CHADEMA muache uchokozi!

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Jana tarehe 16 kulikuwa na mahafali ya Wanafunzi wa chadema vyuo vikuu mkoani morogoro uchokozi ni pale ambapo vijana wa chadema bila kujitabulisha walikodi ukumbi wa ccm vijana na kufanyia sherehe yao huku waliowakodishia kupigwa na butwaa baada ya kumuona Mbowe ndio mgeni rasmi katika hafla hiyo hivyo kuwafanya wao wachanganyikiwe na kuamua kupigia simu polisi kuwaeleza kwamba chadema wamevamia ukumbi ndipo vijana wa mwema wakaja na mabomu yao ndani ya magari mawili hadi wakati huo mbowe hajui kwamba yupo katika ukumbi wa ccm baada ya makamanda kuzidiwa wakaamua kumwambia kamanda mbowe ukweli wote na kwamba mpaka muda huo polisi wanahitaji kufunga haraka hafla yao lakini mbowe baada ya kushangazwa sana na tukio hilo ndipo akaamua kuwakabili huku akiwa ameshika risiti na kuwaambia kwamba wapo pale kihalari kwa kuwa wamelipia ukumbi kwa katibu wa ccm hivyo kuwaambia hafla hiyo itaisha saa sita usiku kama wanataka kushiriki waingie wachukue kadi ama la wasepe ndipo polisi walipoamua kusepa na sherehe kuendelea huku spika za ccm na vifaa vyote vikiwapongeza chadema kweli tukio hilo liliwakera sana ccm licha ya kufanya vituko vingine kadha wa kadha kama kukata umeme lakini walidhibitiwa na makamanda.

Hapo ndipo nilipojua kweli chadema wachokozi dah
 
duuh!!!!!!!!!!!!!! hiyo nimeipenda sana yani.

lakini huo sio uchokozi vijana walikodi ukumbi kama ukumbi bila kuchagua itikadi zao na stakabadhi wakapewa, sioni uchokozi hapo
 
Nape kafanyia mkutano sokoni iringa mjini leo!hizo kumbi wanziogopa hata kufanyia mikutano watu hawaendi bora wawaachie peoplez power wafanyie mahafari yao
 
Uchokozi uko wapi hapo?
Ule ni ukumbi wa biashara kama daladala kwani ikimilikiwa na gamba gwanda haruhusiwi kupanda?
Angalia msituletee siasa za ccm A na ccm B wakati ule kule pemba waliofikia hata kutoshirikiana katika visima vya maji.
Chadema wanafanya siasa bila chuki wala uhasama ndo maana wako radhi kuwapa biashara ccm kwa kukodi ukumbi wao. "Win win stuation"
 
Jana tarehe 16 kulikuwa na mahafali ya Wanafunzi wa chadema vyuo vikuu mkoani morogoro uchokozi ni pale ambapo vijana wa chadema bila kujitabulisha walikodi ukumbi wa ccm vijana na kufanyia sherehe yao huku waliowakodishia kupigwa na butwaa baada ya kumuona Mbowe ndio mgeni rasmi katika hafla hiyo hivyo kuwafanya wao wachanganyikiwe na kuamua kupigia simu polisi kuwaeleza kwamba chadema wamevamia ukumbi ndipo vijana wa mwema wakaja na mabomu yao ndani ya magari mawili hadi wakati huo mbowe hajui kwamba yupo katika ukumbi wa ccm baada ya makamanda kuzidiwa wakaamua kumwambia kamanda mbowe ukweli wote na kwamba mpaka muda huo polisi wanahitaji kufunga haraka hafla yao lakini mbowe baada ya kushangazwa sana na tukio hilo ndipo akaamua kuwakabili huku akiwa ameshika risiti na kuwaambia kwamba wapo pale kihalari kwa kuwa wamelipia ukumbi kwa katibu wa ccm hivyo kuwaambia hafla hiyo itaisha saa sita usiku kama wanataka kushiriki waingie wachukue kadi ama la wasepe ndipo polisi walipoamua kusepa na sherehe kuendelea huku spika za ccm na vifaa vyote vikiwapongeza chadema kweli tukio hilo liliwakera sana ccm licha ya kufanya vituko vingine kadha wa kadha kama kukata umeme lakini walidhibitiwa na makamanda.
Hapo ndipo nilipojua kweli chadema wachokozi dah

Sioni uchokozi hapa duh!,nimeipenda hii kwi! kwi! kwi! kila siku ccm inaongozwa na Chadema chama makini,,,kwi! kwi! magamba wanaumwa kweli!!!kwi!
 
Jana tarehe 16 kulikuwa na mahafali ya Wanafunzi wa chadema vyuo vikuu mkoani morogoro uchokozi ni pale ambapo vijana wa chadema bila kujitabulisha walikodi ukumbi wa ccm vijana na kufanyia sherehe yao huku waliowakodishia kupigwa na butwaa baada ya kumuona Mbowe ndio mgeni rasmi katika hafla hiyo hivyo kuwafanya wao wachanganyikiwe na kuamua kupigia simu polisi kuwaeleza kwamba chadema wamevamia ukumbi ndipo vijana wa mwema wakaja na mabomu yao ndani ya magari mawili hadi wakati huo mbowe hajui kwamba yupo katika ukumbi wa ccm baada ya makamanda kuzidiwa wakaamua kumwambia kamanda mbowe ukweli wote na kwamba mpaka muda huo polisi wanahitaji kufunga haraka hafla yao lakini mbowe baada ya kushangazwa sana na tukio hilo ndipo akaamua kuwakabili huku akiwa ameshika risiti na kuwaambia kwamba wapo pale kihalari kwa kuwa wamelipia ukumbi kwa katibu wa ccm hivyo kuwaambia hafla hiyo itaisha saa sita usiku kama wanataka kushiriki waingie wachukue kadi ama la wasepe ndipo polisi walipoamua kusepa na sherehe kuendelea huku spika za ccm na vifaa vyote vikiwapongeza chadema kweli tukio hilo liliwakera sana ccm licha ya kufanya vituko vingine kadha wa kadha kama kukata umeme lakini walidhibitiwa na makamanda.

Hapo ndipo nilipojua kweli chadema wachokozi dah

hivi wewe mzima kweli? Je walivamia?jibu ni Hapana walilipa kama watu wengine,sasa shida nini? Ubadilisheni huo ukumbi usiwe wa biashara ili uwe wa mikutano ya mafisadi (ccm) tu. Kumbe ndio maana mnang'ang'ania viwanja vya mipira mkidai ni vya ccm wakati ni mali ya watanzania wote
 
Hata mimi sioni uchokozi hapo. kwani CCM hawakupamba ukumbi wao kwa rangi za kijani na njano?
Kuna kitu nimekisoma hapo kwamba mahafari ya wanafunzi wa CDM, hivi CDM wana chuo siku hizi au ni hivi vyio vya umma?
 
Police nao kwa kiherehere naona walipatwa na aibu sana,
CDM hawakurupuki kama magamba.
 
Mayoooo,mwe!!mbavu zangu jamani,aisee Chadema ni moto wa kuotea mbali,magamba kubalini kusarander!!!
 
Ubunifu, ujasiri na viwango tofauti vya kufanikisha malengo yao uliofanywa na hao vijana umenifurahisha. Cheek in tonguoe jamaa kaita uchokozi (ingawa nadhani mtoa mada yabidi arekebishe taarifa yake ni mahafali ya vyuo gani badala ya kutaja tu CDM).
 
Back
Top Bottom