Elections 2010 Chadema mwanza vurugu tupu!

hebu tenda haki hata kama umetumwa. mbona hushabikii
kuenguana kwa ccm na kuweka vichwa vya habari
"ccm vurugu tupu iringa mjini"? mwaka huu hamfi ila
cha moto mtakiona.
 
Mi niko Mwanza, sitaki kuyasoma hayo mauongo yako!! kuna sehemu kama mwanza ambayo inahitaji mabadiliko ya lazima? Hebu kakope akili kidogo tu uweze kuelewa huo ukuu wa wilaya ulioahidiwa si kitu kwa maisha na maendeleo ya watz. Watu wanafanywa watumwa ndani ya nchi yao wewe unashabikia wezi kisa umepewa laki tano sijui ndo milioni.

Enough is enough, leave our country free. Let everybody be happy with the government siyo sasa kila mtu anaumimi.
 
Nukuu ya taarifa hiyo ndiyo kiini cha mapungufu ya habari yenyewe:-

Bw. Mushumbusi alisema kuwa kuwa uongozi wa chama mkoa umelazimika kuchukua jukumu la kusimamia kampeni za Bw. Wenje kwa kuwa anapambana na mgombea wa CCM, Bw. Lawrence Masha ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo, Bw. Okong'o alisema anajiandaa kutoa ufafanuzi juu ya suala hilo pindi atakaporudi kwa vile sasa yupo nje ya mkoa wa Mwanza.

UNapoona jina la Masha linatajwa ujue habari hiyo inalengo la kuzusha mgogoro ambao haupo hata kidogo. Kama CCM mambo ni hayo hayo inakuwaje Habari Lao inapokuja CCM wanadai mambo ni shwari wamepatanishwa lakini Chadema tu ndiyo kunafukuta?

Habari Leo hawaandiki kulingana na maadili yao ila wanaandika ili kuchunga ajira zao kwa ni wanajua Chadema ikishinda uongozi wote wa juu utafumuliwa na kupangwa upya...............
 
Nukuu ya taarifa hiyo ndiyo kiini cha mapungufu ya habari yenyewe:-

UNapoona jina la Masha linatajwa ujue habari hiyo inalengo la kuzusha mgogoro ambao haupo hata kidogo. Kama CCM mambo ni hayo hayo inakuwaje Habari Lao inapokuja CCM wanadai mambo ni shwari wamepatanishwa lakini Chadema tu ndiyo kunafukuta?

Habari Leo hawaandiki kulingana na maadili yao ila wanaandika ili kuchunga ajira zao kwa ni wanajua Chadema ikishinda uongozi wote wa juu utafumuliwa na kupangwa upya...............

Habari leo is never a news paper any more but genge la wahuni! Naongea kwa kujiamini kabisa kwamba katika magazeti yalipoteza dignity yake, basi habari leo limeipoteza kushinda hata magazeti ya RA. Ukitaka habari nyingi za kiudaku zitafute habari leo. Sometimes magazeti ya Ijumaa, uwazi na lete raha yanaweza kuandika vitu vyenye maana zaidi kuliko gazeti la habari leo. If I were in Dar ningeandaa maandamano ya kupinga uwepo wa gazeti hili pamoja na daily news.
 
Nukuu ya taarifa hiyo ndiyo kiini cha mapungufu ya habari yenyewe:-

UNapoona jina la Masha linatajwa ujue habari hiyo inalengo la kuzusha mgogoro ambao haupo hata kidogo. Kama CCM mambo ni hayo hayo inakuwaje Habari Lao inapokuja CCM wanadai mambo ni shwari wamepatanishwa lakini Chadema tu ndiyo kunafukuta?

Habari Leo hawaandiki kulingana na maadili yao ila wanaandika ili kuchunga ajira zao kwa ni wanajua Chadema ikishinda uongozi wote wa juu utafumuliwa na kupangwa upya...............

huna hoja!!!!
 
huna hoja!!!!

laurence kego masha ni hoja inayojitosheleza tena iliyojaa mashiko-huyu ni fisadi ambae kampuni yake ya imma yenye ubia na jk aliyemchomeka mwanae ridhiwahini ili kulinda maslahi yake imma, masha ni mbakaji wa demokrasia ambae jaribio lake la kupora ushindi au kupata ushindi wa mezani lilizimwa bila yeye kupenda, masha ni fisadi aliyejilimbikizia vijisenti vyetu na ndio anavyovitumia kuwatukana watanzania na ku insult their intelgency! Masha ni fisadi ambae anatafuta kujua usiku na mchana wenje anaishi wapi? Il polisi walio chini yake watumwe kumbambikizia kesi kwa either kuwekea madawa ya kulevya! Na wenje amekuwa mwelevu sana kwa hilo! Hiyo ni kwa kifupi tu!

laurance kego masha-naomba kuwakilisha hoja
 
Hii issue ina harufu ya ukweli. CHADEMA MZA tunahitaji ufafanuzi tafadhali, msituzingue.
 
Hii issue ina harufu ya ukweli. CHADEMA MZA tunahitaji ufafanuzi tafadhali, msituzingue.

Ukweli ndiyo huo kuwa Masha anamtafuta Wenje anapoishi ili ambambikie kesi lengo lake la kuwa mgombea pekee litimie. Lakini hakika nawambieni ole wenu mnaoshabikia UFISADI ndani ya nchi hiii, Maana siku si nyingi mtalia na kusaga meno!!!.
 
Back
Top Bottom