CHADEMA mpo tayari kumpokea LOWASSA??

Ni kweli CCM wana challenge kubwa sana 2015, mi naona muda wa kumwandaa rais wao ajae unaenda mbio sana ukizingatia ujikoboaji magamba nao ni tatizo, malumbano ndiyo yamepamba moto huku tarehe zikiyoyoma kabla ya mpambano kuanza. Ngeleja na jamaa yake Jairo nao wako hoi bin taabani ulingoni.

Ni kweli wakitaka walau watoke mrisi basi wamwingize Magufuli tu. Sitta haaminiki ndani ya nje ya CCM, Membe hajulikani kabisa nje ya CCM.
 
Back
Top Bottom