CHADEMA, Mwaka 2011 ulikuwa wa ukombozi lakini...............

Typhord

Member
Dec 26, 2011
29
4
Kama ingekuwa ni mpira wa miguu, basi tungesema CDM walikosa nafasi nyingi za kufunga kuliko CCM, kibaya zaidi nyingi zilikuwa penati lakini wapigaji wakapaisha mipira au wakampasia kipa badala ya kufunga. Nafasi kama hizi ni nadra sana kujirudia. hakika CDM mtaujutia mwaka 2011.
 
Magoli yalifungwa mengi,sasa hivi CHADEMA inaongoza ligi 2011/2012
 
Mmmmh wakati unailaumu CDM usisahau kuwaangalia MAKONDOO wa TZ!
Nchi yenye MAKONDOO kama hapa kwetu, mapinduzi matakatifu ni ngumu sana...
Tuendelee kuamshana sie makondoo na tusipoteze muda kuwalaumu CDM wa watu, They ve played their part kama ulivyosema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom