CHADEMA, msifanye kosa kuendelea na ziara kabla ya kumzika marehemu Morogoro


kwani huyu ni mwanachama wa CHADEMA? Kama siyo mwanachama ni jukumu la familia na jeshi laa polisi.[/QUOTE]

CHEDEMA has to look at the larger picture, its long term vision and mission; CDM has a broad national appeal and agenda; it is a government in waiting, CDM can not afford to be partisan; CDM inatumia akili kubwa kuliko hizi ulizotumia hapa!

Apologies for my acerbic rejoinder!
 
Nadhani CDM na wapenzi wake ilitakiwa kufikiria kwa kina ili kubaini wakati mwafaka wa kuendelea na Kampeni zake za M4C. Sikutarajia viongozi wake wangeshindwa kufanya tafakuri ya kina na kutambua kuwa Wakati taifa lipo katika wiki ya sensa, hakuna tija kwa chama wala umma kufanya maandamano na mikutano aina hiyo, wakijua wazi kuwa hao wanaotaka kuwahutubia walitakiwa wawe majumbani wakisubiri kuhesabiwa! Kwa kibri hicho imejivunjia heshma na kufifisha mvuto kwa jamii!

Kapongo, tulishaambiwa sensa haiwezi zuia shughuli za maendeleo, kazi zinaendelea kama kawaida. Hata mkija na visingizio gani, mtaenda na hizo damu mnazoziua kila mahali.
 
Mimi nashauri jeshi la polisi libadilishe sare za jeshi hilo. Wavae mashati ya kijani, suruali nyeusi na kofia nyeusi ili wananchi wote tujue moja kuwa polisi ni jeshi rasmi la Chama Cha Mapinduzi.
 
Umenena vyema, ila yote haya yamekwishatolewa ufafanuzi na Mh, Slaa kwenye taarifa ya habari usiku kupitia ITV
 
Katika dini wanaozika ni watu sio chadema ; na wala watakiwi kuharakisha kuzikwa kwa sababu zao za kisiasa zilizo mfanya auawe; kama ndo sababu za kisiasa CHADEMA Wanausika
unazungumzia nini mzee au masaburi
 
mnafiki wewe usiyejua utendalo kazi kujaji mtu kila kukichwa tukuelewe vipi au we gamba mwenzetu? mana Zitto ni Magwanda.
 
Jana Dkt Slaa alishasema chama cha Chadema watashirikiana kwa ukamilifu na ndugu wa marehemu Ila wanategemea sana ushirikiano wa ndugu wa marehemu na chama..Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi aamen.
 
Back
Top Bottom