CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

wabunge wakuchaguliwa na wananchi majimboni nisawa kati ya cuf na cdm ispoku chadema inawabunge wengi wa viti maalum vya wanawake ambao huwa hawawakilishi wananchi hasa.
Shusha takwimu hapa badala ya kuropoka... CDM ngapi na CUF ngapi acha blah blah.
 
CUF ndio Chama maarufu kuliko Chadema na CCM. Ushahidi ni mkutano wa Jangwani uliojaza watu siku ya jumapili ya terehe 09/09/2012. Mchakamchaka mpaka Ikulu 2015, Haki sawa!!!!
 
na nikitaka kujua umaarufu wa chadema na ccm nitumie njia hiyo hiyo au linapokuja suala hilo web site ya tume inakua haina mpango?chadema kwa kujipenda hamjambo

Ndio tumia njia hiyo hiyo, kuna tofauti kati ya umaarufu na kupendwa... Inawezekana CCM ni maarufu kuliko CDM lakn CDM ikawa inapendwa kuliko CCM..!!
 
kama hiyo ndio determinant pekee kwa hiyo tukubali ukweli kwamba ccm bao kinabaki kuwa chama mashuhuri zaidi kwa wakulima na wafanyakazi wa nchi hii?sidhani.fikiria vizuri uje na majibu ya kina,hii mada will be here to stay,haina haraka.

Ni kwa nini una upeo mdogo wa kufikiri uliuliza kati ya Cuf na Cdm nimekupa jibu ushakimbilia ya CCM. Acha undumilakuwili stick to point.
 
Ishu ya mleta post ni kujaribu kuipandisha cuf coz level ya chadema ya sasa si ya kumuweka na cuf coz ccm yenye dola inahaha kuhusu chadema.na kuhusu nguvu ya chadema ilipo nafikiri ipo kanda ya ziwa km unabisha angali sehemu iliyotoa wabunge weng wa chadema
 
Swali hili zuri sana kwa Wassira, Mwigulu na Nape!! wapelekeee watakujibu kwa ufasaha zaidi
 
wanachama wa chadema wanapoteza maisha siku hizi kila mkoa ambapo cdm inakwenda,na kila kamanda wapolisi anaejaribu kuwazuia huharibu sifa zake na kujitia aibu.kwa sasa cdm ina wabunge wengi tanzania bara kulinganisha na cuf.na cdm ndio chama ambacho ccm wanatumia nguvu nyingi kukikabili kwa sasa mpaka hapa cdm kumi cuf bila.na kipindi cha zama za cuf na hata sasa cuf ni imara zaid znz kuliko bara na huko ndipo cuf ilipata kupoteza wanachama wengi zaidi pale walipouwawa na polisi.kwa sasa cdm ndio chama maarufu kuliko vyote tanzania na ukiitisha uchaguzi ambao ni fair ni lazima cdm watashinda tu naishia hapa.
 
kwani Cuf ni chama cha siasa au taasisi ya dini? embu wanajamvi mnijuze maana niliona hijabu na balakhashia ndo zilijaa kwenye mkutano ule wa jana...
 
Chadema mkuu cuf wameiga m4c wanaita mchakamchaka kwenda shuleni.
 
Mada hii haujaitendea haki kabisa kwa sababu inajulikana kabisa kwamba CDM, ndicho chama mbadala kwa CCM, Na kinakubalika sana kwa sasa kuliko vyama vyote vya upinzani. Mambo mengi yako wazi kwa mfano unaweza kuangalia matokeo ya kura za uchaguzi wa Uraisi Mgombea wa CUF Aliachwa mbali sana na Dr Slaa wa CDM. Mbili CDM ni chama chenye Madiwani wengi Tanzania kuliko chama chochote cha Upinzani. Tatu CDM ni chama chenye wabunge wengi Tanzania kuliko chama chochote cha upinzani. Nne Cdm Ni chama kinachokubalika kwa sehemu kubwa ya Tanzania kuliko vyama vingine vya upinzani. CUF, ni chama chenye msomi mzuri sana Ndugu Prof Lipumba lakini kinakubalika sana PEMBA,LINDI,MTWARA, Na Katika baadhi ya maeneo fulani fulani.Unaweza kujiuliza Maeneo kama Kigoma ni CHADEMA NA NCCR Mageuzi.Na nafikili CUF wanahaja ya kujiuza zaidi ili waeleweke kwa jamii kubwa ya Tanzania. Hata Tabora CDM wako juu. Hata Dar Es Salaam, CDM wako juu ya CUF. Enzi za CUF kutamba zilikwisha ile miaka ya 2000, hadi 2005. Kuanzia 2010 ni CDM. CDM kwa taarifa yenu wana wabunge wengi zaidi mkoa wa Shinyanga kuliko hata Kilimanjaro. Kilimanjaro ina wabunge watatu wa CDM sawa na Mwanza. Kusema kwamba CDM inaishia Himo ni mzaa, utani,upuuzi,propaganda,ukipofu, ghiliba na ujinga uliopitiliza. Na nafikili watu wenye timamu hawawezi kusema hili, ni wale hamnazo tu. Kwa sababu vielelezo vyote vipo wazi. Na kama unabisha CDM NA CUF wapambanishwe katika majiji haya manne ya Tz kimikutano uone.
 
chama maarufu nadhani kura za mwaka 2010 zinaonesha ,idadi ya wabunge ndani ya bunge,madiwani nchi nzima,serikali za mitaa, kutoshirikiana na serikali kwa namna yoyote ,kukubalika kwa hoja kupiganishwa na system huo ndio umaarufu wa chama na si vinginevyo
 
Nataman kauchaguz ata cha ubunge kafanyike waumbuke watu .kama igunga ivi tuone nani atakuwa mbabe
 
Mimi naona hili ni swali la kijinga kwa kuwa matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 yapo wazi kabisa!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom