Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa

cdm hata wakitawala cjuwi watafanya kazi na nani maana hawa polisi wamewa2ukana mn6
Mkuu polisi siyo wanasiasa wakuombwa ushirikiano wa kufanya kazi. polisi ni AGIP= Any Government In Power. Watatii na wameapa kutii.
 
Wanabodi.

Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.

Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.

Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.

Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.

Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.

Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.
Wewe utakuwa mshauri wa Ki inteljensia wa MWEMA.
 
JK hawezi kuzidisha muda kama huyo DJ wenu alie zoea kukesha Bills
kama mkutano mwisho saa kumi na mbili basi wazingatie kanuni na taratibu walizowekewa...utawala wa kibabe si mzuri au wakipigwa virungu wanalalamika. Lakini nataka kujua ingekua ni kikwete anazungumza na mda umeisha yule OCD angemwambia kikwete ashuke uwanjani??
 
Wanabodi.

Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.

Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.

Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.

Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.

Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.

Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.

haya umesikika kachukue posho
 
Kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu anatetea mambo ya kuvunja sheria kisa eti mvunjaji ni KIONGOZI WA CDM.Kwa hali hii maana wengi wanaopata madhara pindi police wanaanza kufanya kazi yao kwenye hiyo mikutano ni watoto,wakina mama na vijana ambao hawanufaiki na chochote katika chama zaidi ya ushabiki tu.Ebu tukumbuke kati ya wale vijana walioumizwa kwa kipigo kikali cha police ni nani CDM imempa mafanikio?Au kwa waliofiwa na watoto wao wamepata nini toka CDM cha kuwafanya wafurahie maisha huku watoto wao wakiwa hawapo tena duniani?Jamani amani ni nzuri sana tuilinde na tuache ushabiki usio na mashiko.Hata hawa wanajifanya kumshabikia mbo humu JF huwa hawaendi kwenye hiyo mikutano na hata wakienda wanakaa pembeni kimachale machale vurugu zikianza wao hawapo!Ila wanapenda kujifanya wao wapigania haki.Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.

Yaani kuzidi kwa dakika chache kwenye mkutano wa Chadema ndio umeona ni uvunjaji wa sheria?Mbona umekuwa msahaulifu,ktk kampeni za uchaguzi raisi Kikwete alizidisha muda ktk maeneo tofauti ukiwamo mkutano uliofanyika ktk kiwanja cha Sheikh Amri Abeidi mkoani Arusha ambapo Nakaya alijiunga na Chadema vipi hilo kosa hukuliona?

Wezi wa Mali zetu wapo mtaani wanafurahia maisha(EPA/B.O.T/RICHMOND to DOWANs/KAGODA) vipi hawa wezi unawafurahia?Baba yako Jakaya alitangaza hadharani kuwa amewapa muda wale wezi wa EPA wazirudishe fedha walizokwusha kuiba,huu uvunjaji wa sheria hukuuona.Yaani raisi wa nchi anawapa wezi muda wa kuzirudisha fedha walizoziiba Serikalini?Inakuingia akilini kweli wewe,hebu acha makamanda wa Chadema watende kazi zao za kuwapa elimu ya uraia wananchi ili waikomboe nchi yao.
 
hujatosheka na mgao wa jangwani mbona mna blog yenu ya ccm kalilie huko hapa ni wapenda mabadiliko jiandaeni kuwa chama pinzani 2015(najua inauma hakuna anapenda kuambiwa ukweli:clap2:
 
Tume ya katiba.
Japokuwa mkutano wake ulikuwa na kibali cha polisi lakini kila mkutano una kuwa na muda wake, hivyo hatua ya Mbowe kugoma kutekeleza agizo la polisi la kumaliza mkutano huo bila shaka lingesababisha uvunjifu wa amani usiokuwa wa lazima, yaani wakujitakia.

