Wapendwa wana JF mm n mzalendo nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote lakini awali ya yote nikiri kuwa sera za CDM na DR wa kweli zimenivutia sana. Maoni binafsi: CDM imekuwa kwenye mstari sahihi mpaka sasa kwani nyuma yake kuna watz kibao waliokuwa wamepoteza matumaini ya kuishi ila wamefarijiwa na juhudi za CDM za kuwakomboa. Ushauri: Wabunge na viongozi wa CDM Ongezeni mshikamano kati yenu, kaza buti! Msisikilize sana watu wenye negative altitude juu ya actions zenu kwani wengine ni ama Conservatives, corward, shortsighted, vibaraka au watawala ambao actions zenu ni tishio kwa mustakabali wao kutokana na matendo yao machafu. Namalizia kwa kuwaomba wabunge wa CDM kaz mliyokwisha anza msiiache katikati kwani kupigania demokrasia na utawala bora nayo ni sehemu mnayotakiwa kuwafanyia wapiga kura wenu. Wale wabunge wachache wa CDM waoga acha woga wenu maana nyuma yenu tuko sisi wapiga kura au hamjamsikia Makamba anataka kuwapindua kupitia mahakamani kwani hiyo ni hatua ya kistaarabu kama ninyi mnavyofikiria kwamba lazima muwe wastaarabu sana wakati wapizani wenu siyo wastaarabu?