoifunga kwa kulazimishwa.

Mbona hili la ndoa linaongelewa sana mbona kuna halmashauri kama ya Kigoma ambayo CDM ilifunga ndoa na CCM. Au CDM kwa sasa wanamtamani bwana wao wa zamani? hivyo wana wivu?
 
Mbona unauliza maswali rahisi na unategemea majibu magumu?Jibu unalo mwenyewe mkuu!
 
Back
Top Bottom