police wapi unaozungumzia ni hawa wanaoongoza kwa rushwa ...acha basi kwako wewe uvunjifu wa amani ni huo wa kuzidisha masaa kuna hasara gani?kati ya kuzidisha masaa na twiga kupanda ndege na police tiss,imigration wapo au waziri kuiba badala ya kushitkiwa anaachishwa kazi akale pesa yetu vizuri au wizi wa epa eti warudishe pesa walizoiba lol naichukia hiooooo

unasema sisi wananchi! Yani una maana ww na nan? Kwani mlishindiwa nini kumbeba tena na ndege za kivita kama kipindi kile? Mnawaacha malaya wakijiuza usiku kucha pale uwanja wa fisi lakini makamanda saa 12 tu mnataka wakalale? Ebooo...!

hapo kwenye red,na bilicanas pia ambayo tunaimiliki sisi chini ya mwenyekiti wetu
 
Wki iliyopita ndio hili sakata limetokea kule Mtwara, mwezi haujafika mkuu...tukemee hizi tabia za viongozi wa Chadema.
Wewe hukuwepo huko Mangaka kwenye tukio, sasa haya majungu ya nini? unatumika kama kondom mwishowe utaishia choo cha shimo!
 
hujatosheka na mgao wa jangwani mbona mna blog yenu ya ccm kalilie huko hapa ni wapenda mabadiliko jiandaeni kuwa chama pinzani 2015(najua inauma hakuna anapenda kuambiwa ukweli:clap2:

yale yale maneno ya Mrema na baadae CUF.
 
hujatosheka na mgao wa jangwani mbona mna blog yenu ya ccm kalilie huko hapa ni wapenda mabadiliko jiandaeni kuwa chama pinzani 2015(najua inauma hakuna anapenda kuambiwa ukweli:clap2:

Wewe nadhani utakuwa Chadema-Kata ndio maana unajidanganya unadhani JF ni mali ya Chadema, kwa taarifa yako JF ni jukwaa huru wamo CCM, wamo Chadema, wamo TLP, wamo NCCR Mageuzi, wamo ADC, wamo wasiokuwa na vyama...sasa sijui umeipata wapi kuwa JF ni ya watu wa mabdadiliko?
 
na wananchi wanaongozwa na sheria

Wananchi walioumizwa na kemikali za migodi wapo waliofariki/mifugo ilifariki/mimea nayo iliathirika je sheria zipi zilifanya kazi hapa Kama kweli sheria zinawaongoza wananchi!!!!?
 
Ni kweli kabisa!unajua viongozi wa CDM wanajifanya wako juu ya sheria lakini cha moto waliisha kiona hata wenyewe wana kumbukumbu ya yaliyotokea Arusha kwa mbwembwe hizohizo.Sisi wananchi tunajua ni CCM pekee nchi hii inayopenda kudumisha Amani na upendo kwa watanzania.

Eti sisi WANANCHI wewe na nani?sema mimi GAMBA kipenzi cha MWIGULU MCHEMBA the IGUNGA MAN.
 
mmekosa cha kuongea sasa mnare-circle post.

Kama hii post ilikuwa hapa last week, wewe unaileta ya nini tena??

Pumpkin head!!

You will eat coke this time around!!!!
 
Mbowe hana adabu, pili hamheshimu Mungu. Maana sisi wakristo kwenye bible inasema "KILA MAMLAKA ILIYOPO DUNIANI IMEWEKWA NA MUNGU" Yeye Mbowe ni nani hata aanze kukufuru viongozi wa nchi?

Mamlaka ni nn?
 
Hivi ni kweli huu mwenge unao kimbizwa nchi nzima nai kwaajili ya kutupumbaza wa TZ?Pia nimesika huu mwenge una-connection nzuri tu na freemason?
 
Hivi ni kweli huu mwenge unao kimbizwa nchi nzima ni kwaajili ya kutupumbaza wa TZ?Pia nimesika huu mwenge una-connection nzuri tu na freemason?
 
Back
Top Bottom