Chadema: Mwajibisheni Shibuda - A golden opportunity

Sijui CHADEMA kwa nini wanamchelewesha huyu, alitakiwa kufukuzwa ndani ya chama siku nyingi sana. Huyu ni pandikizi la magamba.
 
hii post inaonesha wishful thinking ya maadui wa cdm na jinsi gani mbinu za kuingiza mifarakano ndani ya cdm zilivyowaishia. Tofauti kati ya cdm na ccm inapatikana kwenye mfano kama huu wa shibuda, japo shibuda yupo responsible kwa chama chake ila the most ni kwamba yupo responsible kwke mwenyewe na waliompigia kura. Kama ccm iliamua kumuacha shibuda 2010 kwa sababu alitamka atagombea urais na jk sidhani kama cdm watafuata njia hiyo.

Nadhani cdm siyo chama cha visasi kama ccm na hili ndilo linawafanya wawepo hapo walipo leo hii. Mafumbo ya shibuda hayawezi kuamsha hisia za watu wanaofanya maamuzi kisayansi, ila yataamsha hisia za watu wanapenda majungu na fitina ambao ni utamaduni uliojengeka zaidi ccm kwa baadhi ya watu wanaoona bila siasa hawan njia mbadala ya kujipatia riziki na hivyo kujikuta wanaendekeza majungu na makundi.
. U have a point sir/maddam
 
Kwa matamshi yake kuwa wanaopinga Posho ni madomokaya na hiyo ikiwa ndiyo sera ya CDM... ya bunge anapinga sera za chama chake
Itakuwaje sera ya chama wakati wabunge wa CHADEMA wanakula hiyo posho? Sera gani? Sera imeandikwa wapi? Ilipitishwa na kikao gani? Incredibly ridiculous, you are making absolute fools of yourselves here, you are against a perk which you pocket, how preposterous.
 
Angalau chama kiseme chochote kuhusiana na kauli hii ya shibuda! Amewadhalilisha wanachama wa chama chake na watz wote tunaozipinga hizi posho.

Kuhusu kumwadhibu, sina la kusema maana sijui kanuni, taratibu na sheria za chama chake, ila nashauri wamuache tu maana he seems to be domokaya than those who he thinks are!

Enyi wana Chadema mbona mnapoteza kumjadili mtu ambaye si mwanachama wenu! Shibuda kwa kauli yake alishasema "kuhama Msikiti si kubadili DINI". Ni kitu gani ambacho hamkiamini mpaka sasa hivi? Ndani ya Chadema wapo wazalendo wachache wenye kuitakia mema nchi hii na wapo mafisadi wengi wenye kushibia matumbo yao. Kazi kwenu kunyoa ama kusuka.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Shibuda ni sawa na ***** lisilo jua mbele wala nyuma.

Huyu jamaa anapaswa kutoswa kwa hali yoyote maana anaiabisha CDM. Huwezi kupingana na sera za Chama chako kwa sababu ya TAMAA ZAKO ZA KIJINGA. Shibuda bado ana roho ileile ya Wana-CCM ya KUPENDA POSHO.hilo liko wazi kabisa.

Ifikie mahali CDMA wanuite na kumhoji Shibuda kwa nini anakiabisha chama kwa kauli zake za kipuuzi ambazo aghalabu hazijengi baali ni kukidhalilisha chama.

Yawezekana kabisa Shibuda ni kibaraka wa CCM yuko CDM kwa ajili ya kukivuruga chama!
 
There is a lot of logic in your statement. Nilikuwa sijui hilo ndio maana nikapost hiyo thread. kama ruzuku zinakwenda kwa number of wabunge then, you need to think twice before flushing him. Ingawa kwa maoni yangu ningekubali kupoteza hiyo ruzuku yake kulinda maamuzi ya chama.

Hana effect Shibuda,mwacheni abwabwaje tu.
 
Bob Marley aliwahi kusema ni wajinga tu watakao ikimbiza busara,sitaki kuamini kama kuna wana JF ambao wanashindwa kuitafsiri katiba hususani imeandikwa katika lugha yetu ya Taifa,hakuna chama kilicho makini na chenye wanasheria kama CDM.Unapozungumzia CDM jua kuwa unazungumzia demokrasia nchini lakini si vibaya kama nitakukumbusha kuhusu katiba inavyosema kwenye ibara ya 100 (1) kutakuwa na uhuru wa mawazo,majadiliano na utaratibu katika bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano,aua katika Mahakama au mahali pengineponje ya bunge.

(2) Bila kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika,Mbunge yeyote hatashitakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilosema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi,muswada,hoja au vinginevyo.

