CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

unajiita dume la mbegu halafu unaogopa mashoga!? Au kuna kitu umekalia?
 
huyu mwigullu hata akichangia hoja unaweza vunja tv yako hivyi ccm hamuoni hata wamwite wamfunde looooooooooooooooooooo
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

[/QUOTE

Mbona wao walikuja na sera ambazo zimeuza kila kitu na kuwaacha waTZ masikini na hawasemi kitu? Azungumzie mengine lakini hata akisema maneno hayo anajisumbua tu wala haitomsaidia zaidi ya kuendelea kupoteza heshima yake. Wanaoijuwa CCM wamenyamaza kimya huyo ni kama mbwa tu anayebweka bweka huku anakimbia. Anawabwekea hata wageni wa mwenye mbwa unategemea nini? Nape ameshashindwa anadhani yeye ataweza wapi? CDM for Life.
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

Nina mashaka kama kweli unafanana na jina lako. Juzi tu Mkuu wa kaya ambaye ni mwenyekigoda wa masikani yenu alikuwa huko kwa Camerun sasa hapo unataka kutuambia nini? Kama ni misaada ya serikali inayoongozwa na Camerun serikali ya Nyinyiem imepokea sana hata kabla ya hiyo CDM kuwepo? Je unatakatuamini kuwa mmekuwa mnafanyiwa hako kamchezo? Hebu weka wazi sio kukurupuka bila kujitazama ulivyo..........
 
ukijibishana na vichaa na wewe utakuwa kichaa waache watukane lakini mwisho wao waja.
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ

uelewa wako ni mdogo sana... jitahidi sana kupata habari na soma sana upate kuelimika.
 
mfumo wa maji taka toka majumbani huunganisha mabomba toka bafuni na vyooni na kuelekeza uchafu huo kwenye chemba ndogo kwa ajili ya kutuamiasha uchafu mzito na baadae maji hupita kuelekea kwenye chemba kubwa ambalo huhifadhi maji machafu. mfumo wa maji taka hufanya kazi nzuri ya kuhifadhi uchafu. na hili ndilo ninaloliaona kwa huyu kijana anayehifadhi uchafu kichwani
 
Huyu nchemba amesoma??kwanini hasomi alama za nyakati kwamba tunataka amani sisi wananchi??..ccm wamshauri kabla hajaongea..
 
Si wamewanyima elimu ili wakitoa kauli kama hizo waweze kukubaliwa upuuzi wao,wajue sasa hivi watu wameelimika kwa kujua pumba na mchele....wamekwisha na vitambi vyao vya utapiamlo!!!!
 
Ninashindwa kuamini kuwa chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 35 kimekosa watu wenye hekima na busara za kuweza kumuona mpuuzi mmoja anayeharibu jina la chama na kumkemea hata kumuadhibu kwa mujibu wa kanuni za chama hicho.Na ninalazimika kuamini kuwa kama hakuna watu katika chama hicho wanaoona mapungufu hayo basi waTZ tuna kila sababu ya kuwaondoa madarakani na kuweka chama kingine kitakachokuwa makini kuongoza kuliko kuendelea kuwa na wahuni kama huyu mwehu..
 
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
kwani uongo? unazani pesa za maandamano wanazopewa toka uk ni bure? Kwani umeshasikia wamekanusha?
Hivi kumbe na huyu anayetembeza bakuli kila leo kwa Cameroun katumwa na Chadema!

Rais-Kikwete-na-David-Cameroun.jpg

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameroun.
Kweli Chadema kiboko!
 
Back
Top Bottom