Elections 2010 CHADEMA: Moto ni ule ule, 2015 mpaka kieleweke!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Juzi ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa mbeya, mwenyekiti ndg Freeman Mbowe alisikika akisema "moto waliouwasha hautazimika mpaka kieleweke", this means vyama vingine visitarajie anguko lolote kwa chadema bt wajipange kwa mageuzi yajayo. Je hii inatoa somo gani kwa wanachama, viongoz na wapenzi wa ccm?
 
hizo ni kelele tu, wapeni mwaka mmoja tu CDM utawasikia. Chama lazima kisambaratike kama vyama vingine vya upinzani. CCM kuanguka 2015 ni ndoto vijana. Matabaki na kelele tu.
 
Teh! Twajua bwana Omr hata haiitaji mjadala, mufti keshawataka waislam wote muichukie cdm! Polen!
 
sawa kutamka ni rahisi, kinachotakiwa kwa CDM ni kufanya kazi kwa vitendo. Waendelee kuwaelimisha wananchi wote, hususan vijijini- bila kukoma- vinginevyo ukombozi utakuwa mbali.
 
sawa kutamka ni rahisi, kinachotakiwa kwa CDM ni kufanya kazi kwa vitendo. Waendelee kuwaelimisha wananchi wote, hususan vijijini- bila kukoma- vinginevyo ukombozi utakuwa mbali.

mkuu vitendo si vinaonekana..
 
kijana Gagurito, naona jina limekupoteza lakini nashukuru kwa kunisilimisha ila naona nitabaki na dini yangu kwa sasa.
 
mkuu omr kwa vyovyote vile, japo physical ckujui bt spritual msimamo wako nimeweza usoma, anyway tuachane na udini wako ambao kwa 100% nipo sahihi, unadhan nin kifanyike!
 
then kuna mapandikiz toka chama cha babu wao hawajui kujenga hoja bt kupinga hoja za watu pasipo hoja! Turudi kwenye mada, tanzania afta several years of multipartism now we have reached at climax of our politics! Hizi ndio siasa halisi!
 
Unajua kwenye supermarket mara nyingi vitu vinavyo wekwa kwenye discount section ni vinavyo karibia kuexpire, sasa unakuta jamaa hatizami tarehe ila anakimbilia kununua vingi ilimradi viko kwenye discount halafu vinamharibikia nyumbani.

Huu ni mfano mzuri wa CDM, ni bidhaa ya discounted section..na mtu anaepaparuka ndio mshabiki wao.
 
hizo ni kelele tu, wapeni mwaka mmoja tu CDM utawasikia. Chama lazima kisambaratike kama vyama vingine vya upinzani. CCM kuanguka 2015 ni ndoto vijana. Matabaki na kelele tu.

KIWAVI KIWAVI KIWAVI, Njooni mkione.
 
unajua kwenye supermarket mara nyingi vitu vinavyo wekwa kwenye discount section ni vinavyo karibia kuexpire, sasa unakuta jamaa hatizami tarehe ila anakimbilia kununua vingi ilimradi viko kwenye discount halafu vinamharibikia nyumbani.

Huu ni mfano mzuri wa cdm, ni bidhaa ya discounted section..na mtu anaepaparuka ndio mshabiki wao.

crap/kiwavi.
 
Juzi ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa mbeya, mwenyekiti ndg Freeman Mbowe alisikika akisema "moto waliouwasha hautazimika mpaka kieleweke", this means vyama vingine visitarajie anguko lolote kwa chadema bt wajipange kwa mageuzi yajayo. Je hii inatoa somo gani kwa wanachama, viongoz na wapenzi wa ccm?

Hakika this is ur own words
 
Back
Top Bottom