CHADEMA Mwanza

No sio hivyo tu mkuu.. Ameelezeaa maambo mengi aloyaftilia ikiwemo miradi ya barabara kibao ambayo anasemaa ilitakiwa kuwa imetekelezwa kama inavyooneshwaa kny ripoti zaake.. But mwisho wa siku wanakutaa hakunaa kitu.. Pia anasema moja ya hizo ripot za barabara aaalikbidhiwaa usiku wakat kikao ni kesho yake.. So hio inaatoa muda mfupi wa kufuatilia everything.

Yaani unajibishana na huyo jamaa,huyo yuko kitengo maalumu kwa ajili ya kuitetea sisiemu tu,achana nae.
 
Kwa hiyo Noah ambayo kaigeuza Ambulance, inafika mpaka Kiseke, Lumala, Bwiru, Igombe, Nyasaka, Pansiansi, Nyamanoro, Nyakato, Buswelu..

Au zipo ngapi hizo Ambulance Noah?
 
mbona ametoa misaada mingi tu,amesomesha watoto yatima si chini ya 25 St Mary,amenunua ambulance kwaajili ya wagonjwa au mlitaka mama zetu wazlie kwenye vibajaji?
 
mbona ametoa misaada mingi tu,amesomesha watoto yatima si chini ya 25 St Mary,amenunua ambulance kwaajili ya wagonjwa au mlitaka mama zetu wazlie kwenye vibajaji?

St Mary watoto yatima wanasoma bure!
 
Acheni propaganda zetu yeye asubiri mud a wake upite akafie mbali Hamada ya lolote zaidi ya kuhamia Dar es salaam tulimchagua kwa kutimiza malengo yetu na kwa kweli Hana wala hawezi kuleta maendeleo yoyote Hilo liko wazi
 
Show us proof
 
Kama vipi aanzishe tv yake bac kama hao wengine wamegoma kumwonesha! Aache uzembe huyo afanye kazi kwa wanachi wake awaletee maaendeleo siyo hadi tv ndo awaletee maendeleo.
 
Acheni propaganda zetu yeye asubiri mud a wake upite akafie mbali Hamada ya lolote zaidi ya kuhamia Dar es salaam tulimchagua kwa kutimiza malengo yetu na kwa kweli Hana wala hawezi kuleta maendeleo yoyote Hilo liko wazi

Dickson Mpemba,
Wewe ni mkazi wa Mwanza nadhani unajua matatizo ya mji wenu..kwa hiyo unataka kutuambia hakuna kitu chochote alichofanya? Ingawa wewe mbunge wako ni Wenje
 
Ushauri kwa Mh Highness,inambidi awe na timu madhubuti na yeye mwenyewe awe imara sana hapaswi kulalamika maana ajue ya kwamba CCM watafanya kila njia kuhakikisha anakwama,kinachotakiwa kufanya sio kulalamika anapewa ripoti usiku na asubuhi yake anaingia kwenye kikao,hapo ndipo anatakiwa kuwa jasiri sana tena aonyeshe vitendo,akatae kwa maandishi na ikibidi akatae kushiriki ujinga huo lakini pia yanapotendeka mambo hayo ayapeleke kwa wananchi.mfano mzuri ni kule Arusha kwa Mh Lema.ajaribu pia kutumia maawasiliano mengine,si lazima TV star pekee,lakini pia akifanya kazi kwa vitendo wananchi wataiona,lakini pia kuna ofisi za serikali za mitaa,kata na mikutano ya hadhara anaweza akafikisha ujumbe kupitia kubandika matangazo ktk ofisi hizo.awe karibu sana pia na madiwani wake
 
Back
Top Bottom