CHADEMA mtaji wenu ni helkopita!!!!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Ni masikitiko makubwa kuona utitiri wa magwiji wa siasa ndani ya CDM wakishindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri. Hadi hii leo wanaendelea kutumia helkopita kama silaha tosha ya kuwavuta wapiga kura.

Hiyo mbinu imeshindikana uchaguzi mkuu; Dr Slaa akaangukia pua!

Igunga haikufua dafu!!

Leo Arumeru East mwarudia mbinu hiyo tena!!

TAFADHALI WANA CDM BADILI MBINU ZA KUWAVUTA WAPIGA KURA, HELKOPITA NI KUHARARISHA UFISADI WA KIKUNDI NDANI YA CDM KULA RUZUKU
 
we ndo mshamba wa helkopta, helkopta ni usafiri km usafiri mwingine kama baskeli,bodaboda, gari, guta, meli nk. Sasa km we unapiga kura sbb umeona helkopta nenda kapimwe akili na je nyie CCM MATUSI NDIO MTAJI WENU?
 
kama CCM wangekuwa hawatumii ningekuona unahoja, vinginevyo i wish ungeacha kutoa mashuzi
 
Kiduku hiki! Mawivu tu yamekujaa ulitaka tutumie guta ndo uridhike nyoo!
 
lori la komba limekuwa mzigo huko arumeru!
Nasikia rostam kagoma kuwapa chopa ccm.
 
Kila chama na ramani yake ya vita Chadema ramani yao ya vita ni Helkopta.
 
we ndo mshamba wa helkopta, helkopta ni usafiri km usafiri mwingine kama baskeli,bodaboda, gari, guta, meli nk. Sasa km we unapiga kura sbb umeona helkopta nenda kapimwe akili na je nyie CCM MATUSI NDIO MTAJI WENU?

Kwa hiyo huu usafiri mnautumia wakati wa kampeni tu.
 
kwi kwi kwi ni nani huyu?

Hivi kweli mtanzania unaweza ukasimama mbele ya watu wenye akili zao na kulalamika matumizi ya helikopta. Hivi wewe unaona uchungu helikopta na sio kudanganya wanachi kwa kanga na mchele, je umehoji juu ya mikataba mibovu ambayo CCM imeingia, madini nk. je fedha ya rada si muda wake kuijadili sasa, kwa nini irudi na wahusika wasipelekwe mahakamani. Hivi wewe unaweza kwenda nchi yeyote duniani ukajisifu juu ya matumizi mazuri ya CCM. Mmepoteza credibility na dira hamna hata authority ya kutuhumu chama chochote cha upinzani. What you have remained with ni kutetea umangimeza na usultani mliojiwekea na kuendelea kurithishana madaraka ili muendelee kuinyonya tanzania. nchi hii mtaipeleka kubaya na mtafanya watu wa vizazi vijavyo waishi kwa shida. Surely i tell you mali mnazolimbiliza kuna siku zitawatokea puani. ishini mkiwa na wazo la kuacha legacy kwa wanenu kwani hakuna utajiri zaidi ya kuwa na authority na watu.U will leave here in this country forever na hamtaishi kwa raha maana mumeonea roho za watu wengi. CDM make people see light now.
 
Ni masikitiko makubwa kuona utitiri wa magwiji wa siasa ndani ya CDM wakishindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri. Hadi hii leo wanaendelea kutumia helkopita kama silaha tosha ya kuwavuta wapiga kura.

Hiyo mbinu imeshindikana uchaguzi mkuu; Dr Slaa akaangukia pua!

Igunga haikufua dafu!!

Leo Arumeru East mwarudia mbinu hiyo tena!!

TAFADHALI WANA CDM BADILI MBINU ZA KUWAVUTA WAPIGA KURA, HELKOPITA NI KUHARARISHA UFISADI WA KIKUNDI NDANI YA CDM KULA RUZUKU

Mafilifili kwetu ni mafunza fulani hivi. Sasa naona akili yako ina mafilifili na ndiyo maana unakuja na mada nyanya kabisa.
 
Hakuna cha kuwaambia wapiga kura, silaha ya mwisho ni helkopta2.. Tukisema mmeishiwa fikra mnakasirika hilo vumbi mtakalo acha huko mlete na dawa za kifua maana weshaanza kukohoa wananchi kwa vumbi la helkopta cjuwi bado mnatoa na show?
 
Back
Top Bottom