CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

ukitulia na kusoma vizuri kwa kituo utagundua kwama umadandia mada bila kuielewa,yani umekurupuka kiufupi,hakuna mahali niliposema kwamba ni mimi ndio ninaesema bali nilichosema ni wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaanzia namanga na kuishia njia panda ya Himo

Hivi unapoandika habari ni lazima uandike "haya, mimi nasema"? In short, (wewe) umemjuza huyo muungwana kwamba kuna wanaosema. Kisichoeleweka hapo ni kipi?
 
Hivi unapoandika habari ni lazima uandike "haya, mimi nasema"? In short, (wewe) umemjuza huyo muungwana kwamba kuna wanaosema. Kisichoeleweka hapo ni kipi?

soma kwanza comment yake huyo "muungwana" wako ndio utaelewa nilichoandika na wewe
 
Vyama vyote viwili bado ni MAARUFU tu sio MASHUHURI. Na umaarufu wenyewe umening'inizwa kwa baadhi ya VIONGOZI wao. Wakiondoka viongozi hao kwa namna yoyote ile vyama havitakuwepo.
 
Weka picha ya mchungaji aliyepanda jukwaani jana acha kuweweseka! Kama huna sema tu-upload movie nzima.
okey labda niiweke hivi,kwani mchungaji hawezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa mpaka anunuliwe au kukodiwa?kwani mtu kama padri slaa au mchungaji peter msigwa au mchungaji rwakatare wamekodiwa na vyama vyao?
 
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaa

kama kweli unapenda kuwa tested .... hebu verify hii comparison kwa kuweka questionable fact hizi

Je CUF bara ina wubunge wangapi na cdm wangapi?

pili, mgombea urais 2010 wa CUF amepata kura ngapi na CDM amepata ngapi?

ukiweka hizi data hapa katika contents za topic yako utakuwa ni GT
 
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaa

Kumbe we ni Cuf lakini hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kukujibu. Msimu wa ligi kuu 2010 mlipigwa 22-1 bara. Mechi za pre-season inaonekana hukupata matokeo, bingwa mwenyewe wa 2010 pre-season match to msimu wa 2015 anapumulia icu check igunga (tff wameifuta mechi na kanyanganywa point na ushindi) , arumeru mashariki, mbeya, kirumba mwanza. Hata hivyo usiwe na presha wathamini wa ligi NEC naona wametoa ratiba ya pre-season this octoba sijui mtashiriki? Ah nilisahau Zenj kwa Raza Cuf mliishia wapi vile?
 
kama kweli unapenda kuwa tested .... hebu verify hii comparison kwa kuweka questionable fact hizi

Je CUF bara ina wubunge wangapi na cdm wangapi?

pili, mgombea urais 2010 wa CUF amepata kura ngapi na CDM amepata ngapi?

ukiweka hizi data hapa katika contents za topic yako utakuwa ni GT

mimi si ndio nimewaletea nyie great thinker sasa tena na wewe unaniuliza mimi,kweli wabongo tuna tatizo la kuelewa mambo kwa haraka
 
Mbona jibu lipo wazi haihitaji hata kuumiza kichwa, angalia matokeo ya uchaguzi mkuu 2010, idadi ya wabunge, madiwani na halimshauri zinazoongozwa na vyama husika ndipo utapata jibu sahihi,
 
okey labda niiweke hivi,kwani mchungaji hawezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa mpaka anunuliwe au kukodiwa?kwani mtu kama padri slaa au mchungaji peter msigwa au mchungaji rwakatare wamekodiwa na vyama vyao?

Mkuu wangu sometimes unachemkaga mbaya! Hebu lijuze jukwaa hili ni lini na wapi "Padre" Slaa, Mchungaji Msigwa, au Mchungaji Rwakatare walisimama jukwaani kwenye mikutano ya hadhara kuombea mikutano ya vyama vyao.
 
Kwa sasa CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani chenye nguvu zaidi.
Huuni ukweli ambao inahitajika akili ya kiuendawazimu kuupinga
 
Kumbe we ni Cuf lakini hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kukujibu. Msimu wa ligi kuu 2010 mlipigwa 22-1 bara. Mechi za pre-season inaonekana hukupata matokeo, bingwa mwenyewe wa 2010 pre-season match to msimu wa 2015 anapumulia icu check igunga (tff wameifuta mechi na kanyanganywa point na ushindi) , arumeru mashariki, mbeya, kirumba mwanza. Hata hivyo usiwe na presha wathamini wa ligi NEC naona wametoa ratiba ya pre-season this octoba sijui mtashiriki? Ah nilisahau Zenj kwa Raza Cuf mliishia wapi vile?

kama hiyo ndio determinant pekee kwa hiyo tukubali ukweli kwamba ccm bao kinabaki kuwa chama mashuhuri zaidi kwa wakulima na wafanyakazi wa nchi hii?sidhani.fikiria vizuri uje na majibu ya kina,hii mada will be here to stay,haina haraka.
 
Mkuu wangu sometimes unachemkaga mbaya! Hebu lijuze jukwaa hili ni lini na wapi "Padre" Slaa, Mchungaji Msigwa, au Mchungaji Rwakatare walisimama jukwaani kwenye mikutano ya hadhara kuombea mikutano ya vyama vyao.

haaa kumbe huyo mchungaji alisimama kuombea mkutano wewe ndio unaumia mbona sio jambo la ajabu hilo kaka,ina maana huo ndio mkutano wa kwanza wa kisiasa kuombewa uende salama?
 
Mtatiro kwani ni Mchungaji?

jamaa alisema cuf inafukuza wakristo na kuhimiza waislam wajiunge nayo huku akidai kuna mchungaji alinunuliwa na cuf,ndio nikadhani labda julius ndio mchungaji mwenyewe kwa kuwa hana jina la kiislam na jamaa alidai cuf inafukuza wakristo na imekodi mchungaji
 
]haaa kumbe huyo mchungaji alisimama kuombea mkutano wewe ndio unaumia mbona sio jambo la ajabu hilo kaka,ina maana huo ndio mkutano wa kwanza wa kisiasa kuombewa uende salama?[/COLOR]

Hakuna mwenye shida na mchungaji kuombea mkutano. Ni jambo la kawaida, zuri, na la kheri. Tatizo, ni reaction ya wafuasi na viongozi wa CUF juu ya hayo "maombi". Natumaini tuko pamoja sasa.
 
Back
Top Bottom