Chadema msimwache kijana huyu

Ni kweli imani mwaipaja kwa moro mjini ndio anaonekana ana uwezo lakini si hvyo 2 maana mm aman waipaja namjua na mara nyingi nimekuwa nikimsikiliza kwenye mijadala mbalimbali pale moro lakini siamini kwamba eti moro nzima ndo imani pekee mwenye uwezo au ndo anaweza kufanya vizuri, mi bado nadhani kuwa bado kuna watu wenye uwezo zaidi yake sasa ni vyema CDM kikajikita zaidi ktk kuangalia vijana wengine wengi ili chama kiweze kupata vijana wengi wenye ushindani ktk medani hizi za siasa.
 
sio wachache ni wengi sana majungu ndo kazi yao.hawana mda mrefu kwenye uliingo wa siasa,watapolomoka coz wanachukua kila mtu ili mradi ataje ki diploma au degree
 
Back
Top Bottom