Hoja iliyopo mbele yetu haiingii akilini kimantiki labda kama kuna tafsiri nyingine mltae thread anaweza kuwakilisha kwa ufafanuzi zaidi
 
Kwa matamshi yake kuwa wanaopinga Posho ni madomokaya na hiyo ikiwa ndiyo sera ya CDM, Sasa CDM wanaweza kumfukuza shibuda. Yupo nje ya bunge anapinga sera za chama chake, wanaweza kumwajibisha kama chama kwa utovu wa nidhamu kama kanuni za chama zina kipengele hicho. Hapa kinga ya bunge ilivyoainishwa kwenye katiba kifungu cha 100 hakimlindi hata kidogo. Yupo nje ya bunge na anakashifu sera za chama chake. kama kuna provision ya hivyo katika katiba/ kanuni za nidhamu za cdm. This is an opportunity to flush him out of cdm
Mawazo yako hayawezi kuchukuliwa kwa kukurupuka tu.
 
Badilikeni CHADEMA ni chama kikubwa kimesamesambaa nchi nzima haiwezekani kwa chama kama hiki kikubwa watu wote wakawa na mawazo ya aina moja lazima watofautiane hata kama ni sera ya chama si lazima ikubaliwe na wanachama wote hata CCM wabunge wake hawaziafiki sera zote za chama chao ingawa ni wanachama eg SS

Mfano Viongozi wa CHADEMA walipo kwenda ikulu si wanachama wote walipendezewa na hatua hiyo waengine waliona tayari CHADEMA kinajiandaa kuwa CCM C

Shibuda aachwe tu labda jambo la msingi alinge kauli zake zisiwe za maudhi ....wanaopinga posho wapo wengi nje na ndani ya CHADEMA....hata wanao ziafiki ia wapo weng
i
 
Guys it seems you have a point but you can not analyse it logically......

hivi nani m'baya kati ya hawa? anayechukua posho na kukaa kimya, yaana anazipenda na hasemi kuwa anazipenda, huku sera za chama kiko -kinyume na hilo..

au m'baya huyu shibuda ambaye anachukua, anasema kuwa anazipenda na aliye-kinyume chake anatukana!

ukimfukuza shibuda anayesema, shart ufukuze na wengine wanaopokea posho na wako kimya!

au hao wabunge wa CDM wanaozipokea posho hawapingi sera za CDM??

usijibu swali hili...just skip!

If your contention is true kuwa kuna wabunge wa chadema wanachukua posho, then, you are right, hatuna kitu hapo!!! Tumuachie Mungu!!!!
 
. U have a point sir/maddam

Anyway, this is your speculation-that I am a wishful enemy of CDM. Not at all. Mimi siipendi ccm kwa maovu yake, Naipenda cdm (sio mwanachama) kwa kuwawezesha wanatanzania kukemea maovu. It is only CDM courageous enough as a party policy to condemn acts of sabotage in this nation.
Ninachosema kuhusu shibuda, ni msaliti!! Hii sio mara ya kwanza kutoa matamshi ya kupingana na policy za cdm. Amevumiliwa vya kutosha, enough is enough!!! Nadhani umenielewa dhamira yangu. Kuvumiliana ni muhimu, lakini inapopita mipaka unasema basi!!!
 
Uzuri ni kuwa hivi sasa wote wenye akili wanajua kuwa Shibuda ndiye domo kaya, bingwa wa kuropoka,hivyo dawa yake ni kumdharau kwani kauli yake inapuuzwa na kila mtu isipokuwa wabunge wa CCM ambao wanatumia masaburi kufikri na ndiyo wanaomtuma.
 
Kumfukuza Shibuda kwa sasa ni gharama isiyo na tija kwa CDM kwa sasa, inabidi wewe wapole tu.
Gharama ya kurun uchaguzi ni kubwa mno na uwezekano wa kulipoteza jimbo ni mkubwa mno pia na kikubwa zaidi inawezekana na mahesabu ya kukokotoa ruzuku yakabadilishwa iwapo watashindwa kulirudisha jimbo(sina hakika na hili)
 
Guys it seems you have a point but you can not analyse it logically......

hivi nani m'baya kati ya hawa? anayechukua posho na kukaa kimya, yaana anazipenda na hasemi kuwa anazipenda, huku sera za chama kiko -kinyume na hilo..

au m'baya huyu shibuda ambaye anachukua, anasema kuwa anazipenda na aliye-kinyume chake anatukana!

ukimfukuza shibuda anayesema, shart ufukuze na wengine wanaopokea posho na wako kimya!

au hao wabunge wa CDM wanaozipokea posho hawapingi sera za CDM??

usijibu swali hili...just skip!

