CHADEMA msijipe moyo, Chama chenu kitasambaratika kabla ya 2015

Mleta hoja mjinga pia anakera kwani katumwa kuchukua maoni ya wanajanvi, 2011 kt kikao cha nec ccm ilikuwa isambaratike mkafanya usanii mkasevu, kwa jitihada zinazofanywa ccm-magamba, cdm ingeshasambaratika sku nyingi, mmejitaidi kuwaonga viongozi wake akina dr slaa nk imeshindikana, 2015 ni mbali sana kuiona picha ya maanagaizi kwa ccm, subiri uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji ndo mtawajua watanzania wale wa 47 na wa sasa kuwa ni tofauti, iringa, mbeya mieleka kwa ccm imeshaanza. Wala hatuna shaka, uoni hata ccm wanavyoyaogopa mabadiliko ya katiba?? Kumbuka usanii wa sku ile bungeni kuyachakachua mabadiliko ya katiba ndo itakuwa salama ya ccm o/w before 2015 mtaona dalili za kushindwa
 
Mtoa mada ni mtu anayepumulia mashine,akiri yake haijiwezi teeeeena na haina tena uwezo wa kumfanya ajiendeshe mwenyewe.CHADEMA oyeeeee!!!.Hiki ni chama cha watu wenye akiri timamu.The peoples part(CDM).
 
Mawazo mengine bwana sijui wametoroka milembe VIVA CHADEMA VIVA TANGANYIKA
 
hata msipotaka CDM itadumu milele, CCM na wana CCM jiandaaeni kwenda gerezani kwa ufisadi na kurudisha fedha zote mlizoiba serikalini na kupigia kampeni, kununua shahada pamoja na kutoa rushwa. Si mliona uchaguzi wa mwaka jana, bila uchakachuzi na ufisadi Kikwete alikuwa harudi Ikulu, kamulizeni, kama mkweli atawaambia kuwa ni jeshi limelazimisha awepo madarakani, ndio maana ana legacy(yuupo kutokana na sheria za kifisadi) lakini hana legitimacy(hakubaliki katika mioyo ya watanzania, ndio maana kila anapoenda anazomewa na wakati mwingine kurushiwa mawe)

Dr. Slaa ni wa ukweli na Rais aliyeko mioyoni mwa watanzania, hata kama CCM na WAnaCCM hatataka kukubali
 
Kikwete, CCM na wanaccm hawana legitimacy yaani hawakubaliki mioyoni mwa watanzania ndio maana wanaota usiku na mchana kuhusu CDM. Hiki CDM hakitakufa, anaglieni uongozi wake ni timu ya watu makini, walioenda shule ambao sio wababaishaji, CCM wamejaa maafisa wa jeshio waliozome kutoa amri jeshini na kusahu kuwa umma una kanuni zake za kuutawala na kuuongoza
 
Pilau ya krismasi ya mwaka huu imeleta vituko. Vijana wa nape wote wameamua "kutabiri" mambo mbalimbali dhidi ya chadema.

Mwingine anasema viongozi wake wafutiwe uraia, mwingine kaibuka na chadema imekwisha, mwingine anasema chadema haifiki 2015!

Kweli pilau za ccm mwaka huu zimefanya kazi. Hongreni vijana wa nape kwa kuwajibika ipasavyo.
 
CCM wamejaa maafisa wa jeshi waliozoea kutoa amri jeshini na kusahau kuwa umma una kanuni zake za kuutawala na kuuongoza,CCM wajue hawakubaliki na jamii wala hawaaminiki ndio maana walipoanza haralati za kuvuuana gamba wenye akili tukasema hiyo ni danganya toto kwani ccm wote ni magamba kuanzia kwa mwenyekiti wake katibu mkuu wake na viongozi wote. Hivyo kama walikusudia kuwavua gamba walitakiwa kuua chama na kumuondoa rais madarakani aliyewekwa na mafisadi kisha waunde upya chama, wateue viongozi wasio na harufu ya ufisadi na kuitisha uchaguzi mkuu mpya wa nchi sio vinginevyo. Pia tume ya uchaguzi iundwe upya na kuwa huru halafu wangeona kaa wangerudi ikulu

mmm napita tu, naona magamba yanaweweseka hayalali, tusikubali kuyaacha yapate usingizi hata usiku mmoja


mm nao
 
Nadhani unahitaji kujuu nguvu ya CHADEMA

CCM inaweza kusambaratika lakini siyo CHADEMA,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom