CHADEMA Mwacheni Rais Wangu.........Rais Kikwete Mtu Wa Watu, Mnyenyekevu.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264

jk+3.jpg


jk.jpg

CHADEMA mwacheni Rais Wangu. Hakuna Rais Barani Afrika anayejichanganya na watu wake kama JK. misibani yupo, Kitchen Party yupo, Harusi yupo. Ikulu yupo kwa ajili ya watu wake mda wowote. Nje ya nchi akitoka ana kuwa huru kukutana na raia wake. Mnachotaka ni nini? Hakuwatuma madaktrari wagome. Madaktari wnagoma kwa ajili ya maslahi yao. Iweje mumseme bosi wetu?​
 
Back
Top Bottom