Waberoya,
Kuna tofauti kati ya sera ya Chadema kuhusu viongozi wa Chadema na sera ya Chadema kuhusu Taifa. Posho ni sera ya Chadema kuhusu Taifa si viongozi wa chadema peke yao.
Kwa hiyo, sera ya Chadema ni kupinga Posho ili wabunge na watumishi wengine wasitofautiane, nia wameonesha. Nia imekwaamishwa na uchache wao Bungeni. Sasa, ni lazima wabaki na msimamo wao huo japokuwa hautekelezwi si Bungeni tu bali hata ktk ofisi za serikali. Kuupinga sera za chadema hadharani ni kuipinga msimamo wa chama hadharani.
Ukisema wabunge wa Chadema wanaopokea posho wafukuzwe ni sawa na kusema viongozi wa Chadema wanaofanya kazi ktk mhimili wa serikali na Mahakama ambao wanaopokea posho nao wafukuzwe. Je, ndo lengo la Chadema?
Nadhani lengo la Chadema ni nchi nzima (Bunge, serikali, na mahakama) posho zifutwe. Hizo kidogo za viongozi (wabunge wa Chadema) siyo hoja ya msingi. Wao kuacha posho wakati sera yenyewe na sheria husika inalinda posho hizo siyo jibu. Ni sawa na kumsusia pombe mlevi - atakushukuru tu. Sana sana kwa walioko serikalini watafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria zilizopo. Heri tuje mawazo tofauti kuhusu matumizi ya posho kwa viogozi wa chadema.
 
kufukuzana ni kukidhoofisha chama.aachwe aendelee kupayuka adi 2015 kula kichwa.
hata kutofautiana kimawazo ni suala la kawaida.
CDM wajifunze kumeza maumivu.
 
Waberoya,
Kuna tofauti kati ya sera ya Chadema kuhusu viongozi wa Chadema na sera ya Chadema kuhusu Taifa. Posho ni sera ya Chadema kuhusu Taifa si viongozi wa chadema peke yao.
Kwa hiyo, sera ya Chadema ni kupinga Posho ili wabunge na watumishi wengine wasitofautiane, nia wameonesha. Nia imekwaamishwa na uchache wao Bungeni. Sasa, ni lazima wabaki na msimamo wao huo japokuwa hautekelezwi si Bungeni tu bali hata ktk ofisi za serikali. Kuupinga sera za chadema hadharani ni kuipinga msimamo wa chama hadharani.
Ukisema wabunge wa Chadema wanaopokea posho wafukuzwe ni sawa na kusema viongozi wa Chadema wanaofanya kazi ktk mhimili wa serikali na Mahakama ambao wanaopokea posho nao wafukuzwe. Je, ndo lengo la Chadema?
Nadhani lengo la Chadema ni nchi nzima (Bunge, serikali, na mahakama) posho zifutwe. Hizo kidogo za viongozi (wabunge wa Chadema) siyo hoja ya msingi. Wao kuacha posho wakati sera yenyewe na sheria husika inalinda posho hizo siyo jibu. Ni sawa na kumsusia pombe mlevi - atakushukuru tu. Sana sana kwa walioko serikalini watafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria zilizopo. Heri tuje mawazo tofauti kuhusu matumizi ya posho kwa viogozi wa chadema.

Leave politics out of it xx$$%%%@!

una confirm kuwa CDM wabunge wanazipokea hizi posho mpya...?? issues za sera this sera what has nothing to do here!!! acha UCCM , utatukanwa bure!!

CDM wana uwezo wa kuzikataa hizi posho...acha

ona nape alivyoingilia hili swala
 
ki ukweli bila kuficha. kwa SHIBUDA tumejikwaa! ifike mahala tujiuliuze tusije kubeba mizigo kama huyu bwana jamani ni mzigo sijapata kuona! kumpoteza shibuda ni hatua ya ushindi kwa wana mapinduzi. kila tukipinga jambo kama posho lazima magamba watusonde kidole kisa huyu juha inaniuma mnoooo! hatuna namna ya kumwondoa kweli? sioni faida yake kabisa.
 
Waberoya,
Kuna tofauti kati ya sera ya Chadema kuhusu viongozi wa Chadema na sera ya Chadema kuhusu Taifa. Posho ni sera ya Chadema kuhusu Taifa si viongozi wa chadema peke yao.
Kwa hiyo, sera ya Chadema ni kupinga Posho ili wabunge na watumishi wengine wasitofautiane, nia wameonesha. Nia imekwaamishwa na uchache wao Bungeni. Sasa, ni lazima wabaki na msimamo wao huo japokuwa hautekelezwi si Bungeni tu bali hata ktk ofisi za serikali. Kuupinga sera za chadema hadharani ni kuipinga msimamo wa chama hadharani.
Ukisema wabunge wa Chadema wanaopokea posho wafukuzwe ni sawa na kusema viongozi wa Chadema wanaofanya kazi ktk mhimili wa serikali na Mahakama ambao wanaopokea posho nao wafukuzwe. Je, ndo lengo la Chadema?
Nadhani lengo la Chadema ni nchi nzima (Bunge, serikali, na mahakama) posho zifutwe. Hizo kidogo za viongozi (wabunge wa Chadema) siyo hoja ya msingi. Wao kuacha posho wakati sera yenyewe na sheria husika inalinda posho hizo siyo jibu. Ni sawa na kumsusia pombe mlevi - atakushukuru tu. Sana sana kwa walioko serikalini watafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria zilizopo. Heri tuje mawazo tofauti kuhusu matumizi ya posho kwa viogozi wa chadema.

hayo ndopo mawazo yanayo tafutwa. big up .
 
Back
Top Bottom