CHADEMA mtatatua vipi tatizo la umeme?

Naomba mtupatie clear strategy ya namna mtakavyotatua tatizo la umeme.

we need to see your strategic plan na solution

ONYO: Enough with blame games hivyo naomba we leave CCM na akina EL na Rotam out of this. Naombeni Clear plan yenu ambayo ni workable and not some soundbite ambazo tumezizowea humu ya kutaka ku score political points

Akili yako naona ilisha hama zamani kuwatumikia wenzio .Ushaurin utolewe na ndani ya CCM hakuna mzalendo wa kujali mawazo ya upande wa pili .Watakana na kesho wata copy na ku paste .
 
Back
Top Bottom